Mhe. Waziri wa Maji Salaam. Hapa Mwanza Mamlaka yetu ya maji inaitwa Mwauwasa. Katika jiji la Mwanza maeneo mengi yanakosa maji licha ya kuwa hatua chache tu toka Ziwa Victoria (a stone throw away) kwa lugha ya kimombo.
Mfano hai ni eneo la Mwananchi leo ni siku ya tano hatuna maji na hata maeneo mengine. Kati ya Mhe. Waziri anayependa kusifu nani kama ni wewe.
Mhe. Waziri Jiji la Mwanza tuna mkosi gani? Katibu Mkuu wako yeye ndiyo alikuwa Mtendaji Mkuu wa Mwauwasa.
Tunakuomba Jiji la Mwanza lipate suluhisho la kudumu kuhusu upatikanaji wa maji safi na salama vinginevyo hatutakuelewa.