BASATA: Wimbo wa WAPO wa Ney wa Mitego kufungiwa, hauna Maadili

Utaanzishwa ukaguzi.
Ole wako ukutwe unaumiliki/sikiliza au kuburudishia popote na kwa namna yoyote hata ukiu-google umeulawanya.
Tegemea tamko kama hili.
Yan apo ndo watakua wamebuma kabixa kama wanalengo bora ata waache kwa maana huo wimbo nimeshauifazi google drive ata wasijaribu...
 
BASATA mnasema hauna maadili, Waziri anaufungua, ina maana gani hii??
 
"Too late to apologize" ... ujumbe ushafika
Kwa wachache wasio na kazi na ushinda mitandaoni wengi haujawafikia na actually ndio walengwa wakuu. Halafu jamani GT kwa nini hamjiongezi message ambayo ni muhimu sana ni kuwa sio msanii analalal anaota anaamka anaandika wimbo lazima kuwe na mipakak hiyo ndiyo mesaage na ni muhimu mnooo!
 
Wimbo umeruhusiwa na Waziri wa Sanaa,amepata maagizo kutoka juu wimbo upigwe vituo vyote na Ney aachiwe mara moja.Pia amemuasa kutaja majina hata ya wauza madawa na mafisadi asiogope
 
Povu limewatoka. Mkulu kasema ni mzuri sana nyie hauna maadili. Aibu ya nani
 
BASATA ni MATUTUSA ya kufa mtu. Wataufungiaje wimbo unaolimisha kama huu?
 
Aibu IMEWAJAAAA.... WATU WALITOKWA POVU SANA HUMUUU...

BRAVOOO NAYY
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…