Sijasema kua lazima wawe waoga. Ngoja nikupe mfano: mimi hapa nikikamatwa na video kua napanga ugaidi, unadhani chama changu (whatever it is) kitasimama na kufanya three (or more) press conferences? I dont think so because there is a line between ninacho panga kufanya mimi na ninacho panga kukufanyia chama sababu chama kimenituma. If this is correct with me, then it should be valid kwa mwanachama yeyote yule, irrelevant of his rank katika chama.Unawashauri wawe woga wakate tamaa si ndio utakuwa mchezo wa kusingizia kila mtu, hatuna sababu ya sisi kuweka mahitimisho si kesi iko mahakamani unaonaje itakapojulika na TISS na CCM ndio walipanga deal lote wakati wao wanatanguliza kuchafua chadema wananchi si watapoteza imani na TISS na CCM mara alfu zaidi ya hapa
Mtatapatapa sana mwaka huu mwishowe "kusney!!!"chezea chama dola nyinyi?.
asante sana,hawa ni mabingwa wa UEFA WA KIHISTORIANi katika hali kama hiyo watanzania huwa tunaoneka kuwa na wazalendo wa kweli,Hii CDM ina watu wachache sana wanaovujisha information kama ilivyo kwa Magamba,Ndiyo maana watu husema what goes arround always comes arround,so guys watch out kile kinachoonekana kuwapa CDM taarifa nyeti huenda ndo namna hiyo hiyo inatumiwa na Magamba,lakini naomba Kirusi kitafutiwe inactivation itakayo onyesha impact kwa wadau.thank ZK, Liverpool huwa na wimbo unaowaunganisha Anfield ukisema "you will never walk alone":rockon:.
Hii hapaOnyesha sehemu Zitto anapo kiri kuwa ile barua niya kweli!? Nukuu uweke kwenye jibu.
Barua ile ya tarehe 15 Machi 2013 ilikuwa ni ya ndani ya chama, haikuwa ya kiofisi bali ya Zitto Kabwe kwa chama, ilisainiwa na haikukusudiwa kuwa public. Nimeshangazwa sana kusikia na baadaye kuona barua yenye maudhui kama yale yale ya barua yangu kwa Katibu Mkuu imewekwa mtandaoni.
2. Tundu Lisu asingekua msemaji kwenye kesi hii. Lwakatare ana timu ya wanasheria kadhaa, mwanasheria yoyote angetakiwa kuwa spokesperson kwa maana Lisu ni mwanasiasa ukiacha kwamba ni mwanasheria. Je Lwakatare akigundulika na hatia chama mtakiweka katika hali gani kama mlikua mnamtetea mhalifu?
3. Waache kupoliticize hii ishu maana kwa sasa hali ilivyo ni win-lose situation kwao. Kama kesi ikienda ndivyo sivyo itareflect vibaya kwa chama.
Kweli kabisa CCM ina makosa mengi ila two wrongs don't make a right. CDM ni chama cha upinzani na kina nafasi nzuri sana ya kuchukua uongozi ikiwa watakua makini. One scandal on their side is worth ten on the rulling party side. Watu wana imani sana na chama hiki kiasi kwamba wakionekana na doa moja tu watasemwa ni wachafu na watu wataanza thinking za "better the devil you know".labda tu uwoga wa hao wana chadema,kwani CCM imefanya maovu mangapi na iko madarakani?CCM imehusishwa na Kolimba,KOMBE,ULIMBOKA,MWANGOSI,KADHIA ZA AJALI KUBWA ZA MELI NA TRENI,HALI NGUMU YA MAISHA NA UPUUZI MWINGI SANA WA RUSHWA NA KUTOROSHA NYARA ZA SERIKALI,TENA VIONGOZ WAKE WAANDAMIZI WANAHUSIKA,KUNA ANNABEN,KUNA DOWANS,RICHMOND SASA LEO CHADEMA WANAOGOPA SUALA DOGO KAMA HILI,SI UZUZU HUO?
Sijasema kua lazima wawe waoga. Ngoja nikupe mfano: mimi hapa nikikamatwa na video kua napanga ugaidi, unadhani chama changu (whatever it is) kitasimama na kufanya three (or more) press conferences? I dont think so because there is a line between ninacho panga kufanya mimi na ninacho panga kukufanyia chama sababu chama kimenituma. If this is correct with me, then it should be valid kwa mwanachama yeyote yule, irrelevant of his rank katika chama.
Ile video ilivyo haijakihusisha chama kwa mbali au kwa karibu, zaidi ya kua wahusika wawili ni wanachama wa Chadema. But hakuna kabisa sehem wanasema kua wanafanya hivo kwa sababu wametumwa na chama. Kisa cha chama kujitwishaa hili saga is to its own detriment, hasa if the two suspects end up being sentenced.
With no offense, imani yangu na niko sahihi kabisa ni kwamba KIRUSI KITAKACHO IMALIZA CHADEMA NI JOSEPHINE MUSHUMBUSI either
kwa michezo kama hii, au mingine atakayo iamua.
NB: Ni mtazamo tu, msinitoe meno na kucha zangu please.
Ni Pale mahakama itakapothibitisha lakini hatuwezi kuishi kwa kuhisia tuu haiwezekaniKweli kabisa CCM ina makosa mengi ila two wrongs don't make a right. CDM ni chama cha upinzani na kina nafasi nzuri sana ya kuchukua uongozi ikiwa watakua makini. One scandal on their side is worth ten on the rulling party side. Watu wana imani sana na chama hiki kiasi kwamba wakionekana na doa moja tu watasemwa ni wachafu na watu wataanza thinking za "better the devil you know".
hiki kirusi ni BenHiki kirusi hiki ndilo tatizo kubwa ambalo Chadema wanapaswa kukabiliana nalo ASAP
we utakuma gretest thinker mkuu pokea like yangu.hapa maadui wa zzk hasa ben anahusika 100
kwa 100.
Asante kwa kuthibitisha kuwa ile barua ni ya kwako zitto mana machadema yalikuwa yanapinga kihohehahe kuwa ile barua sio yako
Sijasema kua lazima wawe waoga. Ngoja nikupe mfano: mimi hapa nikikamatwa na video kua napanga ugaidi, unadhani chama changu (whatever it is) kitasimama na kufanya three (or more) press conferences? I dont think so because there is a line between ninacho panga kufanya mimi na ninacho panga kukufanyia chama sababu chama kimenituma. If this is correct with me, then it should be valid kwa mwanachama yeyote yule, irrelevant of his rank katika chama.
Ile video ilivyo haijakihusisha chama kwa mbali au kwa karibu, zaidi ya kua wahusika wawili ni wanachama wa Chadema. But hakuna kabisa sehem wanasema kua wanafanya hivo kwa sababu wametumwa na chama. Kisa cha chama kujitwishaa hili saga is to its own detriment, hasa if the two suspects end up being sentenced.
hii kitu niliwahi kuisema nikaonekana mtu wa ajabu
kuna weakness ya handling ya kesi ya lwakatare upande wa chadema kama chama
i am just trying ti imagine leo kinana akiwa na kesi inayofanana na ccm ikasimama kidete kumtetea, je wananchi wataelewa??
imefika wakati chadema inatakiwa iangalie outside the box na isiwe inakurupuka kwa kutmuia ushabiki na moyo tu