Sijawahi kujua shida ni hapo Mwanza, hadi tunanaanza kuzeeka maji ni shida na Ziwa lipo karibu. Enzi zile tunaamshwa saa9 usiku tujaze maji kwenye madyaba na madishi, saa12 unaunga kujiandaa shule, yasipotoka jioni haaao kisimani down the memory line.