BASATA kaeni mkao wa kula, Video ya Chura anarukaruka, ikitoka fungia kisha tia Kapuni

Basata wanavyopenda nyuchi, utafungiwa kwenu wao watakuwa wakiendelea kuutumbulia mimacho kila siku asubuhi huku midushelele yao ikiwa imesimama wima kama askari anayekaguliwa
Tamaa zao zakupenda down kunatuaharibia watoto wetu.
 
Mi nashangaa sana mwanaume mzima akilalamikia hizi ishu....Mbona mi mwenzenu napenda kuangalia hao watu wakikata mauno na kutikisa makalio!!....Au mi ndo nna tatizo?.....Kama hamna mademu si hata sabuni tu jamaa
 
Basata wanavyopenda nyuchi, utafungiwa kwenu wao watakuwa wakiendelea kuutumbulia mimacho kila siku asubuhi huku midushelele yao ikiwa imesimama wima kama askari anayekaguliwa
Hahahaa..eti wima kama nani vile?
 
Mtoa mada mauno yake yanakuweka kwenye hal mbaya eenh!
Hivi ni mchaga wa wapi ana mauno hivi?
Nkiangalia najiskia aibu coz inakuwa too much!
huko si kukatika ni kurusha tako mdebwedo....hivi hana wajomba huyu? anachokiimba hata hakieleweki...aibu plus plus
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…