Uchaguzi 2020 Barua ya Wazi kwa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) kuhusu Mwenendo wa Kampeni za Uchaguzi Mkuu (2020) za Mheshimiwa Tundu Lissu

Acha kujibaraguza we binti, Lissu kasaidia wakulima wa Pamba kulipwa madeni usiku wa manane soon after he denounced the brutal & robbery cunning of business men who are principal ccm cadres for taking farmer's cotton and pay them after 2 to 3 yrs.
Lissu speculated and denounced it broadly, few days later the gvt payed the owing farmers, the question was; where did they get money in such short time?

When the CHADEMA Presidential candidate Hon. Lissu denounced the land alienation and confiscation done by gvt big bosses against poor farmers in Morogoro few days later the ccm presidential candidate announced the return back of the land and to be devided to the original farmers.

The entrepreneur identity cards that were sold by force had brought Magufuli Regime under controversy after the enlightment to the citizens by the Hons Tundu Lissu.
 

Aliyeweka hiyo sheria alikuwa anataka shari na fujo.. Na ataipata. Angekuwa na busara na maono ya mbali asingeweka sheria ya kuzuia mahakama kutenda haki.
 
Mpumbavu anapojua kusoma na kuandika ndio unapata maandishi km haya.
 
jinga kabisa
 
Umeandika ujinga, msianze vitisho mkidhani mkiiba kura Safari wananchi watakaa kimya, mlizoea mkiiba watu wanakaa kimya, Safari tunasema wizi wa kura sasa basi.
Uchaguzi utakuwa huru na wa haki
 
Umeandika ujinga, msianze vitisho mkidhani mkiiba kura Safari wananchi watakaa kimya, mlizoea mkiiba watu wanakaa kimya, Safari tunasema wizi wa kura sasa basi.
Uchaguzi utakuwa huru na wa haki
 
Wabunge wanakinga maalumu ya kuongea hayo wanayoongea wakiwa bungeni. Zaidi sana Kama Kuna ahida basi kiti kitamuelekeza afute kauli
 
Your head need to be examined ,if possible to do CT scan
 
UVCCM Mkuu wamepewa order kutumia social media kwa nguvu zote kuandika ujinga wao. Tangu jana idadi yao kwenye social media imekuwa kubwa sana.
Na tutaendelea kuwashambulia kwa maana ukimya wetu umewafanya mkajiona mnaakili sana kuliko watanzania wote
 

Na kiti chenyewe si ndio chanzo?
Jamani hebu tuwe fair, miaka 5 watu mnapiga siasa wenyewe na hakuna mtu anawajibu, coz mtu akijibu tu anawekwa segerea,

Hivi ni kweli mmshindwa kuvumilia hata kwa hii miez 2 tu?

Mbona wenzenu wamevumilia miaka mitano?
 
Hivi ikitokea Magufuli akapokwa ushindi wake halali, atacheka na Tume?

La msingi Tume ihakikishe kuna uchaguzi huru na wa haki, na mshindi wa kweli na wa haki atangazwe. Yote uliyoandika hapa ni blaa blaa tu.
HAKUNAGA
 

DUH HUU MZIKI WA LISSU SI WA KITOTO
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…