Barua ya Zitto kuhusu Lwakatare: Maelezo yangu

Status
Not open for further replies.

Lol.ha ha nmeipenda simple logic!hili suala linaweza hata mng"oa zito kwa sababu at the moment yuko compromised kwa nini alikuwa rahisi kukubali kitu ambacho ni set up!! sensibly anaintest ambayo tunaifafanua kuwa ni binafsi
 
Dr Slaa naye kwa nini asiachie madaraka?muuaji,mzinzi,mbadhirifu,mnafiki,mdini?
 
hehehee, kumbe mnataka ajitoe ndio kisa cha kufanya yote haya mnayomfanyia? Ametaka kupewa ufafanuzi kwanza kama namba yake imeandikwa kwa bahati mbaya au wanamaanisha yeye Zitto na sio Jack Zoka.... akipewa majibu wala haitaji shinikizo lenu kufanya maamuzi yoyote. Ushauri wangu... Marando au chama kimjibu Zitto haraka ili tujue kitachofuata.
 

We mchukue zito kama unamhitaji na kicheko chenu cha unafiki
 

Ingia na Id yako original mkuu.

Zitto ajiuzulu kupisha uchunguzi huru
 
Zitto!!! ZITTO!!
Nataka kukwambia jambo moja ambalo huenda hata wewe hulitambui!! KWAMBA!!
"you (as a person) are threat to ccm in long term! kwa hiyo wewe na wenzako kaeni macho!! sisi wingine tuna-enjoy friction ya kisiasa inayouendelea maana inasaidia kupunguza ubadhirifu!!
 

ile barua hakuiandika kibahati mbaya. Naamini zzk yupo makini, lakini nakubali pia kuna watu wapo makini zaidi yake na wamegundua mbinu hizi.
 
Siku ile Zitto alipobandika huu uzi humu, kuna muhuni mwingine naye alibandika uzi wa kuonesha kua Kirusi ndani ya CDM ni Dr. Slaa, nili comment mule na kusema, "Imani yangu kwa Zitto Zuberi Kabwe ni only 12%" nina maana asilimia 88% huyu kijana simwamini kabisa, kila ninapolinganisha matukio, marafiki zake, Gazeti la Mwanahalisi lilivyo wahi kumripoti, jinsi alivyokua akipiga kampeni zake za Ubunge kule kwao Kigoma, tukio la PM 7 na masalia, attendence yake kwenye M4C, matamshi yake anapokua jukwaani kwenye mikutano ya CDM, binafsi hua simwoni kama ni mwanamageuzi, nidhamu yake nje ya siasa, hapana, kuna mtu wangu wa karibu aliwahi kunitonya hata sababu ya yeye kuto kuoa hadi sasa nayo inauhusiano wa karibu sana na siasa, yasemekana mchumba wake ni mtoto wa kigogo ndani ya magamba, huyu binafsi nadhani hata swaga la Lwakatale naye yupo nyuma na analifahamu vizuri sana Nimalizie tu kwa msemo 1 wa Kingereza usemao, show me your friends and the i will tell you who you are!
 
Kuna mtu jana alisema eti ni wewe zitto unajikanyaga sana kwa nini ulimpa zoka atumie namba yako
tabia ya usalama wa taifa kubadilishana namba za simu ni kawaida na tunaufahamu kwa hiyo zitto ulisajili kwa niaba ya usalama wa taifa sasa hukufunzwa vizuri ulidhani manyoka menzio yatakuachia ha ha unaspin ukweli jamaa huna soni umefundishwa kukauka kugeuza ukweli kuwa uongo mimi nasema ujerumani ulikosoma degree yako ya pili ungeenda pale leipzig ukaona mapropangadist wa ile iliyokuwa ujerumani mashariki walivyofanya kazi ya kuminya demokrasia lakini wakashindwa , au hata ungeenda Veimer ukajionea pale duh unafeli kila kitu,akili zako zinaukungu nadhani na hili unataka kuwahamishia wenzako sema wewe namba ile unatumia kwa mustakabali upi kuuwa watu no wonder umetelekeza familia
 

Uliyosema yametimia jana kaja humu anapenga makamasi eti namba yangu niliacha kuitumia mwaka jana lakini ninayo kwenye business card akisahau kuwa business card ni living document huwezi kuweka taarifa mfu
 
ile barua hakuiandika kibahati mbaya. Naamini zzk yupo makini, lakini nakubali pia kuna watu wapo makini zaidi yake na wamegundua mbinu hizi.

Mponjori umesema kweli Zitto ajiuzuru mara moja kupisha uchunguzi
 
lakini napata shida moja, kwanini zitto aandike barua kwa katibu wa chama wakati yeye ni naibu katibu mkuu? kwnini aandike barua wakati nayeye anakuwepo kwenye vikao vya maamuzi? alishindwa kupeleka hoja kwenye vikao vya chama kwa mdomo mpaka aandike barua? anataka kutwambia hana mawasiliano mazuri na viongozi wenzake wa juu mpaka inafikia hatua aandike barua? naomba mnisaidie kujibu hayo maswali jamani. mimi nahisi kuna kitu ambacho hatukijui hapa ama kwa zitto au kwa uongozi wa juu, hainiingii akilini kabisa. ameshawahi kufanya hivyo mara ngapi kwenye kuandika barua kwa viongozi? kama hajawahi kwanini hili? na kama amwewahi kwanini aandike barua na kuja kwenye mitandao kuthibitisha hili kwani angekaa kimya ingekuaje? tuache ushabiki tufikiri zaizi ya ushabiki jamani.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…