Dulla makabila ni dini gani?Katika wimbo wa Dulla Makabila wa Pita huku, kaelelezea hukumu ya adhabu ya moto wa milele. Kwamba hukumu hii inaweza kumpata yeyote kutegemea na matendo yake maovu aliyoyafanya hapa Duniani.
Haidhalilishi wadhifa aliokuwa nao hapa Duniani. Kaonesha daktari, mchungaji na watu wengine mbali mbali wakipata adhabu hiyo. BASATA wamekuja juu kwamba kakosea kuonesha mchungaji akipata adhabu hiyo.
Ila kwa kuonesha mtu kama daktari akiswekwa kwenye moto wa milele huku mlemavu akipeta mbinguni kwa BASATA ni sawa. Yaani kwa mjibu wa BASATA hakuna wachungaji waovu hapa Duniani.
ANGEWEKA SHEIKHE NA KANZU YAKE AKIENDA MOTONIKatika wimbo wa Dulla Makabila wa Pita huku, kaelelezea hukumu ya adhabu ya moto wa milele. Kwamba hukumu hii inaweza kumpata yeyote kutegemea na matendo yake maovu aliyoyafanya hapa Duniani.
Haidhalilishi wadhifa aliokuwa nao hapa Duniani. Kaonesha daktari, mchungaji na watu wengine mbali mbali wakipata adhabu hiyo. BASATA wamekuja juu kwamba kakosea kuonesha mchungaji akipata adhabu hiyo.
Ila kwa kuonesha mtu kama daktari akiswekwa kwenye moto wa milele huku mlemavu akipeta mbinguni kwa BASATA ni sawa. Yaani kwa mjibu wa BASATA hakuna wachungaji waovu hapa Duniani.
Kingenuka hata kabla ya basataANGEWEKA SHEIKHE NA KANZU YAKE AKIENDA MOTONI
Na awe ameshika tasbih na quran kabisa kutia msisitizo.ANGEWEKA SHEIKHE NA KANZU YAKE AKIENDA MOTONI
Utetezi mwepesi,, kwahiyo unataka kusema kama washkaji zako wa karibu ni walevi sana nawe una haki ya kuwa mlevi?Wakristo wenyewe wanaichezea dini unakut video kibao za wahubir wakifany vituko mbele ya camera! Sasa unategemea nn?
Ndio.Utetezi mwepesi,, kwahiyo unataka kusema kama washkaji zako wa karibu ni walevi sana nawe una haki ya kuwa mlevi?
Na hapa ndo palipo na tatizoDulla makabila ni dini gani?
Wanaogopa dini zao wakihofia kuuawa km yule mwanamke wa Iran hajafunika kichwa.
Kwanini wasimuoneshe shekh? Ndiyo haya mambo ya Diamond.
Nakazia hapa...Dulla makabila ni dini gani?
Wanaogopa dini zao wakihofia kuuawa km yule mwanamke wa Iran hajafunika kichwa.
Kwanini wasimuoneshe shekh? Ndiyo haya mambo ya Diamond.
Wanachezea?Vema.Waache watakutana na viongozi wao.Lakini,haikupi hoja ya weye kutumia chao kihuni.Wakristo wenyewe wanaichezea dini unakut video kibao za wahubir wakifany vituko mbele ya camera! Sasa unategemea nn?
Dulla Makabila ni Muislam kwanini asimuweke shehe kwenye video yake?Katika wimbo wa Dulla Makabila wa Pita huku, kaelelezea hukumu ya adhabu ya moto wa milele. Kwamba hukumu hii inaweza kumpata yeyote kutegemea na matendo yake maovu aliyoyafanya hapa Duniani.