Barua ya Zitto kuhusu Lwakatare: Maelezo yangu

Barua ya Zitto kuhusu Lwakatare: Maelezo yangu

Status
Not open for further replies.
Hivi ben saanane ( cobra ) si ndio anatabia ya kurekodi watu ? Yeye ndio atakuwa amefanya hii kazi kwa kutumia ile saa yake ya ajabu .Atakuwa ni kirusi kibaya sana ndani ya chama .
 
Umetumia hekima. Hicho kirusi kitafuteni mkifutilie mbali baharini, we dont like any sort of she..nzi..ness and tumba....fism of that kind
 
Naomba viongozi wote wa chadema tujaribu kuchunguza kwa umakini ili tuweze
kukitambua hicho kirusi kilichopo hapo makao makuu
haiwezekani barua za ndani zikawa zinavuja kiasi hicho.
 
Binafsi naamini kabisa kua the video is authentic and I am surprised that CDM efforts are focusing on blaming the recorder and not the recorded. Ni sawa na mtu akamatwe na CCTV then defense yake iblame the CCTV for recording the crime (maana kupanga walichokua wanapanga is a crime already).
But what I wanted to say in that post ni kua viongozi wa CDM hawawezi kusema sasa hivi kua video ni authentic or not as that is part of what the court has to pronounce. Issuing a final statement on the authenticity of the video now would be a contempt of the court ("Kesi iko mahakamani, hairuhusiwi kujadiliwa" type of argument).

Mimi naamini kabisa video ni staged na CCM na Usalama wa taifa mpaka pale mahakama itakaposema vinginevyo nashangaa kwanini CCM,DPP<na IKULU wananilazimisha niamini kuwa ni video yenye uhalisia naamini DPP anatumia nafasi yake vibaya na kwa hakikia intergity ya Mngulu kwangu ni hily questionable
 
kumbe kuku sio wa kuchora basi hata mipango ya rwakatale ni kwel mtupu .sumu ya slaa na bem ni ukweli mtupu,lunch time ni ukweli mtupu zito anapajua,mbowe kuzaa na mbunge wa viti maalumu ni ukwel mtupu tofauti ni toleo tu.
 
Mkuu Manyerere Jackton heshima sana.

Huo umekuwa mtazamo wangu muda mrefu,labda natofautina na wewe sehemu ndogo sana "BILA CHAMA IMARA CHA UPINZANI CCM itafanya itakalo wananchi hawatakuwa na sauti mbadala ya kuwasemea"It happen now chama imara cha upinzani ni CHADEMA lakini kinaweza kikaibuka chama kingine imara cha upinzani siku za usoni.

[1] NCCR Mageuzi isingesambaratika hakika Mkapa asingekuwa na jeuri ya kujiuzia KIWIRA.

[2] NCCR Mageuzi ingesimama imara kashfa za EPA,Deep Green na nk zisingetokea.

CHADEMA imechukua nafasi ya NCCR Mageuzi inafanya kazi yake vyema CCM inajaribu kusafisha nyumba (kujivua gamba) hata kama ni kiini macho bila CDM huo msamiati usingeusikia hata siku moja.Wabunge wa CCM wana nguvu bila CDM imara wasingekuwa na jeuri ya kutaka kumtimua kazi Pinda halafu wakabaki salama.Wasingekuwa na jeuri ya kuhoji mawaziri /wizara kama wafanyavyo sasa.Wangetimuliwa siku nyingi kwa kuihoji serekali yao Chama kingewaita na kuwataka kukabidhi kadi haraka bila kujali wanasimamia hoja gani.Siku hizi CCM imenywea mbele ya wabunge wake wanajua wakiwasumbua kwa hoja dhaifu wanasehemu ya kukimbilia.

Najua CCM inashughulika kweli watapenda CDM isambaratike kama ilikuwa NCCR pengine wanajua mikataba ya gesi na mafuta ikipitishwa bila upinzani wenye nguvu utawanufaisha viongozi zaidi na hatimaye watajiwekea vijisenti vyao huko USWISI bila kelele za upinzani.

Utashangaa kazi ya kusambaratisha upinzani inafanywa na TISS/UWT !.TISS haina habari na wanyama wetu wanaotoroshwa usiku na mchana kweupe.TISS haina habari na vita vya kidini vinavyopandwa kila siku katika nchi yetu.TISS kazi yao kubwa ni kutesa na kutoa uhai kwa sauti yoyote inayodai haki.

Ole wenu waTanzania upinzania ukifa/ukizorota leo hamtakuwa na sauti mbadala mtapelekwa kama ng'ombe anavyopelekwa machinjoni mtaongozwa kijinga mtake msitake pengo lilliloachwa na NCCR imechukua zaidi ya miaka kumi kuzibwa.Imechukua miongo kadhaa CDM kufikia hapo ilipo leo ni vyema tukailinda na kuikosoa kila inapokosea.



Mara zote nimeamini kuwa BILA CHADEMA imara, CCM itakuwa kama simba aliyekabidhiwa bustani yenye swala! Itafuja kila kilicho mbele. Chadema ikiwa imara, Tanzania itakuwa imara.
 
