Barua ya Zitto kuhusu Lwakatare: Maelezo yangu

Barua ya Zitto kuhusu Lwakatare: Maelezo yangu

Status
Not open for further replies.
pamoja kiongozi,mpaka keileweke...
 
umefanya vema!
Lakini jambo moja linalowasumbua au tatizo lenu kubwa nyie viongozi wa kisiasa wa sasa hasa CHADEMA ni kila mmoja kwa upande wake kuongelea jambo lolote linalohusu chama katika public bila kuwajuza viongozi wenzako. mfano umeona jamabo kama hili na unataka kuliweka JF kuna tatizo gani kwanza ku-share na ama viongozi wenzako wa juu au wasemaji wa chama .Haya mambo ya kila mmoja kuamua kusema lolote na media zinawanukuhu kila mmoja kivyake litawacost sana.
watu wanajitengenezea mazingira mazuri kuelekea 2015, Urais ni mgumu mno na umebaki ndoto, kwahiyo nguvu zote zinaelekezwa kwenye ubunge, na kila mmoja anajijengea mwenyewe.
 
Kama hadi muda huu bado haijathibitika kuwa yule ni Rwakatare na ameshiriki katika kurekodi mkanda huo, haitakaa ithibitike tena

This was an early statement, wakati video ndio bado imetoka. Hata hivo kesi bado ipo mahakamani. A early report from experts has confirmed that it is authentic but still the court has to pronounce it.
 
Asante kwa ufafanuzi ZZK

Nimekugongea 'like' kabla hata sijamaliza kusoma bandiko lako
 
Hapo itaomba awe mod au admin. But kwa haraka haraka tu hata wewe ukienda kwenye ile thread ya video utaona ID ni ile ile ilio tumika hapa. It is not deep investigation kivile

Since ni JF imemuomba atoe ufafanuzi
naomba nyinyi mods pia ntusaidie hizo id za kirusi kama zipo nyingi hapa
ikiwezekana mzi merge kabisa
 
amekili barua ni yake kasoro saini tu ndio imekosekani.!
 
Asante zitto,umenitia moyo kwa umoja na ushirikiano unahitajika sana ktk kipindi hiki kigumu.....tupo pamoja sana mkuu....ccm wameshindwa na kamwe hawatafaulu ufedhuli huu
 
mbona mnasema film iliwekwa na ludo. hicho kirus au virus ni uongozi mzima hapo juu hamko pamoja.japo zitto ni kijana wa nyumbani kigoma nawasiwasi na zitto waha hatuko hivyo. yaani umeweza kujua walioficha pesa uswizi umeshindwa mambo ya ndani cdm

Wewe uwe naheshima na jamvi hili pia uwe nakumbukumbu, ulijianika mwenyewe hapa mbunge muuza ubunge Kibaha mjini leo unajifanya muha ,acha masihara na sijui kwa nini mods wanakuachia siku zote unashusha hadhi ya jamvi hili
Mods musipokuwa makini kazi mulioifanya kwa miaka na jmvi likaja kuheshimika kuwa chanza cha taarifa members kama hawa wanaharibu jamvi mbele ya uso wenu
 
Zitto awe mkweli, nikwamba Zitto alikuwa na taarifa zote za hii video kabla haija postiwa mitandaoni. Na kama kweli alikuwa na moyo mweupe angelikua amesha wasiliana nauongozi wa juu wa chama ili walijadili hili swala. Sasa kwanini aje atoe huo ushauri baada ya video kusambazwa? Aache kufool watu!

Baada ya video kurekodiwa na habari kupelekwa kwa Nchemba na mhariri naye alipelekewa repoti na vijana.
 
This was an early statement, wakati video ndio bado imetoka. Hata hivo kesi bado ipo mahakamani. A early report from experts has confirmed that it is authentic but still the court has to pronounce it.

early report from police?
na CHADEMA wanakubalikuwa its genuine?
Na Zitto anakubali kuwa its genuine?
 
With no offense, imani yangu na niko sahihi kabisa ni kwamba KIRUSI KITAKACHO IMALIZA CHADEMA NI JOSEPHINE MUSHUMBUSI either
kwa michezo kama hii, au mingine atakayo iamua.

NB: Ni mtazamo tu, msinitoe meno na kucha zangu please.

Mmmh, kaka ushaharibu hali ya hewa
 
With no offense, imani yangu na niko sahihi kabisa ni kwamba KIRUSI KITAKACHO IMALIZA CHADEMA NI JOSEPHINE MUSHUMBUSI either
kwa michezo kama hii, au mingine atakayo iamua.

NB: Ni mtazamo tu, msinitoe meno na kucha zangu please.

Mkuu usihofu meno yako na kucha zako zitaendelea kuwepo tu.Mtaalam Mwigulu Nchemba yuko busy kufikilia kazi inayokwenda kufanywa na Zitto jimboni kwake.Ila tunamuomba asiwandago watoto wa wenzake.
 
nimeanza kuamini maneno ya mwapamba na shonza kuhusu maadui wa zitto wakati yeye akijiona salama huku maadui wake wakimwonesha live kuwa wapo,zzk usiwe sikio la kufa
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom