Lord Diplock MR
JF-Expert Member
- Mar 16, 2015
- 1,393
- 3,237
Hatuwezi kuvumilia utovu wa maadili kiasi hiki. Huu wimbo wa Ney wa Mitego uitwao "kwa mpalange" sina haja ya kuuelezea ni wimbo mchafu mno kuanzia tu na jina lake eti "kwa mpalange"?.
Kama tutawavumilia wasanii Kama Ney wa Mitego tutaharibu hiki kizazi, naomba BASATA wamfungie Ney Wa Mitego kujihusisha na muziki kwa miaka 3 na pia wafungie wimbo wake wa matusi ulio kinyume na maadili wa kwa mpalange ili iwe fundisho kwa wasanii wengine wenye nia ovu Kama yake.