Uchaguzi 2020 Barua ya Wazi kwa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) kuhusu Mwenendo wa Kampeni za Uchaguzi Mkuu (2020) za Mheshimiwa Tundu Lissu

Nyinyi kijani kibichi mbona mnaweseka Sana kwahiyo mnataka mumpangie Lissu Cha kuongea , aongee maneno mnayopenda ? Mtakaa Sana endeleeni tu kugawiana t-shirt huko mapimbi , mtapewa Tena baada ya miaka mitano.
 
Katibiwe milembe
 
Barua ya NEC nakala unapeleka kwa katibu wa CCM. Mkiambiwa nyie ni wehu mnaanza kubwabwaja
 
Hii itajulikana huko kwenye kamati ya maadili
Wewe unaongelea vitu ambavyo hata havipo. Wenzio barua waliyoandika, wameikunja na kuitupa jalalani. Wakaishia kupeleka barua isemayo wawanadi wagombea wa CHADEMA tu na siyo wa ACT, eti wanawachamganya wapiga kura.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwenye akili hawezi kuwa upande mmoja na anayejiita KICHAA na kudhalilisha akina mama. Ni MAZWAZWA TU!

Na tutaendelea kuwashambulia kwa maana ukimya wetu umewafanya mkajiona mnaakili sana kuliko watanzania wote
 
I am not biased buddy. Tundu has been so provocative and he does this intentionally
Kuna kitu kinadhaniwa na viongozi wetu kuwa ukishakuwa Rais, usisemwe,useme wewe tuu. Hiyo unaionaje? Tunatengeneza kizazi cha aina gani?
Lissu anatakiwa ajibiwe kwenye campaign rallies za political opposers wake na siyo organs za Kiserikali.
 
Mkuu CCM n chama tawala na ndio imepewa dhamana ya kutekeleza ilani. Anapotokea mgombea akasema kitu flani hakipo au hakijafanywa, sio dhambi kuthibitisha
 
Ili uweze kutekeleza ilani,lazima ukusanye kodi kwa wananchi wote , je ni dhambi wakihoji matumizi ya kodi yao wanayolipa? Au, tukiachie tuu chama hicho kuelezea hata yanayoonekana wazi kuwa siyo matumizi sahihi ya kodi?
 
Kuhoji ni muhimu ila inategemea wewe unatafsirije matumizi mabaya ya kodi
 
Hayo yoote uliyoyasema yapo chini ya neno HAKI na UWAZI, BILA UPENDELEO WALA KUPENDEKEA TUME KUWA NUETRAL RATIBA ZA VYAMA KUFUATWA na sivyo kama lissu alivyofanya nyamongo
 
Tangu tujipatie Uhuru nchi hii Kikatiba tumekuwa tukichagua viongozi wetu wa Serikali za Mitaa vitongoji na vijiji kwa njia ya kuwapigia Kura. Sasa niambie kwa nini Serikaliha JPM iliendesha uchafuzi badala ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa? Ni nini Matokeo ya Semini Elekezi kuhusu uchaguzi wa Serikali za Mitaa JPM alipokutana na watendaji wa Mitaa, vijiji, na Kata Ikulu? Kwa mara ya kwanza katika historia ya chaguzi za nchi yetu wagombea wa vyama vya Upinzani ambavyo vipo hapa nchini Kikatiba walienguliwa wasiweze kugombea kwa hila! Je ndugu Msumari wewe ni mumini wa hila? Pia kwenye Uchaguzi huu ambao umeuandikia andiko hili wasimamizi wa uchaguzi wamendeleza Ubabe wa engua engua ya hila! Je ndugu Msumari unapenda sana hila na Ubabe? Wimbo maarufu wa Lisu ni "Uchaguzi Ulio Huru na Haki" Je ndugu Msumari wewe unafikiri Uchaguzi huru na haki ndo huondoa amani ya nchi? Mkuki kwa Nguruwe kwa Binadamu Mchungu! Kwa Katiba hii tuliyonayo, Tume inayo mamlaka ya kumtangaza Lisu kuwa mshindi wa Urais kwa kupata kura mbili dhidi ya JPM ambaye amepata kura milioni 18 njia halali ya kupinga maamzi hayo ya Tume ya Uchaguzi ingekuwa kwenda Mahakamani, lakini Katiba yetu haziruhusu kupinga maamuzi ya Tume ya Uchaguzi Mahakamani! Je MaCCM mungekuwa tayari kuyapokea matokeo hayo ili kutunza amani ya nchi? Ndugu Msumari wambie MaCCM wenzako Uchaguzi wa kweli ni Uchaguzi Ulio Huru na Haki. Ndugu Msumari na MaCCM wenzako nawashauri kwamba amani haiwezi kudumishwa iwapo upande mwingine unaendekeza ghiliba na hila! Na nyinyi mkitaka kuitawala Tanzania milele kama ambavyo mmekuwa mkijinasibu, futeni mfumo wa vyama vingi. Kwani Uhuru na Haki unaotakiwa kuzingatiwa katika mfumo wa vyama vingi kwenu MaCCM mnaona ni kuvunja amani ya nchi.
 
Huna ujualo,labda ww ndio mkiti wa hiyo kamati ya maadili.mda wa kutishana ulishapita.Kamati haiendi kumhoji Lissu bali inaenda kuhojiwa na Lissu.Haya mambo Yana majibu ya kisheria na siyo huu ugoro wako na ushabiki maandazi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…