900 Itapendeza zaidi
JF-Expert Member
- Nov 19, 2017
- 7,704
- 9,186
upotoshaji kuzidi wa mzee mnafiki wa maendeleo hayana chamaUnatuliaje unapoona Kuna Upotoshaji mkubwa unaofanywa kwa makusudi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
upotoshaji kuzidi wa mzee mnafiki wa maendeleo hayana chamaUnatuliaje unapoona Kuna Upotoshaji mkubwa unaofanywa kwa makusudi?
Acha kujibaraguza we binti, Lissu kasaidia wakulima wa Pamba kulipwa madeni usiku wa manane soon after he denounced the brutal & robbery cunning of business men who are principal ccm cadres for taking farmer's cotton and pay them after 2 to 3 yrs.Lissu anaeleweka kwa wapuuzi tu vibaka waliokosa cha kufanya wanahitaji pesa ya kuja ghafla mfukoni....kama unapiga kazi halali huna neno juu ya magufuri..
Ukweli ni kuwa magufuri anashinda kwa kishindo kikubwa mno ijapokuwa sinaga mambo ya uvyama ila kila maeneo unayopita ushindi uko wazi.alichokosea lissu ni kuwa na siasa za kulalamika kupigwa na hajui nani kampiga.....watanzia wapo wengi wenye matatizo yao awe na siasa za ushawishi siyo za kupaniki ili tuone ana uchungu kumbe ana ajenda yake ya kufinywa kinyeo na wazungu.
Siwezi kukaa kimya ndugu ninapoona mambo hayaendi sawa. Ni haki na wajibu wangu Kama mwananchi kuiongelea nchi yangu. Sheria iko wazi kuwa matokeo ya urais yanapotangazwa hayahojiwi mahakamani. Ila suluhu sio Vurugu Bali kutafuna njia nyingine za kisheria au busara ambazo zitapelekea kufikia muafaka
Tulia wewe kada msumari ukuingie vizuri
Mpumbavu anapojua kusoma na kuandika ndio unapata maandishi km haya.Ndugu mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC),
Ninachukua fursa hii kukupongeza wewe na timu yako kwa kazi ngumu mnayoifanya. Mnafanya kazi zenu kwa weledi na kwa mujibu wa sheria. Hongereni sana.
Kama inavyofahamika, nchi yetu hufanya uchaguzi mkuu wa Rais, wabunge na madiwani kila baada ya Miaka mitano. Hii ni kwa mujibu wa sheria za nchi yetu ambayo ni nchi inayofuata demokrasia ya vyama vingi.
Ndugu mwenyekiti, mwaka huu, 2020 Tanzania itafanya Uchaguzi mkuu wa Rais, wabunge na madiwani. Tayari kampeni za uchaguzi zimeanza kote nchini huku vyama mbalimbali vikizunguka kunadi ilani zao za uchaguzi.
Itakumbukwa kuwa lengo la kampeni hizo Ni kunadi sera za chama husika ili wananchi waweze kufanya maamuzi sahihi siku ya kupiga kura. Kampeni hizi zinatawaliwa na kanuni, sheria na taratibu pamoja na utamaduni wetu Kama watanzania. Hivyo, haitarajiwi kampeni hizi kutumika Kama sehemu ya kuwagawa Watanzania.
Hivi karibuni tumeshuhudia vitendo kadhaa vya uvunjifu wa amani ambavyo mara zote hufanywa na chama kimoja tuu, CHADEMA. Kabla ya kuanza kampeni, tulimsikia Tundu Lissu, mgombea urais wa Tanzania kupitia tiketi ya CHADEMA akiweka wazi kuwa atawaingiza watanzania barabarani Kama hatatangazwa mshindi. Tulishuhudia waandishi wa TBC wakifukuzwa kwenye uzinduzi wa kampeni za CHADEMA pale mbagala kwenye viwanja vya zakhiem.
Tundu Lissu akiwa jijini Mbeya aliendeleza mashambulizi kwa viongozi wa nchi kuwa nchi itawaka Moto usiozimika. Huku akijua kabisa analengo gani, anajenga hoja za kijanja kuwa atadhuriwa na kuwatumbukiza viongozi wa nchi ili wananchi wakose imani na viongozi hao.
Kubwa kuliko ni kauli yake aliyoitoa akiwa Zanzibar akisema Hayati mzee Karume alilazimishwa kusaini makubaliano ya Muungano kinyume na mapenzi yake. Aliunda mbali zaidi kuwaambia ndugu zetu wazanzibar wanachaguliwa viongozi wao na Tanganyika huku akijua fika kuwa vikao hufanyika Dodoma kwasababu ndio makao makuu ya chama cha Mapinduzi.
Kauli hizi anazitoa sio kwa bahati mbaya kwani Mheshimiwa Lissu ni wakili msomi mwenye weledi mkubwa wa masuala ya kisheria. Anafanya hivi kwa makusudi akitumia utaalamu wake wa kisheria kuwashawishi watanzania kuamini uongo ambao unaweza kupelekea uvunjifu wa amani.
Ninaomba nikiwa Kama mtanzania mzalendo ninayeipenda nchi yangu kuwa Mheshimiwa Lissu aonywe na aelekezwe kujikita kwenye kueneza sera za chama chake. Ni muhimu Mheshimiwa Lissu akumbushwe kuwa Kuna maisha baada ya Uchaguzi. Mimi na yeye tunaweza tusiwepo, Ila watanzania ambao ni ndugu, rafiki na watoto wetu wataendelea kuwepo. Hawa wanastahili kesho bora zaidi.
Ni vema Mheshimiwa Lissu akakumbushwa kuwa viongozi wa kisiasa Kama yeye ni watu wenye ushawishi kwa wafuasi wao na kuwa maneno yao yanaweza kuleta Faraja au huzuni, kilio au furaha, upendo au chuki, umoja au utengano zaidi sana kifo au maisha.
Amani Msumari
Tanga
Nakala:
Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania
Msajili wa Vyama vya Siasa Tanzania
Katibu Mkuu - CHADEMA
Katibu Mkuu - CCM
jinga kabisaNdugu mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC),

Uchaguzi utakuwa huru na wa hakiUmeandika ujinga, msianze vitisho mkidhani mkiiba kura Safari wananchi watakaa kimya, mlizoea mkiiba watu wanakaa kimya, Safari tunasema wizi wa kura sasa basi.

Unaweza kuwa sahihi ila Mheshimiwa ndio ameshaitwa kwa kilekile nilichokilalamikiajinga kabisa
Your head need to be examined ,if possible to do CT scanNdugu mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC),
Ninachukua fursa hii kukupongeza wewe na timu yako kwa kazi ngumu mnayoifanya. Mnafanya kazi zenu kwa weledi na kwa mujibu wa sheria. Hongereni sana.
Kama inavyofahamika, nchi yetu hufanya uchaguzi mkuu wa Rais, wabunge na madiwani kila baada ya Miaka mitano. Hii ni kwa mujibu wa sheria za nchi yetu ambayo ni nchi inayofuata demokrasia ya vyama vingi.
Ndugu mwenyekiti, mwaka huu, 2020 Tanzania itafanya Uchaguzi mkuu wa Rais, wabunge na madiwani. Tayari kampeni za uchaguzi zimeanza kote nchini huku vyama mbalimbali vikizunguka kunadi ilani zao za uchaguzi.
Itakumbukwa kuwa lengo la kampeni hizo Ni kunadi sera za chama husika ili wananchi waweze kufanya maamuzi sahihi siku ya kupiga kura. Kampeni hizi zinatawaliwa na kanuni, sheria na taratibu pamoja na utamaduni wetu Kama watanzania. Hivyo, haitarajiwi kampeni hizi kutumika Kama sehemu ya kuwagawa Watanzania.
Hivi karibuni tumeshuhudia vitendo kadhaa vya uvunjifu wa amani ambavyo mara zote hufanywa na chama kimoja tuu, CHADEMA. Kabla ya kuanza kampeni, tulimsikia Tundu Lissu, mgombea urais wa Tanzania kupitia tiketi ya CHADEMA akiweka wazi kuwa atawaingiza watanzania barabarani Kama hatatangazwa mshindi. Tulishuhudia waandishi wa TBC wakifukuzwa kwenye uzinduzi wa kampeni za CHADEMA pale mbagala kwenye viwanja vya zakhiem.
Tundu Lissu akiwa jijini Mbeya aliendeleza mashambulizi kwa viongozi wa nchi kuwa nchi itawaka Moto usiozimika. Huku akijua kabisa analengo gani, anajenga hoja za kijanja kuwa atadhuriwa na kuwatumbukiza viongozi wa nchi ili wananchi wakose imani na viongozi hao.
Kubwa kuliko ni kauli yake aliyoitoa akiwa Zanzibar akisema Hayati mzee Karume alilazimishwa kusaini makubaliano ya Muungano kinyume na mapenzi yake. Aliunda mbali zaidi kuwaambia ndugu zetu wazanzibar wanachaguliwa viongozi wao na Tanganyika huku akijua fika kuwa vikao hufanyika Dodoma kwasababu ndio makao makuu ya chama cha Mapinduzi.
Kauli hizi anazitoa sio kwa bahati mbaya kwani Mheshimiwa Lissu ni wakili msomi mwenye weledi mkubwa wa masuala ya kisheria. Anafanya hivi kwa makusudi akitumia utaalamu wake wa kisheria kuwashawishi watanzania kuamini uongo ambao unaweza kupelekea uvunjifu wa amani.
Ninaomba nikiwa Kama mtanzania mzalendo ninayeipenda nchi yangu kuwa Mheshimiwa Lissu aonywe na aelekezwe kujikita kwenye kueneza sera za chama chake. Ni muhimu Mheshimiwa Lissu akumbushwe kuwa Kuna maisha baada ya Uchaguzi. Mimi na yeye tunaweza tusiwepo, Ila watanzania ambao ni ndugu, rafiki na watoto wetu wataendelea kuwepo. Hawa wanastahili kesho bora zaidi.
Ni vema Mheshimiwa Lissu akakumbushwa kuwa viongozi wa kisiasa Kama yeye ni watu wenye ushawishi kwa wafuasi wao na kuwa maneno yao yanaweza kuleta Faraja au huzuni, kilio au furaha, upendo au chuki, umoja au utengano zaidi sana kifo au maisha.
Amani Msumari
Tanga
Nakala:
Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania
Msajili wa Vyama vya Siasa Tanzania
Katibu Mkuu - CHADEMA
Katibu Mkuu - CCM
Hii itajulikana huko kwenye kamati ya maadiliMpumbavu anapojua kusoma na kuandika ndio unapata maandishi km haya.
Y not MRI?Your head need to be examined ,if possible to do CT scan
Na tutaendelea kuwashambulia kwa maana ukimya wetu umewafanya mkajiona mnaakili sana kuliko watanzania woteUVCCM Mkuu wamepewa order kutumia social media kwa nguvu zote kuandika ujinga wao. Tangu jana idadi yao kwenye social media imekuwa kubwa sana.
Tutashambulia kutoka kila konaNa tutaendelea kuwashambulia kwa maana ukimya wetu umewafanya mkajiona mnaakili sana kuliko watanzania wote
Uchaguzi utakuwa huru na wa haki
HAKUNAGAHivi ikitokea Magufuli akapokwa ushindi wake halali, atacheka na Tume?
La msingi Tume ihakikishe kuna uchaguzi huru na wa haki, na mshindi wa kweli na wa haki atangazwe. Yote uliyoandika hapa ni blaa blaa tu.
Na kiti chenyewe si ndio chanzo?
Jamani hebu tuwe fair, miaka 5 watu mnapiga siasa wenyewe na hakuna mtu anawajibu, coz mtu akijibu tu anawekwa segerea,
Hivi ni kweli mmshindwa kuvumilia hata kwa hii miez 2 tu?
Mbona wenzenu wamevumilia miaka mitano?