BASATA ni lini mtampa tuzo rais Samia kwa uwezo wake mkubwa wa kuigiza?

Sexless

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2017
Posts
23,683
Reaction score
55,898
Kwa miaka yote ktk harakati zake za kisiasa rais Samia alikuwa hajajipata kipaji chake. Lkn alipoingia ikulu ndipo kipaji chake cha uigizaji kikadhihirika na sasa kimekomaa.

Alianza na movie ya "Royal tour" na leo ameweka wazi kuwa movie yake mpya iitwayo "Kijiji cha milele" inakuja sokoni.

BASATA nawauliza ni lini mtampa tuzo mama huyu kwa kipaji chake cha kuigiza??
 
20231228_210910.jpg
 
Duh! Ngoja tusubiri tuone. Ila kwa sasa tumeanza kwanza na shahada za uzamivu.
 
Kwa miaka yote ktk harakati zake za kisiasa rais Samia alikuwa hajajipata kipaji chake. Lkn alipoingia ikulu ndipo kipaji chake cha uigizaji kikadhihirika na sasa kimekomaa.

Alianza na movie ya "Royal tour" na leo ameweka wazi kuwa movie yake mpya iitwayo "Kijiji cha milele" inakuja sokoni.

BASATA nawauliza ni lini mtampa tuzo mama huyu kwa kipaji chake cha kuigiza??
Basata wenyewe, hata hawaelewi anacho igiza, ndo maana wamekausha tu. 😎
 
Kanjanja na Mr.Pira.
Utalii kujaza midollar nchini.
Nchi imeishiwa Dollars .
Hii ni kaole kabisa.
 
Back
Top Bottom