mzamifu
JF-Expert Member
- Mar 10, 2010
- 6,400
- 3,853
Jeshi letu lina ueledi mkubwa. litasimama kwa haki halitaelekeza silaha kwa watanzania.Nliwambia mapema hamkusikia Pambaneni na hali zenu mi nipo Hapa Denmark nakula maisha kwanza
Taarifa za huko home sio nzur huku wajamen
Wananchi wanajua maana ya amani na haki. Ole wake aliyepanga uovu maana upofu utamtangulia kabla ya kuzimia
Sent from my Nokia 6.1 using JamiiForums mobile app