Barua za kuwaita Kinana, Membe na Makamba zaota mbawa, Mikono ya Bashiru Ally yatetemeka kila akishika kalamu

Wamekurupuka tu pumbaf zao....hashtakiwi mtu hapa. Hawana hoja wala sababu za msingi kuwaita wastaafu hao kwani maamuzi yao waliyafanya kwa kukurupuka kama panya anavyotimuliwa kutoka kwenye kibuyu. Wamekaanga mbuyu ngoja watafune wenyewe.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
😆😆😆😆
 
Hapo ndio ujue kuwa CCM ni chama cha hovyo kupata kuwepo. Haiwezekani kikao cha juu kabisa kama NEC kinakutana na kutoa azimio bila kuona Lima athari gani na matokeo yake na jee liko sawa?
Hiyo ni ishara kuwa kuna maamuzi mengi wanaazimia kama kikundi cha walevi kwenda serikalini na madhara ni nchi kwenda hovyo.
Ukiacha mwenyekiti, huyu mtendaji wao mkuu kumbe ndio bogus kwelikweli. Nadhani anadhani kuendesha shughuli za chama ni sawa na kupiga blabla darasani!
 

Tulishasema huyu katibu ni mbumbumbu wakina Membe watauliza kitu kimoja. Nani kawa rekodi na wawalete waliorekodi kwenye kesi. Ili kama kuna vitu wamefuta wajibu. Je serikali iko tayari kufanya hili hawataweza
 
Tulishasema huyu katibu ni mbumbumbu wakina Membe watauliza kitu kimoja. Nani kawa rekodi na wawalete waliorekodi kwenye kesi. Ili kama kuna vitu wamefuta wajibu. Je serikali iko tayari kufanya hili hawataweza
Kumbe ndio maana kindengundengu kimekuja !
 
Kinana yupo kwao Mogadishu Somalia akiomba Dua kila siku na mzee makamba yupo milimani na wazee wake wa ndumba wakiendelea kufanya yao
 
Mzee makamba yeye mwenyewe ni zaidi ya Gamboshi lakini pia kawaagizia washirika zake toka visiwa vya Lamu kenya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…