Mtoto wa Shule
JF-Expert Member
- Nov 16, 2014
- 21,572
- 15,610
Wewe sio chawa wa Lissu? Kama sio chawa, kwanini unamshabikia?Basi mshukuru mheshimiwa rais daktari profesa SSH kwa msimamo huo wa kichawa bila kichwa

Mie ni baba yenu na nyote ni wanangu mwanangu elewa. Simpo.Wewe sio chawa wa Lissu? Kama sio chawa, kwanini unamshabikia?
R u shuwa?Lissu hakuamuamini Samia
Katika page yake ya X (Twitter ) zamani alisema tusishangilie sana. Maana CCM ni wale wale sema Samia kipindi anaanza alitaka kuiaminisha tu dunia kuwa Tz ya JK imerudi, alivyayajua madaraka ya Urais ,Samia amekua siyo yule tena
Amina Sana. Namkubali LissuView attachment 3334931
Mwanangu Tundu Antipas Lissu Mughwai,
Salamu toka kwa baba yako na wapenzi na mashabiki wako. Nakusalimu kwa jina la Jamhuri yenye haki ya Tanzania.
Japo tunawasikia wakihaha, uzuri ni kwamba wamekuficha na kushindwa kukuchafua na kukufuta kwenye nyoyo zetu na ulingo wa siasa hata kama ni za maji taka. Hivyo, usife moyo. Hata akina Nelson Mandela na wengine kama wewe walipitia hayo. Hakuna tofali linaloweza kufaa kujengewa nyumba ya kudumu linaloweza kukwepa tanuru la moto.
Kwanza, pole kwa yanayokukuta. Usife moyo. Yana mwisho na mwisho wenye unakaribia. Kuna usemi kuwa ukiona kiza kinazidi, jua mwanga waja. Hivyo, kaza buti.
Pili, najua umewekwa tunduni kama jina lako. Umeumizwa hakuna mfano. Ila Mungu siyo Samia, tunaamini utashinda. Najua kuna mwanga mbele. Nani ajuaye kuwa watesi wako hawataingia huko walikokuweka? Nani anayajua ya kesho? Nikufariji kwa kukukumbusha tukio unalojua fika. Si jingine ni lile la kuangushwa kwa utawala wa Nicolae Ceaușescu kule Romania mwaka 1987.
Nani alijua Ceaușescu na walaji wenzake wangeangushwa tena bila kutarajia? Nani alijua Muamar Gadda the beloved brotherly leader huko Libya, angeangushwa, kukamatwa, kuuawa, na kuonyeshwa kama mzoga wa mbwa? Nani alijua kuwa mfalme Haile Sellasie wa Ethiopia angedukuliwa na kuuawa kama mbwa? Nani alijua kuwa Saddam Hussein wa Iraq angeangushwa na kunyongwa kama mbwa mwizi?
Hii ndiyo dunia na hii ndiyo siasa. Havitabiriki mwanangu. Wahenga walituhusia. Aliyeko juu, mngoje chini na madaraka hulevya chakari kuliko hata ulabu mwanangu.
Tatu, ukumbuke. Ulipompokea 'dada yako' mheshimiwa rais Samia Suluhu huko Ubelgiji,, uliingizwa mkenge ukamuamini, kumsifia, na kupata matumaini ukidhani mambo yangebadilka. Maskini hukujua
Kama ameweza kumuangusha, kumsaliti, na kumsahaulisha Magu, wewe ni nani? Japo huwa unamlaumu Magu kwa kukupiga risasi na kukuumiza , unasahau kuwa huyu dada yako alikuwa ndiye msaidizi na mshirika wake mkuu.
Pia, hukujua kuwa huyu ni mwanasiasa tena mwana CCM. Hata hivyo, kuna mwanga mbele.
Nne, kama utajaliwa kutoka tunduni, usiwaamini tena hawa. Najua, kwa kukengeuka, uliamua kukinukisha ili watanzania waamke. Nionavyo usaliti unaofanyiwa na mapandikizi na wasasi wa ngawira waliokuwa nawe chamani, uwezekano wa kubadilika si rahisi.
Maana, hakijanuka vilivyo kama ulivyotegemea. Kimsingi, rudi kwenye ubao tena. Bado kuna mwanga huko tuendako kama siyo kutoka ndani basi utatokea nje.