Last edited by a moderator:
CDM hebu jaribuni kuchunguza, Ben na Josephine walikuwa wapi wakati hiyo barua imepelekwa kwa Slaa.

we utakuma gretest thinker mkuu pokea like yangu.hapa maadui wa zzk hasa ben anahusika 100
kwa 100.
 
nimeanza kuamini maneno ya mwapamba na shonza kuhusu maadui wa zitto wakati yeye akijiona salama huku maadui wake wakimwonesha live kuwa wapo,zzk usiwe sikio la kufa

Umeanza kuamini leo?!!! Mbona haso ni wafuasi wako siku Zote!!!!
 
Chadema ipo vitani na Wapinzani wake CCM kwa kuwa tunakoelekea ni kwamba ccm inaonekana kuelemewa kisera sasa imebuni mkakati maridhawa wa kuidhoofisha chadema hilo liko bayana halina ubishi iwe kwa nguvu au kwa kutumia uwezo ilionao lakini wajanja tunasema PEOPEEEES POWEEEEEEEEER
 
Hapana! ninachosema ni hawa viongozi kutozungumza hata kwenye simu,bar,kahawa nk kushare mambo fulani mapya tena kwa kucheka,kutaniana,kujadili namna na mipango kama hiyo.mfano wewe uko kwenye familia ukiona jambo fulani linalogusa familia unaweza kumjulisha mwenza juu ya jambo na kusudio lako la kuchukua hatua ya awali licha ya kuwa kila mmoa ana uwezo na maoni yake!.

hawa viongozi wako hivyo? au wanakutana kwenye vikao na kuandikiana barua? basi kama ndivyo kuna tatizo kubwa!

Uongozi ni wajibu na ukisha kuwa kiongozi suala la 'haya ni maoni yangu' kwa kiasi kikubwa upungua sana na hakina unanyoweza kujitetea.

zito ni naibu katibu mkuu,coments zake kama hizi haziwezi kukijenga chama chao,bali kuwavuruka tu.

kila mtu anasema lolote,issue eti ni maoni yake?

Nakubaliana na wewe kwa kiasi kikubwa sana ila hapo in bold sijaelewa vizuri. Kwa mtazamo wangu nahisi hii statement yake inaonesha kua kunaweza kua na tofauti za ndani kwa ndani wakati wa kutoa maoni ila when it comes to having a public statement chama kinajadili na kusimama kwa sauti moja. Au mimi ndio nimeshindwa ku-capture hizo comment za kuvuruga?
 
Zitto! Mimi huwa sikwamini kabisa, wakati mwingine katika hili sakata la Lwakatare naona kama unajua kinachoendelea. Pia hata hiyo barua labda niwewe ndiye umeiweka humu. Hivi unafikiri Dr Slaa anaweza fanya huu utoto?. Kipindi cha nyuma mawasiliano yako yalishanaswa dhidi ya mkurugenzi mkuu usalama wa taifa. Taasisi hii ndiyo inalalamikiwa inakihujumu chama chako. Zitto, narudia tema mimi huwa sikwamini naomba unisamehe katika hili.
 
Binafsi naamini kabisa kua the video is authentic and I am surprised that CDM efforts are focusing on blaming the recorder and not the recorded. Ni sawa na mtu akamatwe na CCTV then defense yake iblame the CCTV for recording the crime (maana kupanga walichokua wanapanga is a crime already).
But what I wanted to say in that post ni kua viongozi wa CDM hawawezi kusema sasa hivi kua video ni authentic or not as that is part of what the court has to pronounce. Issuing a final statement on the authenticity of the video now would be a contempt of the court ("Kesi iko mahakamani, hairuhusiwi kujadiliwa" type of argument).

Roulette,

Mimi nitakuambia kwa nini kwa sasa Chadema wana deny authenticity ya hiyo video. Ukweli ni kwamba kama video itagundulika kuwa authentic na vyombo husika basi itakua ni big blow kwa Chadema especially wakati huu wa kuelekea 2015 na nitaeleza kwa nini.


Lwakatare ni mkurugenzi wa Usalama wa Chadema pia ni kiongozi mwandamizi. Watajielezaje kwamba mkurugenzi wao wa usalama alikua ana panga njama ya kuteka? Swali la pili ni kwamba kama kweli video ni authentic basi itabidi wajiulize Lwakatare alipanga hizo njama kwa niaba ya nani (chama au baadi ya viongozi wa chama)? Ana mgogoro gani binafsi na huyo aliepanga kumteka? Kama hamna mgogoro binafsi ina maana ana fanya hiyo kazi kwa niamba ya fulani au watu fulani je ni wakina nani?

Mimi ningekua mshauri wa Chadema ningewashauri yafuatayo:
1. Acheni kudai video siyo authentic mpaka pale hilo litakapo sibitishwa maana laa sivyo mtaonekana mnaedeshwa na hisia na siyo logic.

2. Tundu Lisu asingekua msemaji kwenye kesi hii. Lwakatare ana timu ya wanasheria kadhaa, mwanasheria yoyote angetakiwa kuwa spokesperson kwa maana Lisu ni mwanasiasa ukiacha kwamba ni mwanasheria. Je Lwakatare akigundulika na hatia chama mtakiweka katika hali gani kama mlikua mnamtetea mhalifu?

3. Waache kupoliticize hii ishu maana kwa sasa hali ilivyo ni win-lose situation kwao. Kama kesi ikienda ndivyo sivyo itareflect vibaya kwa chama.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom