Uchaguzi 2020 Barua ya Wazi kwa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) kuhusu Mwenendo wa Kampeni za Uchaguzi Mkuu (2020) za Mheshimiwa Tundu Lissu

Halafu yule anayetoa Rushwa za Barabara na Ajira hawamuoni .......!!
 
Tindo unaniangusha kamanda wangu. Rais Magufuli alikuwa bado hajawa Rais kipindi cha mchakato wa katiba mpya.

Kama haitoshi, wapinzani ndio waliokataa rasimu ya katiba mpya. Kwaulize wao.

Tulia usijitoe hufahamu, wapinzani waligoma baada ya maoni ya wananchi kuanza kubadilishwa na wabunge wa ccm. Kumbuka katiba pendekezwa ilikuwa tayari kabla ya uchaguzi wa 2015, ila ilipisha uchaguzi mkuu kisha ndio kura ya maoni ifanyike. Ndani ya hiyo katiba pendekezwa iliyochakachuliwa maoni halisi ya wananchi, matokeo ya urais yalipaswa kuhojiwa mahakamani. Ila rais huyu aligomea kura za maoni ili kupata katiba hiyo, lengo lake ilikuwa ni kutumia katiba hii outdated kufanya atakalo, ikiwemo kuchezea chaguzi za nchi hii. Sasa kwakuwa alidhani katiba ni jambo la utashi wa rais, basi acha yatokee atakayo ili ajue rais hayuko juu ya matakwa ya umma.
 
Nimeongelea suala la kuhatarisha amani ya nchi na kupelekea machafuko
kwa hiyo kwa makusudi kutunyima maendeleo sisi tuliochagua upinzani unaona siyo kuhatarisha amani ya nchi siyo? au kwa vile tumeinama kimya? Mzee usione kobe kainama...
 
Uhuru sio kusema chochote ndugu yangu. Rais Magufuli kumuahidi Mheshimiwa Lissu nafasi ya kazi ni Jambo la kawaida sana.

Tume ilalamikiwe ikiwa walioenguliwa wameenguliwa kwa dhuluma. Kinyume na hapo acha sheria ichukue mkondo wake. Nadhani tumeelewana ndugu 4 7 Mbatizaji
 
Lissu anaeleweka kwa wapuuzi tu vibaka waliokosa cha kufanya wanahitaji pesa ya kuja ghafla mfukoni....kama unapiga kazi halali huna neno juu ya magufuri..
Hao wapuuzi wanazalishwa kila uchao na ccm, ishauri basi ccm walau wawapunguze mtaani hao wapuuzi, ila mna maneno mengi sana , elewa kuwa urais, ubunge na udiwani ni vyeo vya kimkataba na mkataba wake ni miaka 5, uwe umefanya vizuri au vibaya wanaohamua urudi ni wananchi, sasa mnachoshindwa kuelewa ni nini punguzeni povu, ili uishi si lazima uwe Mbunge au rais au diwani, Tz sio ya kwanza kubadiri Rais, hata huyo Lissu akivurunda au wananchi wakachoka chama chake watamfurusha.Na uelewe kuwa kwa sasa wananchi wamechoka chama wala sio mgombea na hii ni kawaida ya binadamu.
 
kwa hiyo kwa makusudi kutunyima maendeleo sisi tuliochagua upinzani unaona siyo kuhatarisha amani ya nchi siyo? au kwa vile tumeinama kimya? Mzee usione kobe kainama...
Acha uongo basi.
Jimbo la Tanga mjini, Arusha mjini, Kibamba, Ubungo, Mbeya mjini n.k yalikuja chini ya upinzani na yamepelekewa Maendeleo. So piga kimya mzee baba.
 
Jamaa bonge la jinga kujipendekeza
 
Wa kuonywa ni mgombea wa ccm anaye endekeza siasa za kibaguzi, ukabila, kutisha wananvhi na kutumia wanafunzi watoto wadogo kisiasa badala ya kuwaacha wasone
 
Ndugu Tundu anachokifanya ni maagizo na mikakati kutoka kwa mabeberu
Viongozi wa nchi wanapaswa kulifuatilia hili mapema na hatua sitahiki zichukuliwe juu yaje kabl amadhara hayajawa makubwa kwa fikra ya watanzania.
Ushauri wangu kwasasa huyu hatufai ni kumpa aibu ya mwaka kwa kuchagua wagombea wa chama cha mapinduzi yaani CCM kuanzia Urais, Ubunge na Udiwani
 
Wewe ni takataka. Wenye vyombo vyote na kila nyenzo na uwezo wa kuchambua mambo wapo kimya,ila wewe "mchambuzi wa usalama" feki ndio umeyaona hayo.
Damu pekee itakayomwagika ni yako unayoimwaga kila mwezi kwa kwenda anga za juu kama NASA.
Usipaniki bro. Huu mchezo hauhitaji hata chembe ya hasira. Hoja inajibiwa kwa hoja, upo nyonyo?

Halafu wengine kukaa kimya sio hoja, Mimi Kama mtanzania ninayo haki ya kusema pale ninapoona viashiria vya uvunjifu wa amani.

Kuhusu mimi kuwa takataka kutakamilika tuu kama utanipatia "SHIMO" la kutupia. Ungana na Princess Subira kuniandalia hayo mashimo.
 
Wa kuonywa ni mgombea wa ccm anaye endekeza siasa za kibaguzi, ukabila, kutisha wananvhi na kutumia wanafunzi watoto wadogo kisiasa badala ya kuwaacha wasone
Mgombea wa CCM amefanya wapi siasa za kibaguzi, ukabila na kutishia wananchi..............Wakati mwingine usipomuelewa mgombea wa CCM au kujua aina ya watu wanaoongea ukweli na wenye hofu na Mungu wanakuwa vipi utapata tabu sana kumfahamu Mgombea wa ccm (MAGUFULI) na kwa nchi hii kumpata mgombea anayekubalika hadi na watoto ni ngumu kumpata katika kumbukumbu zangu alitokea Mwl. Nyerere na sasa Dkt Magufuli
 
Umesema sawasawa
 
Mimi nilifikiri yupo neutral. Angeandika na ubaguzi wa mgombea wao kuwatisha wananchi kutopeleka maendeleo walikopita upinzani
Hajawatisha isipokuwa amejaribu kuwaambia ukweli uliopo maana ukichagua mpinzani maana yake umechagua mpinga Ilani ya chama husika so kama umepata mpinga ilani unapata vipi maendeleo katika eneo lako?
 
Mtumishi wa bwana akionya
Your browser is not able to display this video.
 
nimekuelewa mkuu wangu , ila mkuu tulipofika nipazuri , namaanisha kwa sasa lissu hajibiwe kwa hoja , na zipo nyingi za kumjibu, kuliko kuchukua vitu vidogo kuvifanya agenda , hii ni kufanya hata ambae alisha sahau aanze kukumbuka , mfano zipo njia 4 7 katika ushindi na katika upanguaji wa hoja je mmeshindwa zitumia baadhi ili kumjibu lissu, mpaka mkuu muhanze tafuta huruma ya tume , shida nini , mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…