The Khoisan
JF-Expert Member
- Jun 5, 2007
- 16,434
- 14,547
Halafu yule anayetoa Rushwa za Barabara na Ajira hawamuoni .......!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tindo unaniangusha kamanda wangu. Rais Magufuli alikuwa bado hajawa Rais kipindi cha mchakato wa katiba mpya.
Kama haitoshi, wapinzani ndio waliokataa rasimu ya katiba mpya. Kwaulize wao.
kwa hiyo kwa makusudi kutunyima maendeleo sisi tuliochagua upinzani unaona siyo kuhatarisha amani ya nchi siyo? au kwa vile tumeinama kimya? Mzee usione kobe kainama...Nimeongelea suala la kuhatarisha amani ya nchi na kupelekea machafuko
Tundu Lissu shikilia hapo hapo baba...... imeisha hiyo!
Uhuru sio kusema chochote ndugu yangu. Rais Magufuli kumuahidi Mheshimiwa Lissu nafasi ya kazi ni Jambo la kawaida sana.we jamaa una lako jambo , mosi lissu alisema anataka uchaguzi huru na kama akishinda mkamtangaza mwingine bila haki ataingiza watu barabarani ,
mbili, tume ulioiandikia paia inatakiwa tenda haki , maana wana dhamana kubwa mfano wagombea wa upinzani wengi wameenguliwa na rufaa zipo kwao itakua busara kuruhusu wagombea wote bila masharti na hii itawaongezea heshima tukufu ,
tatu , mbona wakati jpm akimnanga lissu kwamba atampa kazi ndogo hukusema , au hukuona kama ni zalau kwa mgombea mwenza,
nne, kila mgombea ana maono yake pale atakpo chaguliwa nini akifanye kwa maslahi ya taifa so huwezi lazimisha mawazo ya mgomea mmoja yawe sawa na ya wengine,
mwisho kampeni ni vita kila mmoja anaangalia anatoka vipi na anapeleka ushawishi wake vipi so andiko lako lako ni jepesi , badala ya kulalamika tume toa mawazo lipi au ni hoja gani wamjibu but sio kutafuta uhuruma nyuma yakibodi , zipo hoja nyingi za kumjibu lissu za kuhusu muungano na vilele wenda pia naye zipo hoja nyingi za kujitetea kwa alicho kisema kuhusu muungano,
Hao wapuuzi wanazalishwa kila uchao na ccm, ishauri basi ccm walau wawapunguze mtaani hao wapuuzi, ila mna maneno mengi sana , elewa kuwa urais, ubunge na udiwani ni vyeo vya kimkataba na mkataba wake ni miaka 5, uwe umefanya vizuri au vibaya wanaohamua urudi ni wananchi, sasa mnachoshindwa kuelewa ni nini punguzeni povu, ili uishi si lazima uwe Mbunge au rais au diwani, Tz sio ya kwanza kubadiri Rais, hata huyo Lissu akivurunda au wananchi wakachoka chama chake watamfurusha.Na uelewe kuwa kwa sasa wananchi wamechoka chama wala sio mgombea na hii ni kawaida ya binadamu.Lissu anaeleweka kwa wapuuzi tu vibaka waliokosa cha kufanya wanahitaji pesa ya kuja ghafla mfukoni....kama unapiga kazi halali huna neno juu ya magufuri..
Acha uongo basi.kwa hiyo kwa makusudi kutunyima maendeleo sisi tuliochagua upinzani unaona siyo kuhatarisha amani ya nchi siyo? au kwa vile tumeinama kimya? Mzee usione kobe kainama...
Mgombea wa CCM anapotishia kuwanyima wananchi maendeleo warakapochagua wapinzani unaona ni siasa safi!!
Mgombea wa CCM anapokatisha masomo wanafunzi ili wakasikilize wasichoweza kujibia mitihani unaona sahihi na hukisemi!
Mgombea wa CCM anapohutubia Kisukuma Mwanza, Shinyanga, Simiyu na Geita unaona sawa na husemi!
Wewe ni mwanaCCM unatakiwa kuwaeleza wanaCCM wenzio kwenye platform yenu.
Umeishiwa hoja sasa umeanza viojaHaheshimu box la kura, kwanini watu waheshimu box la kura lonalonajisiwa kwa madaraka ya urais?
Ndugu mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC),
Ninachukua fursa hii kukupongeza wewe na timu yako kwa kazi ngumu mnayoifanya. Mnafanya kazi zenu kwa weledi na kwa mujibu wa sheria. Hongereni sana.
Kama inavyofahamika, nchi yetu hufanya uchaguzi mkuu wa Rais, wabunge na madiwani kila baada ya Miaka mitano. Hii ni kwa mujibu wa sheria za nchi yetu ambayo ni nchi inayofuata demokrasia ya vyama vingi.
Ndugu mwenyekiti, mwaka huu, 2020 Tanzania itafanya Uchaguzi mkuu wa Rais, wabunge na madiwani. Tayari kampeni za uchaguzi zimeanza kote nchini huku vyama mbalimbali vikizunguka kunadi ilani zao za uchaguzi.
Itakumbukwa kuwa lengo la kampeni hizo Ni kunadi sera za chama husika ili wananchi waweze kufanya maamuzi sahihi siku ya kupiga kura. Kampeni hizi zinatawaliwa na kanuni, sheria na taratibu pamoja na utamaduni wetu Kama watanzania. Hivyo, haitarajiwi kampeni hizi kutumika Kama sehemu ya kuwagawa Watanzania.
Hivi karibuni tumeshuhudia vitendo kadhaa vya uvunjifu wa amani ambavyo mara zote hufanywa na chama kimoja tuu, CHADEMA. Kabla ya kuanza kampeni, tulimsikia Tundu Lissu, mgombea urais wa Tanzania kupitia tiketi ya CHADEMA akiweka wazi kuwa atawaingiza watanzania barabarani Kama hatatangazwa mshindi. Tuliahihudia waandishi wa TBC wakifukuzwa kwenye uzinduzi wa kampeni za CHADEMA pale mbagala kwenye viwanja vya zakhiem.
Tundu Lissu akiwa jijini Mbeya aliendeleza mashambulizi kwa viongozi wa nchi kuwa itawaka Moto usiozimika. Huku akijua kabisa analengo gani, anaweza hoja za kuwa atadhuriwa huku akijenga hoja "kijanja" na kuwatumbukiza viongozi wa nchi ili wananchi wakoae imani na viongozi hao.
Kubwa kuliko Ni kauli yake aliyoyafanya Zanzibar akisema Hayati mzee Karume alilazimishwa kusaini makubaliano ya Muungano kinyume na mapenzi yake. Aliunda mbali zaidi kuwaambia ndugu zetu wazanzibar wanachaguliwa viongozi wao na Tanganyika huku akijua fika kuwa vikao hufanyika Dodoma kwasababu ndio makao makuu ya chama cha Mapinduzi.
Kauli hizi anazitoa sio kwa bahati mbaya kwani Mheshimiwa Lissu ni wakili msomi mwenye weledi mkubwa wa masuala ya kisheria. Anafanya hivi kwa makusudi akitumia utaalamu wake wa kisheria kuwashawishi watanzania kuamini uongo ambao unaweza kupelekea uvunjifu wa amani.
Ninaomba nikiwa Kama mtanzania mzalendo ninayeipenda nchi yangu kuwa Mheshimiwa Lissu aonywe na aelekezwe kujikita kwenye kueneza sera za chama chake. Ni muhimu Mheshimiwa Lissu akumbushwe kuwa Kuna maisha baada ya Uchaguzi. Mimi na yeye tunaweza tusiwepo, Ila watanzania amvao Ni ndugu, rafiki na watoto wetu wayendelea kuwepo. Hawa wanastahili kesho bora zaidi.
Ni vema Mheshimiwa Lissu akakumbushwa kuwa viongozi wa kisiasa Kama yeye ni watu wenye ushawishi kwa wafuasi wao na kuwa maneno yao yanaweza kuleta Faraja au huzuni, kilio au furaha, upendo au chuki, umoja au utengano zaidi sana kifo au maisha.
Amani Msumari
Tanga
Nakala:
Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania
Msajili wa Vyama vya Siasa Tanzania
Katibu Mkuu - CHADEMA
Katibu Mkuu - CCM
KalagabahoNchi yote ni ya kijani kwa shuruti ya dola, ila sio kwa ridhaa ya wengi.
Ndugu Tundu anachokifanya ni maagizo na mikakati kutoka kwa mabeberuNdugu mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC),

Usipaniki bro. Huu mchezo hauhitaji hata chembe ya hasira. Hoja inajibiwa kwa hoja, upo nyonyo?Wewe ni takataka. Wenye vyombo vyote na kila nyenzo na uwezo wa kuchambua mambo wapo kimya,ila wewe "mchambuzi wa usalama" feki ndio umeyaona hayo.
Damu pekee itakayomwagika ni yako unayoimwaga kila mwezi kwa kwenda anga za juu kama NASA.
Mgombea wa CCM amefanya wapi siasa za kibaguzi, ukabila na kutishia wananchi..............Wakati mwingine usipomuelewa mgombea wa CCM au kujua aina ya watu wanaoongea ukweli na wenye hofu na Mungu wanakuwa vipi utapata tabu sana kumfahamu Mgombea wa ccm (MAGUFULI) na kwa nchi hii kumpata mgombea anayekubalika hadi na watoto ni ngumu kumpata katika kumbukumbu zangu alitokea Mwl. Nyerere na sasa Dkt MagufuliWa kuonywa ni mgombea wa ccm anaye endekeza siasa za kibaguzi, ukabila, kutisha wananvhi na kutumia wanafunzi watoto wadogo kisiasa badala ya kuwaacha wasone
Umesema sawasawaNdugu Tundu anachokifanya ni maagizo na mikakati kutoka kwa mabeberu
Viongozi wa nchi wanapaswa kulifuatilia hili mapema na hatua sitahiki zichukuliwe juu yaje kabl amadhara hayajawa makubwa kwa fikra ya watanzania.
Ushauri wangu kwasasa huyu hatufai ni kumpa aibu ya mwaka kwa kuchagua wagombea wa chama cha mapinduzi yaani CCM kuanzia Urais, Ubunge na Udiwani
Hajawatisha isipokuwa amejaribu kuwaambia ukweli uliopo maana ukichagua mpinzani maana yake umechagua mpinga Ilani ya chama husika so kama umepata mpinga ilani unapata vipi maendeleo katika eneo lako?Mimi nilifikiri yupo neutral. Angeandika na ubaguzi wa mgombea wao kuwatisha wananchi kutopeleka maendeleo walikopita upinzani
Watanzania tupo vizuri katika nchi yetu hatuwezi kuruhusu mabeberu kupenya katika Eneo letu na kutuingia mambo yetu kama nchi huruUmesema sawasawa
nimekuelewa mkuu wangu , ila mkuu tulipofika nipazuri , namaanisha kwa sasa lissu hajibiwe kwa hoja , na zipo nyingi za kumjibu, kuliko kuchukua vitu vidogo kuvifanya agenda , hii ni kufanya hata ambae alisha sahau aanze kukumbuka , mfano zipo njia 4 7 katika ushindi na katika upanguaji wa hoja je mmeshindwa zitumia baadhi ili kumjibu lissu, mpaka mkuu muhanze tafuta huruma ya tume , shida nini , mkuuUhuru sio kusema chochote ndugu yangu. Rais Magufuli kumuahidi Mheshimiwa Lissu nafasi ya kazi ni Jambo la kawaida sana.
Tume ilalamikiwe ikiwa walioenguliwa wameenguliwa kwa dhuluma. Kinyume na hapo acha sheria ichukue mkondo wake. Nadhani tumeelewana ndugu 4 7 Mbatizaji
Ili apate kauteuzi eeh?Kuna kitu Umesahau sijui nikukumbushe anyway , Umesahau hujaacha namba zako za simu