Barua ya wazi kwa Tundu Lissu kumuonya dhidi ya kutetea masikini na wapumbavu

Lissu kala shaba nusu afe ila watu walitulia tuli hakuna walichofanya ila et juzi karudi wamejifanya kwenda uwanja wa ndege kumpokea kana kwamba wanathamini mchango wake. Kweli hawa sio watu wa kuwasaidia jinsi walivyo hata Lissu angekuwa kafa kwa lile shambulizi kule dodoma basi sasa hivi wangekuwa washasahau kama hakuna kilichotokea.
 
Lisu kwa sasa hatetei unawadhani ni njia ya tu ya kupitia hao masikini yeye anatetea mabeberu hukuona acacia alivyotoa povu
Na hii ndo thinking na shukruni za masikini kwa Lissu
 
HahahaaΓ 

Yani tundu umeamua kujiandikia ujumbe wa kujiaifia!! Ni wanyonge gani unaowatetea wewe!! Acha kujipa sifa usizostahili.
 
Kama umaskini na unyonge ni mpango wa Mungu, kuwasaidia na kuwatetea ni kumkosoa Mungu.

Njia bora kabisa ya kuwasaidia masikini ni kutokuwa sehemu yao!
Umasikini na unyonge haujawahi kuwa mpango wa Mungu aliye hai,Tena amesema kilicho kinyonge Mbinguni hapana.Umasikini na unyonge wa watanzania ni mpango wa yesu wa burigi na chama chake
 
Nilianza kusoma nikadhara ila nimeelewa Sana ,.Ni KWELI wanaotetewa hawajielewi kabisa. Ila. Napinga kuwa umaskini Ni mpango was mungu.
 
Huyu mwandishi kama anaongea ukweli kabisa,,masikini hawana maana kabisa..na hawasaidiki..
 
Wanaharakati uliowalenga hapa ni kina nani!
 
Hongera kwa makala ya kimasikini na kipumbavu ..duuh kweli duniani Kuna mambo
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ Kasema ukweli .. refer yaliyo wakuta Patrice lumumba .gadafi na Thomas Sankara .. dunia ndivyo ilivyo
 
Kama umaskini na unyonge ni mpango wa Mungu, kuwasaidia na kuwatetea ni kumkosoa Mungu.

Njia bora kabisa ya kuwasaidia masikini ni kutokuwa sehemu yao!
Nimecheka sana 😁
 
Marehemu yule alisema wapumbavu na malofa! Muhusika aliyasikia na hakufurahi akasema uchaguzi huu asiwepo asije akasema makubwa kuliko, akamrestisha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…