Barua ya Zitto kuhusu Lwakatare: Maelezo yangu

Status
Not open for further replies.
Kudos ZZK ujumbe kwa hicho kirus mwisho wa ubaya aibu
 
jaman naanza kukupenda ghafla na kukwamini zitto..... unarudi kwa kasi nakumbuka wakati umekuja hapa pamoja nami kuwa na kajina kadogo hapa nilikimbia kukusindikza kwa kusukuma gari welcome back the boss...

nakupa imani yangu naomba uitunze usiniangushe
 
Kama hadi muda huu bado haijathibitika kuwa yule ni Rwakatare na ameshiriki katika kurekodi mkanda huo, haitakaa ithibitike tena

wanasubiri upepo uende vipi lol

sasa kama Zitto hana uhakika na ukweli wa video ya Rwakatare
hadi aombe uchunguzi
why tena aseme haamini kuna watu wanataka muua?
what if uchunguzi ukisema video ni kweli?
 
Nilisha sema jana kwenye mjadala wa ile barua na leo narudia kusema tena.

"Ukweli huwa una tabia ya kukawia kufika uliko kusudiwa,hata hivyo, huwa hauachi kufika. Unahitaji busara na hekima ya kiu-vumilivu kuusubiri".

Walio taka kuupata ukweli jana ileile muda uleule watakuwa wanajiona wamechelewa kuupata ukweli, lakini kwa kuwa tabia ya ukweli ni kufika bila kujalisha kuwa utachelewa, huwa tulizo na liwazo kwa mwenye subira na hekima kuusubiri ukweli husika.

Hili linapita baada ya mhusika kuuweka ukweli, naamini yatakuja mengi na yatapita ukweli ukidhihiri, tulijua ya Mwangosi, sembuse ya Epa! Tukajua ya Buzwagi sembuse ya Uswis?, umejua ya kuiba wali jeshini sembuse ya kukaliwa Itikafu?, hata ya Ludovick na nduguye Lwekatare pia ukweli utajulikana.

"Ukweli huwa una tabia ya kukawia kufika uliko kusudiwa lakini hauachi kufika..."

CC Ritz, Zemarcopolo, Chama, Tumaini Makene.
 
Last edited by a moderator:
UBARIKIWE KAMANDA WETU!
Ni uamuzi wa busara sana na ni vema muwe mnajitokeza mapema kudilute propaganda zao kwa haraka.
 
Chadema si chama makini. Msiwapuuzie wale wanaoendelea kutunza kadi za CCM kama ukumbusho. Huenda bado wana mapenzi na chama chao cha zamani.Mtandao tu unatosha kupindua serikali ya Chadema wala huhitaji kuingia msituni.
 
mkuu zitto , Asante kwa maelezo Mazuri . Vp kuhusu ludovick ? Mmemtosa au naye bado mpo naye katika kipindi hiki kigumu kinachomkabili ?
 
Hiki alichoongea Zitto kina umuhimu mkubwa sana,ni wakati wa umoja sasa tukitengana tu tumeumia
 
Hapo zitto nimekusoma kama kweli ID iliyoweka hiyo barua ndo hiyohiyo iliyoweka video ya lwakatale basi sina shaka huyo kirusi atakuwa hayuko upande wa zitto or upande wa slaa bali ni mtumishi wa ndani wa ofisi za chadema ie secretary wa katibu mkuu
 
mkuu zitto , Asante kwa maelezo Mazuri . Vp kuhusu ludovick ? Mmemtosa au naye bado mpo naye katika kipindi hiki kigumu kinachomkabili ?
Ludo lazima aondoke na Slaa, watamkwepa na kumkataa lakini mwisho wa maneno ukweli utajulikana.
 
Mkuu mimi nina maswali kadhaa. Umeandika kwamba uliandika barua kwa katibu mkuu wa chama kukisihi chama kifanye uchunguzi wa ndani kuhusu swala la Lwakatare. Je:

1. Ombi la kufanya uchunguzi ulikubaliwa?

2. Kama Ombi la uchunguzi lilikubaliwa je uchunguzi wa ndani umethibitisha nini?

3. Inaelekea unaamini kabisa kuwa kuna ki/virusi (spies) ndani ya chama. Je mmefanya uchunguzi wa kuwagundua ni wakina nani?
 
Kama kunakirusi ndani ya Chama kuna haja ya intelllegensia ya chama ifanye kazi kwa kuwa-scan viongozi na watu wote waliokaribu na viongozi waandamizi ili kikamatwe na kuwa-deleted. Mfano uchunguzi waweza kuanza kupitia hiyo barua kuwa ilipita mikononi mwa watu wepi na ilitunzwa mahali gani hadi hicho kirusi kikavujisha hizo taarifa.

Kwa kuwa ukweli hutafutwa na si kuumbwa naomba viongozi wautafute ukweli juu ya hicho kirusi.

Kwa ujumla napongeza ufafanuzi wako.
 
mbona mnasema film iliwekwa na ludo. hicho kirus au virus ni uongozi mzima hapo juu hamko pamoja.japo zitto ni kijana wa nyumbani kigoma nawasiwasi na zitto waha hatuko hivyo. yaani umeweza kujua walioficha pesa uswizi umeshindwa mambo ya ndani cdm
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…