Amani Msumari
JF-Expert Member
- Aug 21, 2016
- 1,830
- 972
- Thread starter
-
- #161
Tundu Lissu anakwea pipa anaenda kusikilizia Ubelgiji huku anakunywa wine taratiiibu na mamsapu wakeBaada ya 28/10/2020 utamuonea huruma tu sana sana atakimbilia Ubelgiji na kukuacha wewe unapata kipigo cha mbwa koko!!
Nadhani inabidi apingwe kwa hoja zenye nguvu. Ikiwa aliyoyasema ni uongo ama laNdugu mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC),
Ninachukua fursa hii kukupongeza wewe na timu yako kwa kazi ngumu mnayoifanya. Mnafanya kazi zenu kwa weledi na kwa mujibu wa sheria. Hongereni sana.
Kama inavyofahamika, nchi yetu hufanya uchaguzi mkuu wa Rais, wabunge na madiwani kila baada ya Miaka mitano. Hii ni kwa mujibu wa sheria za nchi yetu ambayo ni nchi inayofuata demokrasia ya vyama vingi.
Ndugu mwenyekiti, mwaka huu, 2020 Tanzania itafanya Uchaguzi mkuu wa Rais, wabunge na madiwani. Tayari kampeni za uchaguzi zimeanza kote nchini huku vyama mbalimbali vikizunguka kunadi ilani zao za uchaguzi.
Itakumbukwa kuwa lengo la kampeni hizo Ni kunadi sera za chama husika ili wananchi waweze kufanya maamuzi sahihi siku ya kupiga kura. Kampeni hizi zinatawaliwa na kanuni, sheria na taratibu pamoja na utamaduni wetu Kama watanzania. Hivyo, haitarajiwi kampeni hizi kutumika Kama sehemu ya kuwagawa Watanzania.
Hivi karibuni tumeshuhudia vitendo kadhaa vya uvunjifu wa amani ambavyo mara zote hufanywa na chama kimoja tuu, CHADEMA. Kabla ya kuanza kampeni, tulimsikia Tundu Lissu, mgombea urais wa Tanzania kupitia tiketi ya CHADEMA akiweka wazi kuwa atawaingiza watanzania barabarani Kama hatatangazwa mshindi. Tuliahihudia waandishi wa TBC wakifukuzwa kwenye uzinduzi wa kampeni za CHADEMA pale mbagala kwenye viwanja vya zakhiem.
Tundu Lissu akiwa jijini Mbeya aliendeleza mashambulizi kwa viongozi wa nchi kuwa itawaka Moto usiozimika. Huku akijua kabisa analengo gani, anaweza hoja za kuwa atadhuriwa huku akijenga hoja "kijanja" na kuwatumbukiza viongozi wa nchi ili wananchi wakoae imani na viongozi hao.
Kubwa kuliko Ni kauli yake aliyoyafanya Zanzibar akisema Hayati mzee Karume alilazimishwa kusaini makubaliano ya Muungano kinyume na mapenzi yake. Aliunda mbali zaidi kuwaambia ndugu zetu wazanzibar wanachaguliwa viongozi wao na Tanganyika huku akijua fika kuwa vikao hufanyika Dodoma kwasababu ndio makao makuu ya chama cha Mapinduzi.
Kauli hizi anazitoa sio kwa bahati mbaya kwani Mheshimiwa Lissu ni wakili msomi mwenye weledi mkubwa wa masuala ya kisheria. Anafanya hivi kwa makusudi akitumia utaalamu wake wa kisheria kuwashawishi watanzania kuamini uongo ambao unaweza kupelekea uvunjifu wa amani.
Ninaomba nikiwa Kama mtanzania mzalendo ninayeipenda nchi yangu kuwa Mheshimiwa Lissu aonywe na aelekezwe kujikita kwenye kueneza sera za chama chake. Ni muhimu Mheshimiwa Lissu akumbushwe kuwa Kuna maisha baada ya Uchaguzi. Mimi na yeye tunaweza tusiwepo, Ila watanzania amvao Ni ndugu, rafiki na watoto wetu wayendelea kuwepo. Hawa wanastahili kesho bora zaidi.
Ni vema Mheshimiwa Lissu akakumbushwa kuwa viongozi wa kisiasa Kama yeye ni watu wenye ushawishi kwa wafuasi wao na kuwa maneno yao yanaweza kuleta Faraja au huzuni, kilio au furaha, upendo au chuki, umoja au utengano zaidi sana kifo au maisha.
Amani Msumari
Tanga
Nakala:
Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania
Msajili wa Vyama vya Siasa Tanzania
Katibu Mkuu - CHADEMA
Katibu Mkuu - CCM
Sema yote lakini uadilifu wa Rais Magufuli sio wa kutiliwa shaka hata kidogo.
Tundu Lissu anakwea pipa anaenda kusikilizia Ubelgiji huku anakunywa wine taratiiibu na mamsapu wake
Mtu anayehatarisha amani hapingwi kwa hoja bali sheria kuchukua mkondo wake. Anastahili kuonywa.Nadhani inabidi apingwe kwa hoja zenye nguvu. Ikiwa aliyoyasema ni uongo ama la
Acha kuweweseka! Tulienda dawa ya Lissu iwaingie vizuriNdugu mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC),
Ninachukua fursa hii kukupongeza wewe na timu yako kwa kazi ngumu mnayoifanya. Mnafanya kazi zenu kwa weledi na kwa mujibu wa sheria. Hongereni sana.
Kama inavyofahamika, nchi yetu hufanya uchaguzi mkuu wa Rais, wabunge na madiwani kila baada ya Miaka mitano. Hii ni kwa mujibu wa sheria za nchi yetu ambayo ni nchi inayofuata demokrasia ya vyama vingi.
Ndugu mwenyekiti, mwaka huu, 2020 Tanzania itafanya Uchaguzi mkuu wa Rais, wabunge na madiwani. Tayari kampeni za uchaguzi zimeanza kote nchini huku vyama mbalimbali vikizunguka kunadi ilani zao za uchaguzi.
Itakumbukwa kuwa lengo la kampeni hizo Ni kunadi sera za chama husika ili wananchi waweze kufanya maamuzi sahihi siku ya kupiga kura. Kampeni hizi zinatawaliwa na kanuni, sheria na taratibu pamoja na utamaduni wetu Kama watanzania. Hivyo, haitarajiwi kampeni hizi kutumika Kama sehemu ya kuwagawa Watanzania.
Hivi karibuni tumeshuhudia vitendo kadhaa vya uvunjifu wa amani ambavyo mara zote hufanywa na chama kimoja tuu, CHADEMA. Kabla ya kuanza kampeni, tulimsikia Tundu Lissu, mgombea urais wa Tanzania kupitia tiketi ya CHADEMA akiweka wazi kuwa atawaingiza watanzania barabarani Kama hatatangazwa mshindi. Tuliahihudia waandishi wa TBC wakifukuzwa kwenye uzinduzi wa kampeni za CHADEMA pale mbagala kwenye viwanja vya zakhiem.
Tundu Lissu akiwa jijini Mbeya aliendeleza mashambulizi kwa viongozi wa nchi kuwa itawaka Moto usiozimika. Huku akijua kabisa analengo gani, anaweza hoja za kuwa atadhuriwa huku akijenga hoja "kijanja" na kuwatumbukiza viongozi wa nchi ili wananchi wakoae imani na viongozi hao.
Kubwa kuliko Ni kauli yake aliyoyafanya Zanzibar akisema Hayati mzee Karume alilazimishwa kusaini makubaliano ya Muungano kinyume na mapenzi yake. Aliunda mbali zaidi kuwaambia ndugu zetu wazanzibar wanachaguliwa viongozi wao na Tanganyika huku akijua fika kuwa vikao hufanyika Dodoma kwasababu ndio makao makuu ya chama cha Mapinduzi.
Kauli hizi anazitoa sio kwa bahati mbaya kwani Mheshimiwa Lissu ni wakili msomi mwenye weledi mkubwa wa masuala ya kisheria. Anafanya hivi kwa makusudi akitumia utaalamu wake wa kisheria kuwashawishi watanzania kuamini uongo ambao unaweza kupelekea uvunjifu wa amani.
Ninaomba nikiwa Kama mtanzania mzalendo ninayeipenda nchi yangu kuwa Mheshimiwa Lissu aonywe na aelekezwe kujikita kwenye kueneza sera za chama chake. Ni muhimu Mheshimiwa Lissu akumbushwe kuwa Kuna maisha baada ya Uchaguzi. Mimi na yeye tunaweza tusiwepo, Ila watanzania amvao Ni ndugu, rafiki na watoto wetu wayendelea kuwepo. Hawa wanastahili kesho bora zaidi.
Ni vema Mheshimiwa Lissu akakumbushwa kuwa viongozi wa kisiasa Kama yeye ni watu wenye ushawishi kwa wafuasi wao na kuwa maneno yao yanaweza kuleta Faraja au huzuni, kilio au furaha, upendo au chuki, umoja au utengano zaidi sana kifo au maisha.
Amani Msumari
Tanga
Nakala:
Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania
Msajili wa Vyama vya Siasa Tanzania
Katibu Mkuu - CHADEMA
Katibu Mkuu - CCM
Amefanya kosa gani kwa mujibu wa sheria?Mtu anayehatarisha amani hapingwi kwa hoja bali sheria kuchukua mkondo wake. Anastahili kuonywa.
Acha kuota ndoto za vurugu na umwagaji wa damu usiokuwepo!Point hapo ni " Uchaguzi wa huru a haki". Ikitokea umeona hujatendewa haki basi Kuna njia za kisheria za kufuata na sio kumwaga damu ya wananchi
umoja na amni bila haki mkuu hawezekaniki, haki kwanza mengine hufuata, haki..haki...haki...haki..haki, sio maneno yangu bali limehubiliwa enzi na enzi toka zama za mitume na manabihi mkuu, penye haki kila kitu huwa shwari . tafakari na chukua hatua mkuuMkuu shida ni kuwabtunataka amani na unoja wetu udumu na kuwa hatutamvumiliaa yeyote anauetaka kupoka vitu hivyo
Matusi yanatoka wapi?
Hilo la kura za vijijini umelisema wewe, mimi nilikuletea na kuongezea Hilo la kura za bure ukidhani vijijini hawajielewi. So usinilishe maneno. Baki mwenyewe na dhambi yako ya ubaguzi
Uadilfu upi??? Wa kujenga uwanja wa ndege kijijini kwake chato tena kwa kampuni yake Mayanga Construction??? Bila kupitishwa na Bunge???Sema yote lakini uadilifu wa Rais Magufuli sio wa kutiliwa shaka hata kidogo.
Waambie pia juu ya kutenda haki kwenye mchakato wa wagombea na wakati wa uchaguzi ili kuepusha vurugu na ukosefu wa amani kwa wagombea ambao wataona hawajatendewa haki.Ndugu mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC),
Ninachukua fursa hii kukupongeza wewe na timu yako kwa kazi ngumu mnayoifanya. Mnafanya kazi zenu kwa weledi na kwa mujibu wa sheria. Hongereni sana.
Kama inavyofahamika, nchi yetu hufanya uchaguzi mkuu wa Rais, wabunge na madiwani kila baada ya Miaka mitano. Hii ni kwa mujibu wa sheria za nchi yetu ambayo ni nchi inayofuata demokrasia ya vyama vingi.
Ndugu mwenyekiti, mwaka huu, 2020 Tanzania itafanya Uchaguzi mkuu wa Rais, wabunge na madiwani. Tayari kampeni za uchaguzi zimeanza kote nchini huku vyama mbalimbali vikizunguka kunadi ilani zao za uchaguzi.
Itakumbukwa kuwa lengo la kampeni hizo Ni kunadi sera za chama husika ili wananchi waweze kufanya maamuzi sahihi siku ya kupiga kura. Kampeni hizi zinatawaliwa na kanuni, sheria na taratibu pamoja na utamaduni wetu Kama watanzania. Hivyo, haitarajiwi kampeni hizi kutumika Kama sehemu ya kuwagawa Watanzania.
Hivi karibuni tumeshuhudia vitendo kadhaa vya uvunjifu wa amani ambavyo mara zote hufanywa na chama kimoja tuu, CHADEMA. Kabla ya kuanza kampeni, tulimsikia Tundu Lissu, mgombea urais wa Tanzania kupitia tiketi ya CHADEMA akiweka wazi kuwa atawaingiza watanzania barabarani Kama hatatangazwa mshindi. Tuliahihudia waandishi wa TBC wakifukuzwa kwenye uzinduzi wa kampeni za CHADEMA pale mbagala kwenye viwanja vya zakhiem.
