Dr Akili
JF-Expert Member
- Aug 21, 2011
- 5,119
- 4,569
Katika wimbo wa Dulla Makabila wa Pita huku, kaelelezea hukumu ya adhabu ya moto wa milele. Kwamba hukumu hii inaweza kumpata yeyote kutegemea na matendo yake maovu aliyoyafanya hapa Duniani.
Haidhalilishi wadhifa aliokuwa nao hapa Duniani. Kaonesha daktari, mchungaji na watu wengine mbali mbali wakipata adhabu hiyo. BASATA wamekuja juu kwamba kakosea kuonesha mchungaji akipata adhabu hiyo.
Ila kwa kuonesha mtu kama daktari akiswekwa kwenye moto wa milele huku mlemavu akipeta mbinguni kwa BASATA ni sawa. Yaani kwa mjibu wa BASATA hakuna wachungaji waovu hapa Duniani.