BASATA, kosa la Dulla Makabila ni lipi akionesha Mchungaji akihukumiwa kwenda moto wa milele?

Dr Akili

JF-Expert Member
Joined
Aug 21, 2011
Posts
5,119
Reaction score
4,569
Katika wimbo wa Dulla Makabila wa Pita huku, kaelelezea hukumu ya adhabu ya moto wa milele. Kwamba hukumu hii inaweza kumpata yeyote kutegemea na matendo yake maovu aliyoyafanya hapa Duniani.

Haidhalilishi wadhifa aliokuwa nao hapa Duniani. Kaonesha daktari, mchungaji na watu wengine mbali mbali wakipata adhabu hiyo. BASATA wamekuja juu kwamba kakosea kuonesha mchungaji akipata adhabu hiyo.

Ila kwa kuonesha mtu kama daktari akiswekwa kwenye moto wa milele huku mlemavu akipeta mbinguni kwa BASATA ni sawa. Yaani kwa mjibu wa BASATA hakuna wachungaji waovu hapa Duniani.
 
Dulla makabila ni dini gani?
 
ANGEWEKA SHEIKHE NA KANZU YAKE AKIENDA MOTONI
 
Wanakuja mkuu wewe jiandae
images (23).jpeg
 
Katika wimbo wa Dulla Makabila wa Pita huku, kaelelezea hukumu ya adhabu ya moto wa milele. Kwamba hukumu hii inaweza kumpata yeyote kutegemea na matendo yake maovu aliyoyafanya hapa Duniani.

Haidhalilishi wadhifa aliokuwa nao hapa Duniani. Kaonesha daktari, mchungaji na watu wengine mbali mbali wakipata adhabu hiyo. BASATA wamekuja juu kwamba kakosea kuonesha mchungaji akipata adhabu hiyo.

Ila kwa kuonesha mtu kama daktari akiswekwa kwenye moto wa milele huku mlemavu akipeta mbinguni kwa BASATA ni sawa. Yaani kwa mjibu wa BASATA hakuna wachungaji waovu hapa Duniani.
Dulla Makabila ni Muislam kwanini asimuweke shehe kwenye video yake?
 
Back
Top Bottom