Barua za kuwaita Kinana, Membe na Makamba zaota mbawa, Mikono ya Bashiru Ally yatetemeka kila akishika kalamu

Wamekurupuka tu pumbaf zao....hashtakiwi mtu hapa. Hawana hoja wala sababu za msingi kuwaita wastaafu hao kwani maamuzi yao waliyafanya kwa kukurupuka kama panya anavyotimuliwa kutoka kwenye kibuyu. Wamekaanga mbuyu ngoja watafune wenyewe.

Hii ndio habari mpya kwa sasa, kwamba barua za kuwaita wastaafu ili wahojiwe kwenye vikao vya chama chao mpaka leo hazijaandaliwa baada ya Katibu Mkuu wa ccm ndugu Bashiru Ally kukumbwa na " Kindengu ndengu " watu wa Nyasa wanaita hali hii kama kutetemeka mikono kunakoweza kusababisha mhusika kudondosha glass ya maji au hata kushindwa kushika kalamu ya kuandikia .

Taarifa za ndani kwa ndani zinadokeza kwamba sababu ya kindengundengu hiki ni kutokana na kukosekana kwa sababu za maana za kuwaita wazee hawa kwenye kikao hicho

Tuendelee kutega sikio labda waweza kuitwa kwa njia ya Whatsapp.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wamekurupuka tu pumbaf zao....hashtakiwi mtu hapa. Hawana hoja wala sababu za msingi kuwaita wastaafu hao kwani maamuzi yao waliyafanya kwa kukurupuka kama panya anavyotimuliwa kutoka kwenye kibuyu. Wamekaa mbuyu ngoja watafune wenyewe.

Sent using Jamii Forums mobile app
😆😆😆😆
 
Hapo ndio ujue kuwa CCM ni chama cha hovyo kupata kuwepo. Haiwezekani kikao cha juu kabisa kama NEC kinakutana na kutoa azimio bila kuona Lima athari gani na matokeo yake na jee liko sawa?
Hiyo ni ishara kuwa kuna maamuzi mengi wanaazimia kama kikundi cha walevi kwenda serikalini na madhara ni nchi kwenda hovyo.
Ukiacha mwenyekiti, huyu mtendaji wao mkuu kumbe ndio bogus kwelikweli. Nadhani anadhani kuendesha shughuli za chama ni sawa na kupiga blabla darasani!
 
Hii ndio habari mpya kwa sasa, kwamba barua za kuwaita wastaafu ili wahojiwe kwenye vikao vya chama chao mpaka leo hazijaandaliwa baada ya Katibu Mkuu wa ccm ndugu Bashiru Ally kukumbwa na " Kindengu ndengu " watu wa Nyasa wanaita hali hii kama kutetemeka mikono kunakoweza kusababisha mhusika kudondosha glass ya maji au hata kushindwa kushika kalamu ya kuandikia .

Taarifa za ndani kwa ndani zinadokeza kwamba sababu ya kindengundengu hiki ni kutokana na kukosekana kwa sababu za maana za kuwaita wazee hawa kwenye kikao hicho

Tuendelee kutega sikio labda waweza kuitwa kwa njia ya Whatsapp.

Tulishasema huyu katibu ni mbumbumbu wakina Membe watauliza kitu kimoja. Nani kawa rekodi na wawalete waliorekodi kwenye kesi. Ili kama kuna vitu wamefuta wajibu. Je serikali iko tayari kufanya hili hawataweza
 
Kumbe ndio maana kindengundengu kimekuja !
 
Hii ndio habari mpya kwa sasa, kwamba barua za kuwaita wastaafu ili wahojiwe kwenye vikao vya chama chao mpaka leo hazijaandaliwa baada ya Katibu Mkuu wa ccm ndugu Bashiru Ally kukumbwa na " Kindengu ndengu " watu wa Nyasa wanaita hali hii kama kutetemeka mikono kunakoweza kusababisha mhusika kudondosha glass ya maji au hata kushindwa kushika kalamu ya kuandikia .

Taarifa za ndani kwa ndani zinadokeza kwamba sababu ya kindengundengu hiki ni kutokana na kukosekana kwa sababu za maana za kuwaita wazee hawa kwenye kikao hicho

Tuendelee kutega sikio labda waweza kuitwa kwa njia ya Whatsapp.
Kinana yupo kwao Mogadishu Somalia akiomba Dua kila siku na mzee makamba yupo milimani na wazee wake wa ndumba wakiendelea kufanya yao
 
Labda Kinana waseme kosa lile la meno ya tembo kwenye meli yake hivyo Uhujumu. Kutoka mpaka jiwe achomolewe.
Makamba kosa lake kuwa ni kutoka eneo moja na Mshana Jr hivyo atakuwa mchawi aka mlozi hivyo kifungo kirefu na kutengwa akaishi Gamboshi (joke)

Sent using Jamii Forums mobile app
Mzee makamba yeye mwenyewe ni zaidi ya Gamboshi lakini pia kawaagizia washirika zake toka visiwa vya Lamu kenya
 
Back
Top Bottom