Bashe amewakuta Watanzania wananunua kilo ya mchele 1,800 sasa wananunua 3,500

Uongo wa kijinga...2016 halikuwa kutokea hilo.
 
Na haitashuka kwa sababu wanunuzi wa mazao kutoka nchi za Kenya, Uganda, Kongo, Malawi, Zambia, Rwanda na Burundi wako mashambani wananunua wenyewe mazao
Juzi kati nimewakuta wakenya kiwangwa Bagamoyo wananunua na kulimisha mananasi wenyewe,kiwangwa now nanasi 1 ni sh 300!
 
Mkuu jiandae kifedha na kisaikolojia, bei hazitashuka. Maana wanunuzi wa nje ya nchi ni wengi mno. Mchele na Maharage ni bidhaa zinazohitajika sana duniani.
 
Mafuta ya Trekta Bei ameipandisha Beshe?? Mbolea zinazozalishwa na Ges ya Ukraine Bei zake amezipandisha Bashe?? Diesel inayotumika na mashine za kuvuna/Kukoboa na ile inayotumika na Mafuso yanayoleta Michele, Mahindi mijini na Kariakoo Dar es salaam , Bei yake inapangwa na Bashe??? Jiongeze na jifunze mambo
 
Matatizo ya hili taifa ni mengi na makubwa kwa ku-pinpoint vichache unakuwa hauwatendei mema hawa watawala..., vitu vinategemeana kuanzia Nishati kutokuwa ya Uhakika..., uzembe wa kutokujiandaa kwa long term planning, bila kusahau kutumia pesa nyingi kwa propaganda na vitu vya kupita badala ya ku-stick with the basics...
 
Wewe ulitakaje? Shenzi nyie mlizoea kunyonya jasho la wakulima.

Nakukumbusha kwenda kulima mvua zinanyesha..
 
Maswali yote hayo unayouliza vitu hivyo vilikuwa havitumiki kabla ya Bashe kuwa Waziri? mbona suala la wanunuzi wa mazao mashambani kutoka nchi za nje huzungumzii?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…