BASATA yaufungia wimbo wa Mwanza ulioimbwa na msanii Rayvanny kwa kushirikiana na Diamond Platnumz

BASATA yaufungia wimbo wa Mwanza ulioimbwa na msanii Rayvanny kwa kushirikiana na Diamond Platnumz

Ndo maana ney wa mitego huwa anawachana BASATA kuwa ni wapuuzi
 
[emoji23][emoji23]u wimbo ukifutwa kwelii nafunga safari kutoka Rock city adi dar kwa miguuu



Mark my words
 
Lakini mbona katumia lugha ya picha jamani... ambacho ndio maana ya usanii. angesema waziwazi hapo ndio ingekuwa vibaya
Hiyo lugha ya picha mule hakuna zaidi ya lugha ya matusi. Wewe hizo picha umezipata wapi?? Au na wewe unatokea Nyegezi
 
HV nyimbo za kina Issa matona, bi kidude na wazee wengine unaweza kufananisha na hizi za Leo?
Tazama wimbo wa muhugo wa jang'ombe kikawaida unaongelea muhogo ambao MTU anakula lkn nyegezi kusema nyege in kuifanya kuwa tusi.
Wimbo wa Pete wa Juma balo ukiangalia inazungumzia Pete ya kawaida lkn ndani kumefichwa uhalisia.
Mkuna na mkunwaji kwa nje ni kweli MTU akikuna kuna na wewe unaekunwa yupi anapata raha, lkn wao wanakatisha maneno yawe matusi huo in upuuzi wajiongeze kwenye Sanaa.
 
Basata wasiishie kufungia tu nyimbo , hawa wasanii wawe wanaburuzwa korokoroni kabisa.


MTU ameshasambaza wimbo kwenye platform zote na simu unaishia kuufungua tu
 
Tatizo BASATA mtu hajawahi hata kuvaa jeans eti ndio anasimamia bongo flavor, wale wote pale hakuna anayefaa kuongoza BASATA, mtaani kina Dickson wote tunawaita Dick na maisha yanaendelea, iweje kuita Nyegezi Nyege iwe kosa, NON-SENSE
 
Back
Top Bottom