Barua ya Zitto kuhusu Lwakatare: Maelezo yangu

Barua ya Zitto kuhusu Lwakatare: Maelezo yangu

Status
Not open for further replies.
Nimeshangazwa sana kusikia na baadaye kuona barua yenye maudhui kama yale yale ya barua yangu kwa Katibu Mkuu imewekwa mtandaoni.

Ndio maana nami nilijaribu kuhoji hivi
[h=2]re: CHADEMA taifa vipande vipande! Soma barua hii ya Zitto[/h]
Hii barua imefikaje humu? Hata hivyo Zitto inawezekana yuko sahihi.​
 
Kama kunakirusi ndani ya Chama kuna haja ya intelllegensia ya chama ifanye kazi kwa kuwa-scan viongozi na watu wote waliokaribu na viongozi waandamizi ili kikamatwe na kuwa-deleted. Mfano uchunguzi waweza kuanza kupitia hiyo barua kuwa ilipita mikononi mwa watu wepi na ilitunzwa mahali gani hadi hicho kirusi kikavujisha hizo taarifa.

Kwa kuwa ukweli hutafutwa na si kuumbwa naomba viongozi wautafute ukweli juu ya hicho kirusi.

Kwa ujumla napongeza ufafanuzi wako.
inteligensia ya chama inanyea debe ndugu yangu.
 
No 5 point muhimu sana,tusonge mbele vijijini.propaganda za ccm ni za kupuuzwa
 
Napata raha sana nikisoma maelezo yako ...unanipa imani kuwa wewe kweli ni mwanafunzi wa shahada ya uzamivu....wewe ni kiongozi usiyemung'unya maneno..asante sana zitto...tukutane kule twitter

ndani ya ccm changanya hao maprofesa,madr's wote hakuna anayemfikia ZZK!!!!
Maelezo makini toka kwa mtu makini!!!
 
Mh! Kwa hiyo ina maana badala ya vipande vipande ni kipande kimoja kikubwa.Hongereni.
 
Umefanya vema!

Lakini jambo moja linalowasumbua au tatizo lenu kubwa nyie viongozi wa kisiasa wa sasa hasa CHADEMA ni kila mmoja kwa upande wake kuongelea jambo lolote linalohusu chama katika public bila kuwajuza viongozi wenzako.

Mfano umeona jambo kama hili na unataka kuliweka JF kuna tatizo gani kwanza ku-share na ama viongozi wenzako wa juu au wasemaji wa chama. Haya mambo ya kila mmoja kuamua kusema lolote na media zinawanukuhu kila mmoja kivyake litawacost sana.
 
Hongera zzk huu ndio uwazi wa kuweka ukweli dhidi ya wabaya wetu kirusi hicho kipo ndani na swala la msingi kuwachunguza na kuwahoji watu wote walio karibu na Lwakatare na pili watu 15 washirika wa karibu wa viongozi waandamizi, kurugenzi ya habari na watunza kumbukumbu ktk ofisi ya katibu mkuu,napenda kazi hii kaundiwe tume ya uchunguzi yenye wanasheria,wataalam saikolojia,maandishi na electronic wenye uwezo wakuchambua na kuwahoji maswali mazurii lakini yenye mwanya wa ushahidi ili kusafisha kirusi hiki ambacho ni hatari kwa chama.
 
ufisadi ni moto unaounguza jiwe la ccm,hatimae linapasuka vipandevipande.tuhuma za kutungwa ni moto kwa chuma(cdm)zinaking'arisha.amani iwe nanyi.
 
Kama ile barua ni ya kweli Zitto amekiri Mods waifungue ule uzi watu tujadali.

Maelezo liyoyatoa unaweza kuendele kuyajadili maana hayana tofauti na barua.
 
huyo mtu atakuwa katumiwa hiyo barua kwa fax na wachunguzwa marafiki wa ludolvic hapo makao makuu.... lakini swala jingine umesema barua yenyewe ulomtumia dr wa ukweli slaa ilikuwa imesainiwa likin hii ya mtandaoni haijasainiwa hii ikiwa na maana kuwa mtu alirecord maneno kwenye karatasi akasainia akatype huko nje na kaituma
 
Je uchunguzi wako wa ku identify id za kirusi hiko haujakutajia id zingine za kirusi hiko hap JF au email zake?