Tano, amini usiamini, kwa ulivyosalitiwa, njia ni ndefu na yenye mabonde na milima japo hili lisikukatishe tamaa. Kuna mwanga mbele.
Sita, ufahamu kuwa hakuna kitamu kisichopitia machungu. Ufanyacho ni sawa na kwenda kurina asali. Lazima ung'atwe na nyuki. Nakushauri uwe jabari kama nyegere. Usikubali kuacha asali kwa kuogopa nyuki na inzi. Heri yako, unapambana na inzi na chawa na siyo nyuki. Hivyo, ni suala la muda. Mbele kuna mwanga.
Saba, pia ufahamu kuwa msingi ambao umeshaweka, tena kwa muda mfupi, ni mkubwa na wa thamani sana. Hivyo, usikate wala kukatishwa tamaa.
Hakuna lenye mwanzo lisilokuwa na mwisho, na mwisho unakaribia.
Saba, usitishike wala kutingishwa. Tunawaona wanavyohaha wasipate hata sababu moja ya kutushawishi kuwa ulitenda kosa la uhaini. Kama ni uhaini, basi walioutenda ni wao kwa kukuvunja katiba na kukudhulumu haki zako za kibinadamu na kikatiba.
Nane, huku nje, ujue. Heche anaendelea kuwanyima usingizi. Hata kama wanajifanya wanalala, wanalala macho. Na sababu ya kukosa usingizi si nyingine bali wewe.
Tisa, nakushauri uanze mgomo wa kula. Kumbuka, ulipotishia kugoma kula wakati wakita kubumunda kesi yako, waliamua isikilizwe mubashara. Hivyo, ukiamua kugoma kula, watafanya kama walivyofanya kwa kesi yako.
Kumi, ugome kusikilizwa kesi yako na majaji wa kitanzania ambao tunaambiwa wanahudumia CCM chini ya Judiciary inayopigiwa simu na kuamriwe isikilioze/kutosikiliza na kuamua vipi na siyo inavyotakiwa. Mahakama za namna hii zinatoa hukumu siyo inavyostahili wala kutakiwa bali wakubwa wanavyotaka. Haya si mahakama. Wewe ni mwanasheria. Unajua maana ya kangaroo court. sideshows, na ujinga mwingine mwanangu. Komaa kieleweke. Kuna mwanga mbele.
Mwisho, hakikisha kinanukishwa hata huko ndani. Usikae kule kuwaza na kusononeka. Wahamasishe wote walioko tunduni na kuwaaminisha kuwa wakikinukisha, haki zao zitapatikana na watatoka tunduni ha kurudi na kuwaweka waliokuweka huko. Mwanangu, una baraka zangu zote. Usikate tamaa, kutetereka, wala kudanganywa tena na dada yako. Huyo si dada yako bali adui yako.
Asante na kila la heri mwanangu.
A Luta Continua mapambano yaendelee na kazi ya kuleta haki iendelee.
Father of All baba yako na wote.
Baba Tundu, unaonaje ukaenda hata kununua chomachoma ya ufuta Nanjilinji?!!!!View attachment 3334931

Nyie mtieni bichwa tu.Mwenzake balozi wa nyumba kumi alibemendwa pamoja na mdomo wake alipoachiwa akaulizwa ,kifuatacho ? akasema amemuachia Mungu.View attachment 3334931

Mnaangaika nyinyi😏😏😏View attachment 3334931

Kwani wewe uhangaiki? Kama huangaiki jua unahangaishwa na uchawa na uzwazwa mwingine. Hata hivyo, ni jambo la kumshukuru mheshimiwa rais daktari profesa SSH kwa yote haya. Na ufalme wake utukuke duniani na mbinguni.Mnaangaika nyinyi😏😏😏
Kesi hua haihamishiki, kesi siyo ndoa ambayo unaweza kumrithi mke wa kaka yako.Hakuna mahali umeandika upo tayari wewe uende jela Lissu atoke. Na huo ni unafiki wa hali ya juu!!
Ukisoma wewe, yeye amesoma. Watamwambia na atamshukuru mheshimiwa rais daktari profesa SSH.Mkuu una hakika kama hii barua yako ataisoma?
Huenda huko aliko alinyanganywa hata simu zake!