Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Khaaa[emoji15] [emoji15]Inbobo nakutumiaje sasa?
Hiyo lugha ya picha mule hakuna zaidi ya lugha ya matusi. Wewe hizo picha umezipata wapi?? Au na wewe unatokea NyegeziLakini mbona katumia lugha ya picha jamani... ambacho ndio maana ya usanii. angesema waziwazi hapo ndio ingekuwa vibaya
Kila kitu online Basata wanatimiza wajibu tu.Mbona diamond anaendelea kupost huo wimbo kwenye mitandao ya kijamii japokuwa umezuiliwa na BASATA?
Walishaishiwa mashairi.Kisa imeguswa wasafi?
Hao jamaa wanaimba matusi haifai kwa jamii japo mimi ni mmoja kati ya washangiliaji wao