Hapo itaomba awe mod au admin. But kwa haraka haraka tu hata wewe ukienda kwenye ile thread ya video utaona ID ni ile ile ilio tumika hapa. It is not deep investigation kivile
 
wanasubiri upepo uende vipi lol

sasa kama Zitto hana uhakika na ukweli wa video ya Rwakatare
hadi aombe uchunguzi
why tena aseme haamini kuna watu wanataka muua?
what if uchunguzi ukisema video ni kweli?

Zitto hajui anasema nini

Hakuamini kabisa kuwa kile anachokiona kwenye video ni ukweli, lakini hapo hapo anakishauri chama kifanye uchunguzi wa ndani ili kujiridhisha

Ujiridhishe na nini na wakati huamini kabisa kuwa ni ukweli?


Hapo hapo

anasema alitaka uchunguzi ili chama kikiendelea kumlinda na kumtetea Rwakatare ili haki itendeke kisiathirike muonekano wake


Kama unaamina hakuna shaka yoyote kuwa Rwakatare hana kosa lolote na yote ni uongo mtupu, kwa nini chama kiweze kuathirika iwapo hakitafanya uchunguzi wa ndani?
 
kwa upande mwingine ngoma ni drow kwani chedema imepandikiza mamluki ccm na usalama wa taifa,na ccm pia wamepandikiza kwa chadema
 
Atleast you said it well

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums

Said it well......my foot! ZZK now wants us to get busy trying to find out who is leaking CHADEMA information(which is not true) He is actually fanning the spark into a great fire
 
Mkuu mimi nina maswali kadhaa. Umeandika kwamba uliandika barua kwa katibu mkuu wa chama kukisihi chama kifanye uchunguzi wa ndani kuhusu swala la Lwakatare. Je:

1. Ombi la kufanya uchunguzi ulikubaliwa?

2. Kama Ombi la uchunguzi lilikubaliwa je uchunguzi wa ndani umethibitisha nini?

3. Inaelekea unaamini kabisa kuwa kuna ki/virusi (spies) ndani ya chama. Je mmefanya uchunguzi wa kuwagundua ni wakina nani?
stay tuned,innallah maswabirin.kuwa na subira si unaona Lissu anamwaga data taraaatiibu bila mikwaruzo
 
Nilisha sema jana kwenye mjadala wa ile barua na leo narudia kusema tena.

"Ukweli huwa una tabia ya kukawia kufika uliko kusudiwa,hata hivyo, huwa hauachi kufika. Unahitaji busara na hekima ya kiu-vumilivu kuusubiri".

Walio taka kuupata ukweli jana ileile muda uleule watakuwa wanajiona wamechelewa kuupata ukweli, lakini kwa kuwa tabia ya ukweli ni kufika bila kujalisha kuwa utachelewa, huwa tulizo na liwazo kwa mwenye subira na hekima kuusubiri ukweli husika.

Hili linapita baada ya mhusika kuuweka ukweli, naamini yatakuja mengi na yatapita ukweli ukidhihiri, tulijua ya Mwangosi, sembuse ya Epa! Tukajua ya Buzwagi sembuse ya Uswis?, umejua ya kuiba wali jeshini sembuse ya kukaliwa Itikafu?, hata ya Ludovick na nduguye Lwekatare pia ukweli utajulikana.

"Ukweli huwa una tabia ya kukawia kufika uliko kusudiwa lakini hauachi kufika..."

CC Ritz, Zemarcopolo, Chama, Tumaini Makene.

Chadema wapo kwenye wakati mgumu mpaka Zitto anasema kuna kirusi ndani ya chama wewe unaleta taarabu.
 
Last edited by a moderator:
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom