Uchaguzi 2020 Barua ya Wazi kwa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) kuhusu Mwenendo wa Kampeni za Uchaguzi Mkuu (2020) za Mheshimiwa Tundu Lissu

Hivi unajua sheria za nchi wewe kuhusu uchaguzi wa Rais baada ya tume kutangaza mshindi? Mambo mengine mnatuabisha.. Kaa kimya kuliko kutupaka wenzako matope tunaonekana wote hatuna akili
Siwezi kukaa kimya ndugu ninapoona mambo hayaendi sawa. Ni haki na wajibu wangu Kama mwananchi kuiongelea nchi yangu. Sheria iko wazi kuwa matokeo ya urais yanapotangazwa hayahojiwi mahakamani. Ila suluhu sio Vurugu Bali kutafuna njia nyingine za kisheria au busara ambazo zitapelekea kufikia muafaka
 
Ninajua kuwa amani ni tunda la haki na ndio mqqna uchaguzi huu unaandaliwa kufanyika katika mazingira ya huru na haki
 
Kwanini CCM inapewa nakala? Hapa unaonesha mia ovu.
Chama tawala ambacho kina jukumu la kutekeleza ilani ya uchaguzi huku kikihakikisha amani inatawqla nchini kwani kwavyovyote vile kukitikea sintofahamu CCM itahusishwa kwa njia moja au nyingine
 
Umeandika ujinga, msianze vitisho mkidhani mkiiba kura Safari wananchi watakaa kimya, mlizoea mkiiba watu wanakaa kimya, Safari tunasema wizi wa kura sasa basi.
 

Yan watanzania kama tumerogwa
Mkibanwa kidogo tu mnaanza atavunja Aman, mtu akisema kitu mtavunja aman basi badilisheni katiba

Ili Tanzania iwe inchi ya kifalme
Haiwezekani mtu hata kutoa mawazo yako mbadala inakuwa utavunja aman

Mbona hamkusema kuzuia Siasa kwa miaka 4 ni kuvunja Aman? Au magufuli alipata kura 99% kwamba Hakuna watu waliompinga

Hayo mnayoyaona Leo kwenye mikutano ya Lisu ni ushahidi kuwa mlikuwa Mkimdanganya magufuli kuwa upinzani umekufa
 
Umenukuu manen yaleyale Tume na ccm so na ww n walewale na unapata wqp nguvu za kuzungumzoa issue ya TBC?
 

Kushinda atashinda ila ujumbe ameupata kuwa upinzani bado upo,

Na sio kila mtu anataka hayo maviwanja yake ya chato
 
KAZI YA CCM NI KUTENGENEZA PROPAGANDA NA kupotosha maneno yanayosemwa na Wagombea wengine yan absolutely hawana HOJA
 
Tulia wewe kada msumari ukuingie vizuri
 
Hakuna mtanzania anayepelekwa kwa lazima kwenye Kampeni. Kama ni wasanii ba nyie si mchukue wenu
Wananchi wa wapi? Wakati mikutano ya CCM lazima watu wasombwe na fuso kupelekwa kwa lazima kutizama wasanii wa Bonge fleva maana CCM hawana hoja za msingi
 
WanaCCM wengi, mahaba ya chama yanawafanya wanakuwa wajinga, vipofu na mbumbumbu.

Hivi kwa mtu mwenye fikra huru, kuna mgombea yeyote ambaye anavunja kanuni na sheria za uchaguzi angalao kufikia hata 20% ya anavyovunja Rais Magufuli?

Hatutetei kanuni kuvunjwa lakini mzazi aliye na akili, kwanza hujishughulisha zaidi na mwanae ambaye ni jambazi la kutumia silaha, kabla ya kuanza kujishughulisha na mtoto wa jirani ambaye ni mdokozi wa maandazi.

Mleta mada, akili yake imepigwa upofu kutokana na mahaba yaliyopitiliza kwa CCM. Huyu ni wa kupuuzwa kama wanavyopuuzwa wajinga wengine wa kiwango chake.

Mleta mada ni mtu mnafiki asiye na chembe hata ndogo ya upendo kwa Taifa letu.

Mtanzania mzalendo lazima atakemea ubaguzi wa aina yoyote. Hayati Mwalimu Nyerere alihangaika sana kuua ukabila, udini na ukanda. Leo Rais Magufuli anapalilia ukabila na ukanda.

Akiwa Geita, aliwaambia wapiga jura wamchague kwa sababu ni msukuma mwenzao na anatoka Geita! Kwa hiyo mgombea wa CCM hataki kura za Watanzania wengine? Mwalimu alisema mtu anayesimama kwenye ukabila ili aungwe mkono, ni mjinga na hafai kuwa kiongozi.

Lakini pamoja na uvunjaji mkubwa wa kanuni na nguzo za Taifa letu unaofanywa na mgombea wa CCM ambaye ni RAIS, Tume yetu hii ya kijinga, ipo kimya!!!


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakuna mtanzania anayepelekwa kwa lazima kwenye Kampeni. Kama ni wasanii ba nyie si mchukue wenu
Mwulize Mama Maria Nyerere ndiye mwenye ushahidi kama wanaohudhuria mikutano ya CCM kama wanaenda kwa mapenzi yao au wanalazimishwa.

Waulize walimu wa shule kama wao na wanafunzi huwa wanaenda kwa mapenzinyao au kwa kulazimishwa na wakuu wa mikoa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lisu anaeleweka mpaka kwa uvccm ya mangula na wote watampigia kura,kwa sasa wako tu mikoani kinafiki na mzee kwenye msafara wa ccm fiesta
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…