Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Huyu ni chawa wa mama, Baraza litaishia kumwangalia tuBaraza la Sanaa la Taifa (BASATA) limemfungia msanii Rajab Abdulkahali (Harmonize) kujishughulisha na kazi za sanaa kwa namna yoyote ile hadi atakapotekeleza maagizo aliyopewa, ikiwemo kulipa faini ya shilingi milioni tano (Tsh 5,000,000/=) na kushusha video ya wimbi lake la "Kudos" kwenye mitandao ya kijamii.
Hatua hii imechukuliwa baada ya msanii huyo kubainika kusambaza video ya wimbo huo inayokiuka maadili ya Mtanzania na kuvunja heshima ya msikilizaji au mtazamaji, bila kutoa utetezi au maelezo mbadala kwa baraza hilo.
Kwa upande wa msanii Faustina Charles Mfinanga (Nandy), BASATA limemtoza faini ya shilingi milioni tatu (Tsh 3,000,000/=) kwa kosa la kuvaa nguo isiyokuwa na staha na inayovunja heshima ya mtazamaji wakati akitumbuiza kwenye fainali za Miss Universe Tanzania 2026.
Nandy amekiri kosa hilo, ameshusha video hiyo isiyozingatia maadili kwenye mitandao yake ya kijamii, amelipa faini hiyo, na sasa ameruhusiwa kuendelea na shughuli zake za sanaa chini ya uangalizi.
View attachment 3676729View attachment 3676730
BASATA ni kama TFF hela hawana kazi kujipigisha faini ili watafute pesa.Baraza halina ela linafosi
VP mirabaha wanawapigania au kazi kuwapiga faini tu
Waliishahamia Dodoma au bado wako Buguruni? 😅Hivi Huwa wanachanzo cha mapato chochote, usha ziona ofisi zao zilivo? hahaha, ninyamaze underground mie
Hiyo video ya Faustina iko wapi, tuone kama mimi mtazamaji nitavunjiwa heshima

Hivi kazi ya baraza la sanaa ni ipi hasa ukitofautisha na hii ya kuwafungia wavaa uchi kwenye music..?Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) limemfungia msanii Rajab Abdulkahali (Harmonize) kujishughulisha na kazi za sanaa kwa namna yoyote ile hadi atakapotekeleza maagizo aliyopewa, ikiwemo kulipa faini ya shilingi milioni tano (Tsh 5,000,000/=) na kushusha video ya wimbo wake wa "Kudos" kwenye mitandao ya kijamii.
Hatua hii imechukuliwa baada ya msanii huyo kubainika kusambaza video ya wimbo huo inayokiuka maadili ya Mtanzania na kuvunja heshima ya msikilizaji au mtazamaji, bila kutoa utetezi au maelezo mbadala kwa baraza hilo.
Kwa upande wa msanii Faustina Charles Mfinanga (Nandy), BASATA limemtoza faini ya shilingi milioni tatu (Tsh 3,000,000/=) kwa kosa la kuvaa nguo isiyokuwa na staha na inayovunja heshima ya mtazamaji wakati akitumbuiza kwenye fainali za Miss Universe Tanzania 2026.
Nandy amekiri kosa hilo, ameshusha video hiyo isiyozingatia maadili kwenye mitandao yake ya kijamii, amelipa faini hiyo, na sasa ameruhusiwa kuendelea na shughuli zake za sanaa chini ya uangalizi.
Hizi faini mbona ndogo hivi kwa hawa wasanii si wanajiweza ?adhabu inapaswa kuwa kali wanaporomosha maadili sana na utamuduni wetu wapo uchi uchi tu kwenye video na manyimbo yao matusi tu yamejaaBaraza la Sanaa la Taifa (BASATA) limemfungia msanii Rajab Abdulkahali (Harmonize) kujishughulisha na kazi za sanaa kwa namna yoyote ile hadi atakapotekeleza maagizo aliyopewa, ikiwemo kulipa faini ya shilingi milioni tano (Tsh 5,000,000/=) na kushusha video ya wimbo wake wa "Kudos" kwenye mitandao ya kijamii.
Hatua hii imechukuliwa baada ya msanii huyo kubainika kusambaza video ya wimbo huo inayokiuka maadili ya Mtanzania na kuvunja heshima ya msikilizaji au mtazamaji, bila kutoa utetezi au maelezo mbadala kwa baraza hilo.
Kwa upande wa msanii Faustina Charles Mfinanga (Nandy), BASATA limemtoza faini ya shilingi milioni tatu (Tsh 3,000,000/=) kwa kosa la kuvaa nguo isiyokuwa na staha na inayovunja heshima ya mtazamaji wakati akitumbuiza kwenye fainali za Miss Universe Tanzania 2026.
Nandy amekiri kosa hilo, ameshusha video hiyo isiyozingatia maadili kwenye mitandao yake ya kijamii, amelipa faini hiyo, na sasa ameruhusiwa kuendelea na shughuli zake za sanaa chini ya uangalizi.
Hii ni htu nzuri ili wahuni wengine wakoma.Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) limemfungia msanii Rajab Abdulkahali (Harmonize) kujishughulisha na kazi za sanaa kwa namna yoyote ile hadi atakapotekeleza maagizo aliyopewa, ikiwemo kulipa faini ya shilingi milioni tano (Tsh 5,000,000/=) na kushusha video ya wimbo wake wa "Kudos" kwenye mitandao ya kijamii.
Hatua hii imechukuliwa baada ya msanii huyo kubainika kusambaza video ya wimbo huo inayokiuka maadili ya Mtanzania na kuvunja heshima ya msikilizaji au mtazamaji, bila kutoa utetezi au maelezo mbadala kwa baraza hilo.
Kwa upande wa msanii Faustina Charles Mfinanga (Nandy), BASATA limemtoza faini ya shilingi milioni tatu (Tsh 3,000,000/=) kwa kosa la kuvaa nguo isiyokuwa na staha na inayovunja heshima ya mtazamaji wakati akitumbuiza kwenye fainali za Miss Universe Tanzania 2026.
Nandy amekiri kosa hilo, ameshusha video hiyo isiyozingatia maadili kwenye mitandao yake ya kijamii, amelipa faini hiyo, na sasa ameruhusiwa kuendelea na shughuli zake za sanaa chini ya uangalizi.
Nguo ya KAWAIDA SANA SANA!
Yule ni Mtanzania? Au alidhani watu hawataiona? Akishamaliza kutumika baadae atadai kuolewa na ma Simp🤣🤣Daaaa ila ile ya harmonise hapana aseee yule dada amejitoa akili kabisa