Barua ya wazi kwa Tundu Lissu

Barua ya wazi kwa Tundu Lissu

The Father of All

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2012
Posts
11,099
Reaction score
13,709
1747329384228.png

Mwanangu Tundu Antipas Lissu Mughwai,

Salamu toka kwa baba yako na wapenzi na mashabiki wako. Nakusalimu kwa jina la Jamhuri yenye haki ya Tanzania.

Japo tunawasikia wakihaha, uzuri ni kwamba wamekuficha na kushindwa kukuchafua na kukufuta kwenye nyoyo zetu na ulingo wa siasa hata kama ni za maji taka. Hivyo, usife moyo. Hata akina Nelson Mandela na wengine kama wewe walipitia hayo. Hakuna tofali linaloweza kufaa kujengewa nyumba ya kudumu linaloweza kukwepa tanuru la moto.

Kwanza, pole kwa yanayokukuta. Usife moyo. Yana mwisho na mwisho wenye unakaribia. Kuna usemi kuwa ukiona kiza kinazidi, jua mwanga waja. Hivyo, kaza buti.

Pili, najua umewekwa tunduni kama jina lako. Umeumizwa hakuna mfano. Ila Mungu siyo Samia, tunaamini utashinda. Najua kuna mwanga mbele. Nani ajuaye kuwa watesi wako hawataingia huko walikokuweka? Nani anayajua ya kesho? Nikufariji kwa kukukumbusha tukio unalojua fika. Si jingine ni lile la kuangushwa kwa utawala wa Nicolae Ceaușescu kule Romania mwaka 1987.

Nani alijua Ceaușescu na walaji wenzake wangeangushwa tena bila kutarajia? Nani alijua Muamar Gadda the beloved brotherly leader huko Libya, angeangushwa, kukamatwa, kuuawa, na kuonyeshwa kama mzoga wa mbwa? Nani alijua kuwa mfalme Haile Sellasie wa Ethiopia angedukuliwa na kuuawa kama mbwa? Nani alijua kuwa Saddam Hussein wa Iraq angeangushwa na kunyongwa kama mbwa mwizi?

Hii ndiyo dunia na hii ndiyo siasa. Havitabiriki mwanangu. Wahenga walituhusia. Aliyeko juu, mngoje chini na madaraka hulevya chakari kuliko hata ulabu mwanangu.

Tatu, ukumbuke. Ulipompokea 'dada yako' mheshimiwa rais Samia Suluhu huko Ubelgiji,, uliingizwa mkenge ukamuamini, kumsifia, na kupata matumaini ukidhani mambo yangebadilka. Maskini hukujua

Kama ameweza kumuangusha, kumsaliti, na kumsahaulisha Magu, wewe ni nani? Japo huwa unamlaumu Magu kwa kukupiga risasi na kukuumiza , unasahau kuwa huyu dada yako alikuwa ndiye msaidizi na mshirika wake mkuu.

Pia, hukujua kuwa huyu ni mwanasiasa tena mwana CCM. Hata hivyo, kuna mwanga mbele.

Nne, kama utajaliwa kutoka tunduni, usiwaamini tena hawa. Najua, kwa kukengeuka, uliamua kukinukisha ili watanzania waamke. Nionavyo usaliti unaofanyiwa na mapandikizi na wasasi wa ngawira waliokuwa nawe chamani, uwezekano wa kubadilika si rahisi.

Maana, hakijanuka vilivyo kama ulivyotegemea. Kimsingi, rudi kwenye ubao tena. Bado kuna mwanga huko tuendako kama siyo kutoka ndani basi utatokea nje.

Tano, amini usiamini, kwa ulivyosalitiwa, njia ni ndefu na yenye mabonde na milima japo hili lisikukatishe tamaa. Kuna mwanga mbele.

Sita, ufahamu kuwa hakuna kitamu kisichopitia machungu. Ufanyacho ni sawa na kwenda kurina asali. Lazima ung'atwe na nyuki. Nakushauri uwe jabari kama nyegere. Usikubali kuacha asali kwa kuogopa nyuki na inzi. Heri yako, unapambana na inzi na chawa na siyo nyuki. Hivyo, ni suala la muda. Mbele kuna mwanga.

Saba, pia ufahamu kuwa msingi ambao umeshaweka, tena kwa muda mfupi, ni mkubwa na wa thamani sana. Hivyo, usikate wala kukatishwa tamaa.

Hakuna lenye mwanzo lisilokuwa na mwisho, na mwisho unakaribia.

Saba, usitishike wala kutingishwa. Tunawaona wanavyohaha wasipate hata sababu moja ya kutushawishi kuwa ulitenda kosa la uhaini. Kama ni uhaini, basi walioutenda ni wao kwa kukuvunja katiba na kukudhulumu haki zako za kibinadamu na kikatiba.

Nane, huku nje, ujue. Heche anaendelea kuwanyima usingizi. Hata kama wanajifanya wanalala, wanalala macho. Na sababu ya kukosa usingizi si nyingine bali wewe.

Tisa, nakushauri uanze mgomo wa kula. Kumbuka, ulipotishia kugoma kula wakati wakita kubumunda kesi yako, waliamua isikilizwe mubashara. Hivyo, ukiamua kugoma kula, watafanya kama walivyofanya kwa kesi yako.

Kumi, ugome kusikilizwa kesi yako na majaji wa kitanzania ambao tunaambiwa wanahudumia CCM chini ya Judiciary inayopigiwa simu na kuamriwe isikilioze/kutosikiliza na kuamua vipi na siyo inavyotakiwa. Mahakama za namna hii zinatoa hukumu siyo inavyostahili wala kutakiwa bali wakubwa wanavyotaka. Haya si mahakama. Wewe ni mwanasheria. Unajua maana ya kangaroo court. sideshows, na ujinga mwingine mwanangu. Komaa kieleweke. Kuna mwanga mbele.

Mwisho, hakikisha kinanukishwa hata huko ndani. Usikae kule kuwaza na kusononeka. Wahamasishe wote walioko tunduni na kuwaaminisha kuwa wakikinukisha, haki zao zitapatikana na watatoka tunduni ha kurudi na kuwaweka waliokuweka huko. Mwanangu, una baraka zangu zote. Usikate tamaa, kutetereka, wala kudanganywa tena na dada yako. Huyo si dada yako bali adui yako.
Asante na kila la heri mwanangu.

A Luta Continua mapambano yaendelee na kazi ya kuleta haki iendelee.
Father of All baba yako na wote.
 
View attachment 3334931

Shikamoo baba ,umemsikia yule speaker aliyetutukana vijana wote ambao hatukwenda jando eti tuna vibamia baba ?
Naomba useme neno ututetee baba wa wote
 
Hakuna mahali umeandika upo tayari wewe uende jela Lissu atoke. Na huo ni unafiki wa hali ya juu!!
 
Mbona wewe huendi. Unataka wote tuende jela hata bila kupakaziwa? Nimeonyesha kuwa tayari kusaidia kisaikolojia. Hivyo, kama unataka nami niende jela, huna maana, maana sijashitakiwa wala mie si kikwazo kwa hao machawa wenzako. Hata hivyo, namshukuru mheshimiwa rais daktari profesa SSH kuniwezesha kuandika niliyoandika. Naamini yatamfurahisha. Na hiyo ndiyo furaha yangu mwanangu.
 
Niende jela kwa lipi wakati mimi nataka Lissu AHUKUMIWE?
 
Shikamoo baba ,umemsikia yule speaker aliyetutukana vijana wote ambao hatukwenda jando eti tuna vibamia baba ?
Naomba useme neno ututetee baba wa wote
Mpuuzie huyo mdangaji na kisura chake cha kitumbua kilichoungua. Nadhani kinachomsumbua ni uchawa na uzwazwa pamoja na kwamba anaitwa daktari kama kabundi. Nadhani pia, ana matatizo kwenye ndoa yake. Cha mno, hakupata malezi mazuri. Utakuta mwenye hicho kibamiza ni murumewe. Kwani amejuaje au katembea na vijana wote? Huyu naye ni msenzi kabisa. Anatuangusha sisi wanyakyusa kusema ukweli.
 
Ahsante baba kwa kumchamba ipasavyo
Sasa nalala
 
View attachment 3334931
Mwanangu Tundu Antipas Lissu Mughwai,

Salamu toka kwa baba yako na wapenzi na mashabiki wako. Nakusalimu kwa jina la Jamhuri yenye haki ya Tanzania.

Japo tunawasikia wakihaha, uzuri ni kwamba wamekuficha na kushindwa kukuchafua na kukufuta kwenye nyoyo zetu na ulingo wa siasa hata kama ni za maji taka. Hivyo, usife moyo. Hata akina Nelson Mandela na wengine kama wewe walipitia hayo. Hakuna tofali linaloweza kufaa kujengewa nyumba ya kudumu linaloweza kukwepa tanuru la moto.

Kwanza, pole kwa yanayokukuta. Usife moyo. Yana mwisho na mwisho wenye unakaribia. Kuna usemi kuwa ukiona kiza kinazidi, jua mwanga waja. Hivyo, kaza buti.

Pili, najua umewekwa tunduni kama jina lako. Umeumizwa hakuna mfano. Ila Mungu siyo Samia, tunaamini utashinda. Najua kuna mwanga mbele. Nani ajuaye kuwa watesi wako hawataingia huko walikokuweka? Nani anayajua ya kesho? Nikufariji kwa kukukumbusha tukio unalojua fika. Si jingine ni lile la kuangushwa kwa utawala wa Nicolae Ceaușescu kule Romania mwaka 1987.

Nani alijua Ceaușescu na walaji wenzake wangeangushwa tena bila kutarajia? Nani alijua Muamar Gadda the beloved brotherly leader huko Libya, angeangushwa, kukamatwa, kuuawa, na kuonyeshwa kama mzoga wa mbwa? Nani alijua kuwa mfalme Haile Sellasie wa Ethiopia angedukuliwa na kuuawa kama mbwa? Nani alijua kuwa Saddam Hussein wa Iraq angeangushwa na kunyongwa kama mbwa mwizi?

Hii ndiyo dunia na hii ndiyo siasa. Havitabiriki mwanangu. Wahenga walituhusia. Aliyeko juu, mngoje chini na madaraka hulevya chakari kuliko hata ulabu mwanangu.

Tatu, ukumbuke. Ulipompokea 'dada yako' mheshimiwa rais Samia Suluhu huko Ubelgiji,, uliingizwa mkenge ukamuamini, kumsifia, na kupata matumaini ukidhani mambo yangebadilka. Maskini hukujua

Kama ameweza kumuangusha, kumsaliti, na kumsahaulisha Magu, wewe ni nani? Japo huwa unamlaumu Magu kwa kukupiga risasi na kukuumiza , unasahau kuwa huyu dada yako alikuwa ndiye msaidizi na mshirika wake mkuu.

Pia, hukujua kuwa huyu ni mwanasiasa tena mwana CCM. Hata hivyo, kuna mwanga mbele.

Nne, kama utajaliwa kutoka tunduni, usiwaamini tena hawa. Najua, kwa kukengeuka, uliamua kukinukisha ili watanzania waamke. Nionavyo usaliti unaofanyiwa na mapandikizi na wasasi wa ngawira waliokuwa nawe chamani, uwezekano wa kubadilika si rahisi.

Maana, hakijanuka vilivyo kama ulivyotegemea. Kimsingi, rudi kwenye ubao tena. Bado kuna mwanga huko tuendako kama siyo kutoka ndani basi utatokea nje.

Tano, amini usiamini, kwa ulivyosalitiwa, njia ni ndefu na yenye mabonde na milima japo hili lisikukatishe tamaa. Kuna mwanga mbele.

Sita, ufahamu kuwa hakuna kitamu kisichopitia machungu. Ufanyacho ni sawa na kwenda kurina asali. Lazima ung'atwe na nyuki. Nakushauri uwe jabari kama nyegere. Usikubali kuacha asali kwa kuogopa nyuki na inzi. Heri yako, unapambana na inzi na chawa na siyo nyuki. Hivyo, ni suala la muda. Mbele kuna mwanga.

Saba, pia ufahamu kuwa msingi ambao umeshaweka, tena kwa muda mfupi, ni mkubwa na wa thamani sana. Hivyo, usikate wala kukatishwa tamaa.

Hakuna lenye mwanzo lisilokuwa na mwisho, na mwisho unakaribia.

Saba, usitishike wala kutingishwa. Tunawaona wanavyohaha wasipate hata sababu moja ya kutushawishi kuwa ulitenda kosa la uhaini. Kama ni uhaini, basi walioutenda ni wao kwa kukuvunja katiba na kukudhulumu haki zako za kibinadamu na kikatiba.

Nane, huku nje, ujue. Heche anaendelea kuwanyima usingizi. Hata kama wanajifanya wanalala, wanalala macho. Na sababu ya kukosa usingizi si nyingine bali wewe.

Tisa, nakushauri uanze mgomo wa kula. Kumbuka, ulipotishia kugoma kula wakati wakita kubumunda kesi yako, waliamua isikilizwe mubashara. Hivyo, ukiamua kugoma kula, watafanya kama walivyofanya kwa kesi yako.

Kumi, ugome kusikilizwa kesi yako na majaji wa kitanzania ambao tunaambiwa wanahudumia CCM chini ya Judiciary inayopigiwa simu na kuamriwe isikilioze/kutosikiliza na kuamua vipi na siyo inavyotakiwa. Mahakama za namna hii zinatoa hukumu siyo inavyostahili wala kutakiwa bali wakubwa wanavyotaka. Haya si mahakama. Wewe ni mwanasheria. Unajua maana ya kangaroo court. sideshows, na ujinga mwingine mwanangu. Komaa kieleweke. Kuna mwanga mbele.

Mwisho, hakikisha kinanukishwa hata huko ndani. Usikae kule kuwaza na kusononeka. Wahamasishe wote walioko tunduni na kuwaaminisha kuwa wakikinukisha, haki zao zitapatikana na watatoka tunduni ha kurudi na kuwaweka waliokuweka huko. Mwanangu, una baraka zangu zote. Usikate tamaa, kutetereka, wala kudanganywa tena na dada yako. Huyo si dada yako bali adui yako.
Asante na kila la heri mwanangu.

A Luta Continua mapambano yaendelee na kazi ya kuleta haki iendelee.
Father of All baba yako na wote.
Mzanzibari siku likimkuta la kumkuta itakuwa bomba sana.
 
Hili la ma-judge wa nje limekaa poa sana ila ni vigumu sana kulipata.
 
Lissu hakuamuamini Samia
Katika page yake ya X (Twitter ) zamani alisema tusishangilie sana. Maana CCM ni wale wale sema Samia kipindi anaanza alitaka kuiaminisha tu dunia kuwa Tz ya JK imerudi, alivyayajua madaraka ya Urais ,Samia amekua siyo yule tena
 
Back
Top Bottom