BASATA: Wimbo wa WAPO wa Ney wa Mitego kufungiwa, hauna Maadili

BASATA wamesahau hizi ni kikazi cha smartphones,kama mimi sijui last time kusikiliza redio ilikua lintushaipakua kitambo tunaupiga tu mageton,kwa kuahamtulipii kod,tutaupiga tu hakuna namna
Katibu Mkuu wa Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA), Godfrey Mngereza amesema wataufungia wimbo wa 'Wapo' wa Nay wa Mitego kwani hauna maadili. Amesema haufai unachochea vurugu.
 
Mkuu nitajie kamstari kalikokukera ad humkosoe uyo mkuu
Kwa hiyo bujibuji uko radhi sebureni kwako wimbo wa namna upigwe?
Bujibuji tafakali mara mbili,JF bado inawahitaji watu kama ninyi kamwe msisupport upumba....vu.
 
[QUOTE="laki si pesa., post: 20363644, member: 305ukwel. ....Serikali msimuachie ney wa mitego afungwe kifungo kirefu iwe fundisho kwa wengine[/QUOTE]
We hujielewi,nyie ndo msiopenda kusikia wala kuambiwa ukwel..SO SAD
 
Katibu Mkuu wa Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA), Godfrey Mngereza amesema wataufungia wimbo wa 'Wapo' wa Nay wa Mitego kwani hauna maadili. Amesema haufai unachochea vurugu.
Hata ulu wa Marehemu Remmy Ongara, MAMBO KWA SOKSI, ulifunguwa.... lakini baadala kwenye majukwaa tuliendelea kuyatamka maneno yale
 
Mmechelewa kila mtu anao huo wimbo, isitoshe hata nyie basata mnausikiliza nyuma ya pazia
 
aisee tuache kulalamika na kutetea upuuzi kufikisha ujumbe kwa kukosoa sawa lakini sio kwa lugha ya kashfa na matusi.tukishabikia hili tunaandaa kizazi cha ajabu sana na cha kipuuzi sisi tutakufa lkn tanzania itabakia na vizazi vijavyo ndio vitapata tabu sana.

lazima kama taifa tuwe na kizazi chenye heshima na nidhamu kwa ujumla
 
Katibu Mkuu wa Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA), Godfrey Mngereza amesema wataufungia wimbo wa 'Wapo' wa Nay wa Mitego kwani hauna maadili. Amesema haufai unachochea vurugu.
Basata wachumia tumbo.
Njaa zitawaua. Nyie raha yenu kufurahisha watawala.
Ila mmechelewa sana. Tumedownload tayari
 
Ney alikua anajua utafungiwa by the time anautoa. BASATA guys are just playing to his tune. Jamaa keshaurelease na watu wameusikia na wanao kwenye devices zao.
Hata mim hili jambo nimehis kuwa ney katoa makusudi akijua fika huo wimbo utafungiwa lakin yote ya yote ujumbe umewafikia kazi kwao sasa
 
BASATA njaa kaliiiiiiiiiiiiii haya ndo ya kufuta Hili nalo ni Baraza Uchwara
 
Hivi umesikiliza wimbo kwa makin au umeandika tu kasikilize vixur afu uje useme tusi liko wapi pale au ndio bashite mwenyew nin achen ubabe fuatishen misingi ya demokrasia mtaona kama mtatungiwa nyimbo za kuwasema
 
Jamaa kawapiga bao la mkono.....

Wimbo haupo kwenye Radio wala Tv zao, sijui wanafungia nini tena
 
BASATA wanatumia moyo kutoa maamuzi. Wamesema hauna Maadili. Na unaleta uchochezi
Unatakiwa ujiulize maadili ambayo wimbo umeyakiuka ni yapi ? Na uchochezi ni upi ? Au watu kumbukuka Jakaya "wapo" ndiyo maneno ya uchochezi ? Tatizo mnatenda kuangalia namna ya kufurahisha wakuu wenu hasa Mkuu Wa mkoa kama ndiyo kipimo cha maadili
Wimbo wowote utakaoondoa furaha ya Waheshimiwa wenu hauna maadili !
 
Kwa hiyo bujibuji uko radhi sebureni kwako wimbo wa namna upigwe?
Bujibuji tafakali mara mbili,JF bado inawahitaji watu kama ninyi kamwe msisupport
Ficha uzwazwa. Kama mfumuliwa malinda yupo unashangaa nini kusikia kwenye muziki ?
Unavyovishangaa vipo na mnaviishi
Mwimbaji anatoa alert ili kama mnataka vifanyieni kazi...
Mnataka kurudi kwenye ujima
 
Upuuzi mtupu, watu wameshaupakua siku kadhaa ndo wanaufungia!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…