Barua ya wazi kwa Tundu Lissu

R u shuwa?
 
Amina Sana. Namkubali Lissu
 
Baba Tundu, unaonaje ukaenda hata kununua chomachoma ya ufuta Nanjilinji?!!!!
 
Nyie mtieni bichwa tu.Mwenzake balozi wa nyumba kumi alibemendwa pamoja na mdomo wake alipoachiwa akaulizwa ,kifuatacho ? akasema amemuachia Mungu.
 
Mnaangaika nyinyi😏😏😏
 
Mnaangaika nyinyi😏😏😏
Kwani wewe uhangaiki? Kama huangaiki jua unahangaishwa na uchawa na uzwazwa mwingine. Hata hivyo, ni jambo la kumshukuru mheshimiwa rais daktari profesa SSH kwa yote haya. Na ufalme wake utukuke duniani na mbinguni.
 
Mkuu una hakika kama hii barua yako ataisoma?
Huenda huko aliko alinyanganywa hata simu zake!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…