Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yani hapo ni kama wanatwanga maji kwenye kinu au wanachota maji kwenye tengaWatu walionao huo wimbo wafanyeje? Waurudishe au waendelee kuusikiliza.?
Yan apo ndo watakua wamebuma kabixa kama wanalengo bora ata waache kwa maana huo wimbo nimeshauifazi google drive ata wasijaribu...Utaanzishwa ukaguzi.
Ole wako ukutwe unaumiliki/sikiliza au kuburudishia popote na kwa namna yoyote hata ukiu-google umeulawanya.
Tegemea tamko kama hili.
Kwa wachache wasio na kazi na ushinda mitandaoni wengi haujawafikia na actually ndio walengwa wakuu. Halafu jamani GT kwa nini hamjiongezi message ambayo ni muhimu sana ni kuwa sio msanii analalal anaota anaamka anaandika wimbo lazima kuwe na mipakak hiyo ndiyo mesaage na ni muhimu mnooo!"Too late to apologize" ... ujumbe ushafika
Ney wa Mitego is the Best, well done.anakwambia yeye ni dereva hawezi kuwa kwenye list ya makonda...
Kila kitu kinawezekana, sasa imekifu Bashite lazima angoke tu apende au asipende.Ukitamka Bashite tu, hilo jambo ni Batili. Ndio hapo pagumu, Bashite haguswi kwenye kashfa yeyote
Katibu Mkuu wa Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA), Godfrey Mngereza amesema wataufungia wimbo wa 'Wapo' wa Nay wa Mitego kwani hauna maadili. Amesema haufai unachochea vurugu.
Ngoma imeachiwa xaiv imeruhusa nimesikia cloudsBASATA mnasema hauna maadili, Waziri anaufungua, ina maana gani hii??
LAKI si pesa,watu wengine hamna kazi umejipinda kuandika upuuzi huu muda bora ungeutumia kulima
Jamani ingia youtube search wapo utaupatahiyo nyimbo ni nzuri japo sijaisikiliza bado