Uchaguzi 2020 Barua ya Wazi kwa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) kuhusu Mwenendo wa Kampeni za Uchaguzi Mkuu (2020) za Mheshimiwa Tundu Lissu

Tundu ni wa kupuuzwa tu. Tunampuuza sasa na tutampuuza Okt 28
Jipuuze mwenyewe kwanza kwani wenzako hawapati usingizi wapo busy kumhujumu baada ya kuona taa ya kijani imemuakia
 
🤣🤣🤣🤣 Unajua kweli maana ya amani😅😅😅
 
CCM imejikita kwa wananchi na huko ndiko nguvu zake zilipo
Wananchi wa wapi? Wakati mikutano ya CCM lazima watu wasombwe na fuso kupelekwa kwa lazima kutizama wasanii wa Bonge fleva maana CCM hawana hoja za msingi
 
Wewe
Wewe jamaa jaribu hata tone ndio utajua watanzania ni kinanani. Unapomtisha lisu jiangalie uliposimama umma umeshaamua Sasa thubutuni ID mnazoziita feki mtajua hamjui.
 
Bravo kwa kuwaongezea watanzania hasira...
 
Andiko Bora sana, la kizalendo
Lissu anajua, kisha shindwa!

Lakini Mkakati wa chama chake ni kuhakikisha wanabomoa kabisa amani ya nchi hii na utulivu uliopo, huu ni mkakati wa kichama sio wa TL.

Tume imekuwa na ukarimu wa hali ya juu kwa huyu Bwana Lissu na chama chake. Kiasi cha kuanza kupandwa kichwani.

Kuonesha walivyo dhaifu wanasahau kwamba mpasuko huu utawagharimu zaidi wao, Hata ikaja siku moja wakafanikiwa kushinda, HAWATAWEZA KUTAWALA NCHI, KWASABABU WAMEKWISHA PANDIKIZA CHUKI.

Kwa wapenda Amani, hawawezi kukielewa kikundi cha CHADEMA, na ndilo kabuli lao. Wataendelea kuchagua amani na utulivu uliopo basi!
 
Pata kvant moja hapo dukani bill ntalipia miye
 
Point hapo ni " Uchaguzi wa huru a haki". Ikitokea umeona hujatendewa haki basi Kuna njia za kisheria za kufuata na sio kumwaga damu ya wananchi

Hivi unajua sheria za nchi wewe kuhusu uchaguzi wa Rais baada ya tume kutangaza mshindi? Mambo mengine mnatuabisha.. Kaa kimya kuliko kutupaka wenzako matope tunaonekana wote hatuna akili
 
Niliposoma nikakuta umeandika CHADEMA ndiyo wanaongoza kwa uvunjifu wa amani, hapo hapo nikajua moja kwa moja ndani ya kichwa chako hakuna ubongo bali kutakuwa na kamasi tu!
 
Mimi nilifikiri yupo neutral. Angeandika na ubaguzi wa mgombea wao kuwatisha wananchi kutopeleka maendeleo walikopita upinzani


Mleta HOJA angeuliza na kulaani pia kwa KUENGULIWA WAGOMBEA WA VYAMA VYA UPINZANI NA CCM TU.

Angejiuliza pia,

Inawezekanaje Wagombea kupitia ccm WOTE wajaze FOMU za ugombea kwa USAHIHI Ila WAPINZANI wa ccm tu ndiyo WAKOSEE kujaza hizo FOMU?

Kwa mujibu wa Mkurugenzi wa Uchaguzi,

je, ni KWELI Watanzania WOTE wanataka KUSIKIA habari za bwawa la UMEME, ujenzi wa MADARAJA, ununuzi wa ndege ambayo ni MATAKWA ya ccm, au Mkurugenzi wa Tume ya UCHAGUZI ni WAKALA wa ILANI ya ccm?

AMA KWELI TUME YA UCHAGUZI HAIKO HURU.
 
You are too biased my friend! Think big!
 
100℅ true.
 
Siasa za ushawishi ni zipi? Za hoja?
 
Uongo upi alosema LISSU kwa taifa!?

Pili nkushaur kijana soma kwanz hist ya taifa lako usikubali kua mtumwa

Habari za Karume kulazmishwa Muungano zipo kila sehemu na dunia inajua
 
Huna uzalendo wowote wewe ni mnafiki kama wanafiki wengine na ndio maana unapindisha kauli ya Lissu.

Halafu katika kukoleza unafiki wako hutaki kabisa kusisitiza au kutamka neno haki ili hiyo amani unayoidai iweze kutamalaki.

Inaonekana neno HAKI kwenu ni neno gumu sana kulitamka kwa vile haliendani na matendo yenu.

Yakupasa umuombe Mungu akujalie kuijua kweli maana kweli ndiyo itakuweka huru.
 
Mahojiano ya Tume NEC na Lissu yawe live kwa TV zoote
Na kama wagombea wengine wataitwa iwe live pia
Kwani kitu gani kinaogopewa
 
Point hapo ni " Uchaguzi wa huru a haki". Ikitokea umeona hujatendewa haki basi Kuna njia za kisheria za kufuata na sio kumwaga damu ya wananchi
Kwa kukusaidia ndugu yangu, pengine na wengine wote wasiofahamu.

Mara zote watanzania/wazalendo tunaoipenda nchi yetu tumekuwa tukiomba uwepo wa katiba mpya lakini tumepuuzwa kwa vile tunaonekana lengo letu kutaka kuwapoka watu madaraka yao waliyopewa na hii katiba.

Unasema mgombea akiona haki yake inapindishwa basi atumie njia za kisheria kuidai haki hiyo. Ingawa hujaeleza ni njia gani hizo lakini nadhani ulikusudia kusema mtu aende mahakani. Usichokijua ni kwamba kwa katiba na sheria yetu ya uchaguzi ya sasa. Tume ikishamtangaza mshindi wa nafasi ya urais, sheria/katiba haitoi fursa ya kuhoji ushindi huo mahali popote.

Na usidhani hiyo inatokea kwa bahati mbaya, hapana. Hiyo ilipangwa hivyo kimkakati, maana wenzetu hawako tayari kuheshimu kura, na ndiyo maana hata tume yenyewe hawataki iwe tume huru ambayo ni jumuishi.

Najua kama ilivyokawaida yenu utasema hiyo tume mbona iliwatangaza baadhi ya wapinzani kuwa wabunge kwa hiyo iko huru.

Uzoefu unatuambia hakuna mpinzani hata mmoja aliyetangazwa mshindi kirahisi rahisi tu bila support ya wananchi.

Hivyo basi kama kweli tunaipenda nchi yetu na tunatamani wajukuu na vitukuu wetu waje waishi kwa amani katika nchii, inatupasa sote kwa pamoja bila kujali itikadi zetu, au maslahi yetu, tuungane kwa pamoja kudai haki itendeke katika uchaguzi ili kulinda amani yetu.

Na baada ya uchaguzi yeyote aliyeshinda atuahidi kukaa kama nchi kutengeza katiba mpya itakayoamua mustakabali wa nchi yetu kwa miaka mingi ijayo, tusiyape kipaumbele sana madaraka tuliyonayo kuliko amani ya nchi yetu.
 
Kwanini CCM inapewa nakala? Hapa unaonesha mia ovu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…