eliakeem
JF-Expert Member
- May 29, 2009
- 17,214
- 15,853
Wabambikiziwe kesi ya uhujumu uchumi.
Si kuna kipindi cdm walikuwa wakiimba kuwa mitumbwi ya mmoja wapo ilipatikana ughaibuni na vipusa vya hayawani mwitu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wabambikiziwe kesi ya uhujumu uchumi.
Labda Kinana waseme kosa lile la meno ya tembo kwenye meli yake hivyo Uhujumu. Kutoka mpaka jiwe achomolewe.
Hii ndio habari mpya kwa sasa, kwamba barua za kuwaita wastaafu ili wahojiwe kwenye vikao vya chama chao mpaka leo hazijaandaliwa baada ya Katibu Mkuu wa ccm ndugu Bashiru Ally kukumbwa na " Kindengu ndengu " watu wa Nyasa wanaita hali hii kama kutetemeka mikono kunakoweza kusababisha mhusika kudondosha glass ya maji au hata kushindwa kushika kalamu ya kuandikia .
Taarifa za ndani kwa ndani zinadokeza kwamba sababu ya kindengundengu hiki ni kutokana na kukosekana kwa sababu za maana za kuwaita wazee hawa kwenye kikao hicho
Tuendelee kutega sikio labda waweza kuitwa kwa njia ya Whatsapp.
Katika watu ambao ni useless ni huyu Ndugu yangu Nshomile. Very hopeless! Anadhani atafia ofisi ya CCM na atakwenda nayo kwa shetani akifa!
Sent using Jamii Forums mobile app
😆😆😆😆Wamekurupuka tu pumbaf zao....hashtakiwi mtu hapa. Hawana hoja wala sababu za msingi kuwaita wastaafu hao kwani maamuzi yao waliyafanya kwa kukurupuka kama panya anavyotimuliwa kutoka kwenye kibuyu. Wamekaa mbuyu ngoja watafune wenyewe.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo ndio ujue kuwa CCM ni chama cha hovyo kupata kuwepo. Haiwezekani kikao cha juu kabisa kama NEC kinakutana na kutoa azimio bila kuona Lima athari gani na matokeo yake na jee liko sawa?Wamekurupuka tu pumbaf zao....hashtakiwi mtu hapa. Hawana hoja wala sababu za msingi kuwaita wastaafu hao kwani maamuzi yao waliyafanya kwa kukurupuka kama panya anavyotimuliwa kutoka kwenye kibuyu. Wamekaa mbuyu ngoja watafune wenyewe.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii ndio habari mpya kwa sasa, kwamba barua za kuwaita wastaafu ili wahojiwe kwenye vikao vya chama chao mpaka leo hazijaandaliwa baada ya Katibu Mkuu wa ccm ndugu Bashiru Ally kukumbwa na " Kindengu ndengu " watu wa Nyasa wanaita hali hii kama kutetemeka mikono kunakoweza kusababisha mhusika kudondosha glass ya maji au hata kushindwa kushika kalamu ya kuandikia .
Taarifa za ndani kwa ndani zinadokeza kwamba sababu ya kindengundengu hiki ni kutokana na kukosekana kwa sababu za maana za kuwaita wazee hawa kwenye kikao hicho
Tuendelee kutega sikio labda waweza kuitwa kwa njia ya Whatsapp.
Kumbe ndio maana kindengundengu kimekuja !Tulishasema huyu katibu ni mbumbumbu wakina Membe watauliza kitu kimoja. Nani kawa rekodi na wawalete waliorekodi kwenye kesi. Ili kama kuna vitu wamefuta wajibu. Je serikali iko tayari kufanya hili hawataweza
Hata mimi nina wasiwasi kama bashiru ni nshomile halisi. Atakuwa raia wa kagame huyu bashiru.Hawezi kuwa nshomile. Nshomile huwa hawajikombi wala kujipendekeza Kwa yeyote.
Hahaha! Ngoja nilaleKumuita mzee Mshamba bila kutanguliza heshima yake, Mheshimiwa!
Mheshimiwa Mshamba
Sent using Jamii Forums mobile app
Kinana yupo kwao Mogadishu Somalia akiomba Dua kila siku na mzee makamba yupo milimani na wazee wake wa ndumba wakiendelea kufanya yao
Hii ndio habari mpya kwa sasa, kwamba barua za kuwaita wastaafu ili wahojiwe kwenye vikao vya chama chao mpaka leo hazijaandaliwa baada ya Katibu Mkuu wa ccm ndugu Bashiru Ally kukumbwa na " Kindengu ndengu " watu wa Nyasa wanaita hali hii kama kutetemeka mikono kunakoweza kusababisha mhusika kudondosha glass ya maji au hata kushindwa kushika kalamu ya kuandikia .
Taarifa za ndani kwa ndani zinadokeza kwamba sababu ya kindengundengu hiki ni kutokana na kukosekana kwa sababu za maana za kuwaita wazee hawa kwenye kikao hicho
Tuendelee kutega sikio labda waweza kuitwa kwa njia ya Whatsapp.
Kinana ni Raia wa Somalia usishangae bashiru kuwa mnyarwandaHata mimi nina wasiwasi kama bashiru ni nshomile halisi. Atakuwa raia wa kagame huyu bashiru.
Hayo mimi siyajui mkuuKinana yupo kwao Mogadishu Somalia akiomba Dua kila siku na mzee makamba yupo milimani na wazee wake wa ndumba wakiendelea kufanya yao
Unakuja mwendelezo wa kile walichohojiwa ni vigumu kuimaliza hii movie maana ina episode KibaoMara paap wameitwa, mada hii inafungwa au tunaendelea na majalidiliano!
Sasa yajue vizuriHayo mimi siyajui mkuu
Niguse ninuke.
Mzee makamba yeye mwenyewe ni zaidi ya Gamboshi lakini pia kawaagizia washirika zake toka visiwa vya Lamu kenyaLabda Kinana waseme kosa lile la meno ya tembo kwenye meli yake hivyo Uhujumu. Kutoka mpaka jiwe achomolewe.
Makamba kosa lake kuwa ni kutoka eneo moja na Mshana Jr hivyo atakuwa mchawi aka mlozi hivyo kifungo kirefu na kutengwa akaishi Gamboshi (joke)
Sent using Jamii Forums mobile app
Aiseee Mkuu Chakaza ndivyo ilivyo hivyo?Labda Kinana waseme kosa lile la meno ya tembo kwenye meli yake hivyo Uhujumu. Kutoka mpaka jiwe achomolewe.
Makamba kosa lake kuwa ni kutoka eneo moja na Mshana Jr hivyo atakuwa mchawi aka mlozi hivyo kifungo kirefu na kutengwa akaishi Gamboshi (joke)
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa hiyo nishishangae kwa maana ya kwamba ni haki au kawaida tu intruder bashiru kumuhoji intruder mwenzake kinana? Hii nchi ina vituko siyo kidogo.Kinana ni Raia wa Somalia usishangae bashiru kuwa mnyarwanda