Otorong'ong'o
Platinum Member
- Aug 17, 2011
- 39,523
- 30,053
Hki kirusi hiki
hukijui kabisa au unayo majina una suspect but u cant share?
Umefanya vema!
Lakini jambo moja linalowasumbua au tatizo lenu kubwa nyie viongozi wa kisiasa wa sasa hasa CHADEMA ni kila mmoja kwa upande wake kuongelea jambo lolote linalohusu chama katika public bila kuwajuza viongozi wenzako.
Mfano umeona jambo kama hili na unataka kuliweka JF kuna tatizo gani kwanza ku-share na ama viongozi wenzako wa juu au wasemaji wa chama. Haya mambo ya kila mmoja kuamua kusema lolote na media zinawanukuhu kila mmoja kivyake litawacost sana.
Ahsante Zitto.
CDM tufanye kazi ya ziada ya kubaini mikakati michafu ya CCM ya kuiharibu CDM.
Never Say Never!
This was an early statement, wakati video ndio bado imetoka. Hata hivo kesi bado ipo mahakamani. A early report from experts has confirmed that it is authentic but still the court has to pronounce it.
Hki kirusi hiki
hukijui kabisa au unayo majina una suspect but u cant share?
Ama kweli, CCM ni waharamia ila Mungu Yuko nasi tutashinda na zaidi ya kushinda
utavishwa kanga mkuu,umekua mchonganishi sijui kwa manufaa ya nani unayoijua wewe!soma point 5 juu!nimeanza kuamini maneno ya mwapamba na shonza kuhusu maadui wa zitto wakati yeye akijiona salama huku maadui wake wakimwonesha live kuwa wapo,zzk usiwe sikio la kufa
mbona mnasema film iliwekwa na ludo. hicho kirus au virus ni uongozi mzima hapo juu hamko pamoja.japo zitto ni kijana wa nyumbani kigoma nawasiwasi na zitto waha hatuko hivyo. yaani umeweza kujua walioficha pesa uswizi umeshindwa mambo ya ndani cdm
Nilisha sema jana kwenye mjadala wa ile barua na leo narudia kusema tena.
"Ukweli huwa una tabia ya kukawia kufika uliko kusudiwa,hata hivyo, huwa hauachi kufika. Unahitaji busara na hekima ya kiu-vumilivu kuusubiri".
Walio taka kuupata ukweli jana ileile muda uleule watakuwa wanajiona wamechelewa kuupata ukweli, lakini kwa kuwa tabia ya ukweli ni kufika bila kujalisha kuwa utachelewa, huwa tulizo na liwazo kwa mwenye subira na hekima kuusubiri ukweli husika.
Hili linapita baada ya mhusika kuuweka ukweli, naamini yatakuja mengi na yatapita ukweli ukidhihiri, tulijua ya Mwangosi, sembuse ya Epa! Tukajua ya Buzwagi sembuse ya Uswis?, umejua ya kuiba wali jeshini sembuse ya kukaliwa Itikafu?, hata ya Ludovick na nduguye Lwekatare pia ukweli utajulikana.
"Ukweli huwa una tabia ya kukawia kufika uliko kusudiwa lakini hauachi kufika..."
CC Ritz, Zemarcopolo, Chama, Tumaini Makene.
Jamhuri limeandika hayo gazetini tarehe 30 March; siku sita zilizopita
Video hiyo imefika hapa JamiiForums tarehe 12 March
Kwa hiyo sikubaliani na maelezo yako ya kuwa ni easrly statement
Pili, hata kama mahakama halitaibuka suala la authenticity ya video, hivyo mahakama kuto-"pronounce" it, haimaanishi kuwa sio authentic
CHADEMA wanataka kujibabaisha tu.
Rwakatare knows it, they know it and we know it that that video is authentic as it can get
Mkuu uzuri wa JF hakulali njaa kwa habari, Tutasikia mengi.Zamani tulikuwa tuanaambiwa ni TUNTEMEKE na wenzake walikuwa wanawaita masalia sasa sijui tutaambiwa kina nani.
Kumbe barua ya kweli bana.
People in CDM claim to be "chama cha demokrasia" sasa itakuaje chama cha democrasia kianze ku-censor ukweli? Ingekua anatoa maoni binafsi kuhusiana na saga ya lwakatare hapo angekosea maana wanatakiwa wote kutoa kaauli moja, na ndio maana aliandika barua hii as an internal correspondence, na sasa ame-align to the party decision.
Ila kuja hapa na kusema kua kweli barua ni yake na sababu za kuandika mi sijaona kama amekosea.