Tundu Lissu akiwa jijini Mbeya aliendeleza mashambulizi kwa viongozi wa nchi kuwa itawaka Moto usiozimika. Huku akijua kabisa analengo gani, anaweza hoja za kuwa atadhuriwa huku akijenga hoja "kijanja" na kuwatumbukiza viongozi wa nchi ili wananchi wakoae imani na viongozi hao.
Kubwa kuliko Ni kauli yake aliyoyafanya Zanzibar akisema Hayati mzee Karume alilazimishwa kusaini makubaliano ya Muungano kinyume na mapenzi yake. Aliunda mbali zaidi kuwaambia ndugu zetu wazanzibar wanachaguliwa viongozi wao na Tanganyika huku akijua fika kuwa vikao hufanyika Dodoma kwasababu ndio makao makuu ya chama cha Mapinduzi.
Kauli hizi anazitoa sio kwa bahati mbaya kwani Mheshimiwa Lissu ni wakili msomi mwenye weledi mkubwa wa masuala ya kisheria. Anafanya hivi kwa makusudi akitumia utaalamu wake wa kisheria kuwashawishi watanzania kuamini uongo ambao unaweza kupelekea uvunjifu wa amani.
Ninaomba nikiwa Kama mtanzania mzalendo ninayeipenda nchi yangu kuwa Mheshimiwa Lissu aonywe na aelekezwe kujikita kwenye kueneza sera za chama chake. Ni muhimu Mheshimiwa Lissu akumbushwe kuwa Kuna maisha baada ya Uchaguzi. Mimi na yeye tunaweza tusiwepo, Ila watanzania amvao Ni ndugu, rafiki na watoto wetu wayendelea kuwepo. Hawa wanastahili kesho bora zaidi.
Ni vema Mheshimiwa Lissu akakumbushwa kuwa viongozi wa kisiasa Kama yeye ni watu wenye ushawishi kwa wafuasi wao na kuwa maneno yao yanaweza kuleta Faraja au huzuni, kilio au furaha, upendo au chuki, umoja au utengano zaidi sana kifo au maisha.
Amani Msumari
Tanga
Nakala:
Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania
Msajili wa Vyama vya Siasa Tanzania
Katibu Mkuu - CHADEMA
Katibu Mkuu - CCM
We umeambiwa na nani?Uadilfu upi??? Wa kujenga uwanja wa ndege kijijini kwake chato tena kwa kampuni yake Mayanga Construction??? Bila kupitishwa na Bunge???
Kwa iyo uwanja wa kimataifa Chagonja haujajengwa??? Kwa iyo Mayanga contractors sio kampuni inayojenga??? Kwa iyo Bunge lilipotisha ujenzi wa uwanja wa ndege chato????We umeambiwa na nani?
Tangu kampeni zianze sijamuona mgombea yeyote akipiga kampeni kwa kilugha chake au lugha yoyote zaidi ya lugha yetu adhimu, lugha ya taifa kiswahili. Sana sana nimewasikia wagombea wakichomekea kisukuma na kiingereza (Magufuli) na kiingereza (Lissu).Waambie pia juu ya kutenda haki kwenye mchakato wa wagombea na wakati wa uchaguzi ili kuepusha vurugu na ukosefu wa amani kwa wagombea ambao wataona hawajatendewa haki.
Waambie wawarudishe wagombea wote walioenguliwa ili wananchi wapate haki yao ya kikatiba ya kuchagua viongozi kwa sanduku la kura na si wengine wateuliwe(wakisemwa wamepita bila kupingwa) kama wale wa viti maalum
Waambie wasimamie maadili kwa kuwaonya wagombea kutumia lugha zao za asili na si lugha ya taifa pasipo wakalimani na pia kutumia nyimbo za lugha zao pasipo kuwa na beti za tafsiri.
Waambie viongozi wenye nafasi za kiserikali waache kutoa ahadi/maelekezo majukwaani ambazo zina mwonekano wa rushwa ili wapigiwe kura.
Waambie wagombea walioko serikalini wasitoe maelekezo kwa watumishi kuhudhuria kwenye mikutano ya kampeni kwa lazima kwani watumishi wanatokana na vyama mbalimbali. Wananchi waudhurie kwa hiari yao kama watapenda.
Kwahiyo yuko huru kufanya lolote hata kinyume na sheria?Mguse Lissu unuke