Uchaguzi 2020 Barua ya Wazi kwa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) kuhusu Mwenendo wa Kampeni za Uchaguzi Mkuu (2020) za Mheshimiwa Tundu Lissu

Ccm hamkubaliki mnatawala kimabavu tu ona kila mtu anawakataa kwanini mnalazimisha mambo?
 
Tatizo mkienda bungeni hamjengi hoja Bali mnaenda kupinga kila kitu na kususia hata vikao vya bajeti. Maendeleo yanapatikana email kwa mtindo huo?

Mnawaambia nchi wahisani wasitoe mkopo achilia mbali misaada. Magufuli amewaombea kura wagombea wa chama chake ili afanye nao kazi vizuri.
 
Nyie ndo nmeambiwa Na bashiru mje kujibu hoja?
 
Ccm hamkubaliki mnatawala kimabavu tu ona kila mtu anawakataa kwanini mnalazimisha mambo?
Nani anayetukataa? Unaishi nchi gani jombii? We huoni nchi ilivyotqmalaki? Nchi yote ni ya kijani
 
Maneno anayotamka yako wazi. Huyu jamaa amejipanga kumwaga damu
Wewe ni takataka. Wenye vyombo vyote na kila nyenzo na uwezo wa kuchambua mambo wapo kimya,ila wewe "mchambuzi wa usalama" feki ndio umeyaona hayo.
Damu pekee itakayomwagika ni yako unayoimwaga kila mwezi kwa kwenda anga za juu kama NASA.
 
Sasa hali mkijua hilo, mlitakiwa aidha kulishughulikia kablanya kuingia kwenye uchaguzi au kukubaliana nalo.
Hatahivyo, Kama tume sio huru, hao wabunge wa upinzani na kura 6M zilitoka wapi?

Kura milioni sita zilikuwa kabla ya Magufuli, na hata hizo zilipatikana kwa kuuza roho. Hakuna anayekubaliana na hilo, ila kulikuwa na katiba mpya ambayo ilitaka matokeo vya urais yahojiwe mahakamani, na rais huyu aliigomea katiba mpya ili aweze kuchezea chaguzi za nchi hii. Hivyo likitokea la kutokea rais huyu ndio muhusika namba moja.
 
Nani anayetukataa? Unaishi nchi gani jombii? We huoni nchi ilivyotqmalaki? Nchi yote ni ya kijani
Huu ujinga wa kusapoti ushenzi wa CCM kwa miaka 60 ni wasiokuwa na akili tu wanaweza kusapoti mambo haya.
 
Huu ujinga wa kusapoti ushenzi wa CCM kwa miaka 60 ni wasiokuwa na akili tu wanaweza kusapoti mambo haya.
Utaumia Sana ndugu Fazili. CCM ipo sana yani kwa hisani ya watanzania
 

Unajua nini?

Wewe ni "MJINGA" kama "WAJINGA" wengine wote hapo Tanga....

Unachotakiwa ni kuelimishwa ili kuuondoa "UJINGA" wako huo...

Unaweza kudhani nimekutukana, HAPANA, sijakutukana bali nimekupachika sifa (attribute) unayostahili....

Hebu msikilize "MJINGA" mwingine huyu hapa πŸ‘‡ πŸ‘‡πŸ‘‡
Your browser is not able to display this video.


Sasa kwa kuwa mna kiongozi kama huyu anayedhani watu wote ni "WAJINGA" mithili ya yeye alivyo, wewe utawezaje kuwa mwerevu?

Kwanini usiandike kukosoa mambo kama haya ndugu badala yake unageuza geuza maneno ya Tundu Lissu ili mradi uridhishe "UJINGA" wako ili uandike?

Msikilize mwenyekiti wako asivyotambua hata nafasi yake ya kiuongozi....

Hebu kama una akili kweli, sema kwa sauti kubwa kabisa kama hivi ndivyo kweli John Pombe Magufuli alivyopaswa kumjibu mwananchi huyu?...

Maana ya jibu la huyu mzee wenu kilaza wa uongozi ni moja tu....

Kwamba, wananchi wa eneo hili kuanzia siku hiyo, kodi zao zote waanze kulipa kwa Bwege ili apate fedha za kujengea stendi, au siyo?

Ulivyo mjinga unaweza kutia neno kutetea UJINGA huu wa kiongozi wenu....

Pole zako, Kwa heri...
 
Tindo unaniangusha kamanda wangu. Rais Magufuli alikuwa bado hajawa Rais kipindi cha mchakato wa katiba mpya.

Kama haitoshi, wapinzani ndio waliokataa rasimu ya katiba mpya. Kwaulize wao.
 
Hawezi kuona hili
 
Reactions: BAK
we jamaa una lako jambo , mosi lissu alisema anataka uchaguzi huru na kama akishinda mkamtangaza mwingine bila haki ataingiza watu barabarani ,
mbili, tume ulioiandikia paia inatakiwa tenda haki , maana wana dhamana kubwa mfano wagombea wa upinzani wengi wameenguliwa na rufaa zipo kwao itakua busara kuruhusu wagombea wote bila masharti na hii itawaongezea heshima tukufu ,
tatu , mbona wakati jpm akimnanga lissu kwamba atampa kazi ndogo hukusema , au hukuona kama ni zalau kwa mgombea mwenza,
nne, kila mgombea ana maono yake pale atakpo chaguliwa nini akifanye kwa maslahi ya taifa so huwezi lazimisha mawazo ya mgomea mmoja yawe sawa na ya wengine,
mwisho kampeni ni vita kila mmoja anaangalia anatoka vipi na anapeleka ushawishi wake vipi so andiko lako lako ni jepesi , badala ya kulalamika tume toa mawazo lipi au ni hoja gani wamjibu but sio kutafuta uhuruma nyuma yakibodi , zipo hoja nyingi za kumjibu lissu za kuhusu muungano na vilele wenda pia naye zipo hoja nyingi za kujitetea kwa alicho kisema kuhusu muungano,
 
Reactions: BAK
Bora mbowe angempitisha tu nyalandu, tulimbeza tu bure mbowe wa watu
 
Ndugu yangu Kituturu, pole Sana.

Unajua inawezekana kabisa kuujua uwezo wa mtu kupitia yale anayoandika. Kama ungekuwa unajitahidi, Basi usingetuma hiyo clip ukilalamika. Ni Kama umejivua nguo mwenyewe.

Hivi nikikuuliza ujimbe alioutoa Rais Magufuli hapo unashida gani?

Ngoja nikudadavulie kwa ufupi (in a nutshell)

Rais Magufuli kasema stand iko ndani ya uwezo wa mbunge na madiwani - Hapo kakosea wapi?
Rais Magufuli kasema mlikosea kuchagua, mngechagua mbunge ambaye nikimtuma anatekeleza, akikataa naweza hata kumfukuza kwenye chama - Hapo kakosea wapi?
Rais Magufuli kasema mwaka huu ninmwaka wa uchaguzi, msikosee tena kuchagua - Hapo kakosea wapi?

CCM hoyeeeeeeeeee!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…