The Sunk Cost Fallacy 2
JF-Expert Member
- Nov 8, 2022
- 9,436
- 10,944
Miaka hii ya Samia ni ya kupiga pesa,tulipata hasara sana enzi za JiweMkuu jiandae kifedha na kisaikolojia, bei hazitashuka. Maana wanunuzi wa nje ya nchi ni wengi mno. Mchele na Maharage ni bidhaa zinazohitajika sana duniani.
Wewe sio tuu ni bwege Bali ni fala, unadhani food security ni bidhaa za wakulima kuuzwa bei za kutupa za kuwakandamiza? 😁😁😁😁Bwege wewe hapo hujui maana ya food security nyio ndio mnaokaa kusifia halafu mnaenda kuomba mkumbukwe
Mkulima analima ili auze apate hela , maisha yake yawe bora. Ujampa mbegu, ujampa mbolea wala trekta. Unataka bei umpangie??? Anauza panapomlipa . Kama unaona garama Kalime Chakula chako- Tanzania Mapori mengi tu kapige Jembe uje utuuzie kilo 500Maswali yote hayo unayouliza vitu hivyo vilikuwa havitumiki kabla ya Bashe kuwa Waziri? mbona suala la wanunuzi wa mazao mashambani kutoka nchi za nje huzungumzii?
Kufupisha story ni kwamba Kilimo ni biashara..Mkulima analima ili auze apate hela , maisha yake yawe bora. Ujampa mbegu, ujampa mbolea wala trekta. Unataka bei umpangie??? Anauza panapomlipa . Kama unaona garama Kalime Chakula chako- Tanzania Mapori mengi tu kapige Jembe uje utuuzie kilo 500
Wewe unafikiria Kwa makalio siwezi kupoteza muda kuongea na mpumbavu anayeishi Kwa kutegemea kulamba watu miguuWewe sio tuu ni bwege Bali ni fala, unadhani food security ni bidhaa za wakulima kuuzwa bei za kutupa za kuwakandamiza? 😁😁😁😁
Utaishia hivyo hivyo na msimamo wa serikali uko wazi,Kilimo ni biashara kama zingine wewe endelea kusubiria food security 🤣🤣
Mnanunua nyinyi mnaolamba asali😝😝😝Umewahi kukuta mchele umedida licha ya kuuzwa hiyo bei? Au Kuna mgahawa umefungwa?
Kwahiyo unataka kusema Bashe hafai tena kuendelea kuwa Rais wa Tanzania 2025?Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe wakati anakabidhiwa Wizara ya Kilimo aliwakuta watanzania wananunua mchele Kilo 1,300 hadi 2,000 kulingana na ubora.
Sasa hivi 2023 tunanunua kilo 3,500 ya Mchele alafu bado tunaamini Bashe ni Waziri mzuri wa Kilimo na anamsaidia vizuri Mh Rais Samia
View attachment 2487254
Sisi wakulima wacha tupige helaWaziri wa Kilimo, Hussein Bashe wakati anakabidhiwa Wizara ya Kilimo aliwakuta watanzania wananunua mchele Kilo 1,300 hadi 2,000 kulingana na ubora.
Sasa hivi 2023 tunanunua kilo 3,500 ya Mchele alafu bado tunaamini Bashe ni Waziri mzuri wa Kilimo na anamsaidia vizuri Mh Rais Samia.
View attachment 2487254
Umemsikia mkulima akilia hanufaiki?Watu wote hatuwezi kulima, na kwa taarifa yako hakuna mkulima anayenufaika na ongezeko la bei ya mazao
Bashe ni wale wanajidai waomini wa soko huru wakati kitu halisi kipo kwa mazao nchini ni soko huria.Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe wakati anakabidhiwa Wizara ya Kilimo aliwakuta watanzania wananunua mchele Kilo 1,300 hadi 2,000 kulingana na ubora.
Sasa hivi 2023 tunanunua kilo 3,500 ya Mchele alafu bado tunaamini Bashe ni Waziri mzuri wa Kilimo na anamsaidia vizuri Mh Rais Samia.
View attachment 2487254
Kwake yeye anaona hayo ndiyo maendeleo! Huku thamani ya fedha ikiendelea kushuka.Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe wakati anakabidhiwa Wizara ya Kilimo aliwakuta watanzania wananunua mchele Kilo 1,300 hadi 2,000 kulingana na ubora.
Sasa hivi 2023 tunanunua kilo 3,500 ya Mchele alafu bado tunaamini Bashe ni Waziri mzuri wa Kilimo na anamsaidia vizuri Mh Rais Samia.
View attachment 2487254
Wanaofaidika ni wakulima, au ni madalali (Middlemen)?Kwahiyo hamtaki wakulima wafaidi matunda ya jembe lao?
Kama ghali sana lima mpunga na maharage yako
Bashe is too young mentally,and experience wise,to make sure the country have enough food and at affordable priceMaharage 4000. Nimeshangaa sana
Hiyo wanakula walamba asali tuSupa Kyela ni 4500/= kwa kilo
Ukiwa na akili ndogo huwezi kuelewa nilicho maanishaKwani chakula ni ubwawa tuu?
By the way huna akili mbonaUkiwa na akili ndogo huwezi kuelewa nilicho maanisha
Sibishani na wapumbavu ujueBy the way huna akili mbona
Tunazungumza matatizo yetu kama Tanzania na hakuna nchi inayo share matatizo na nchi nyingine Duniani.Kwaiyo nchi zingine wakitembea uchi na sisi tutembee uchi wakati tuna uwezo wa kupata mavazi!Nitajie nchi ambayo vitu havijapanda