BASATA, Ney wa Mitego afungiwe miaka mitatu na wimbo wake wa “Kwa Mpalange”

BASATA, Ney wa Mitego afungiwe miaka mitatu na wimbo wake wa “Kwa Mpalange”

Lord Diplock MR

JF-Expert Member
Joined
Mar 16, 2015
Posts
1,393
Reaction score
3,237
Hatuwezi kuvumilia utovu wa maadili kiasi hiki. Huu wimbo wa Ney wa Mitego uitwao "kwa mpalange" sina haja ya kuuelezea ni wimbo mchafu mno kuanzia tu na jina lake eti "kwa mpalange"?.

Kama tutawavumilia wasanii Kama Ney wa Mitego tutaharibu hiki kizazi, naomba BASATA wamfungie Ney Wa Mitego kujihusisha na muziki kwa miaka 3 na pia wafungie wimbo wake wa matusi ulio kinyume na maadili wa kwa mpalange ili iwe fundisho kwa wasanii wengine wenye nia ovu Kama yake.

 
BASATA yenyewe hovyo tu, nyimbo nyingi kwasasa Tanzania ni za matusi hasa lakini wenye akili wanajiuliza imekuaje ukatoka?

Hivi BASATA haiwezi kuzuia nyimbo za hovyo kabla hazijatoka? Kwanini zizuiwe baadae baada ya kusikika kila mahali?
 
Back
Top Bottom