Kama mchele upo wa kutoshaaa why sasa usitolewee tununue kwa bei chee...?? Au ndo serikali inafanya biashara ya kuumiza raiaaKwani atauza chote Ili akose chakula? Hiyo haipo..
Hatuwezi agiza chakula Kenya ndio maana serikali Huwa inanunua chakula Cha Hifadhi Kwa Ajili ya Hilo unalosema wewe
Utolewe kwani umeisha Sokoni? Pili mchele unatambulika kama zao la biashara na chakula, serikali inatoa mahindi ukitaka wali mtanunua hata elfu 7Kama mchele upo wa kutoshaaa why sasa usitolewee tununue kwa bei chee...?? Au ndo serikali inafanya biashara ya kuumiza raiaa
Ni yeye au ni wote ? Unahangaika na mkia wakati kichwa kipoInakuwaje wananunua na V8 ya milioni 500 wakati hali ya uchumi ni mbaya.
Ebu muulize Bashe anatembelea gari la thamani gani.
Nadhani haujachambua ulichoandika kabla haujakiandika....Mim nachouliza
Mkulima na mfanyakazi wanalipa gharama tofauti kwenye huduma za kijamii? Mfano maji, umeme, shule...
Sasa kwa nin mkulima apangiwe bei ya kuuza alicholima?
Kilo ya mchele iuzwe hata 10,000 njooni mlime na nyie mjue changamoto za kilimo.
Bei ya mazao ikiwa chini ni janga kwa wakulima.
Bashe ni waziri Bora zaidi kutokea kwenye wizara ya kilimo, hakuna kufunga mipaka acheni ubinafsi, njoon tulime
Bashe yupo kwa ajiliya wakulima, mkulima ninachotaka ni bei nzuri na soko la uhakika.Nadhani haujachambua ulichoandika kabla haujakiandika....
Kwahio Waziri na Wizara ipo pale kama pambo ? Nini faida ya kuwa na Wizara au Waziri kama hawezi kupanga mikakati na ku-plan ahead..., Walishindwa kuwa na stock ya kutosha kukusanya demand ikiwa low ili sasa hivi ni kubwa waachie mzigo ili bei isifumuke.....
Unadhani mkulima peasant ananufaika sasa hivi au ni mlanguzi ambaye alikuwa na thinking and planning ahead ya ku-stock for a rainy day.... Na nchi ardhi kubwa kama hii wanashindwa kweli kufanya marketing ya mazao ya mkakati ili kuwasaidia hawa peasants na sio kutegemea njaa ya majirani ili waweze kujikimu ? au Njaa wa jamii nzima ili wao wanufaike ?
Fikiria upya ulichoandika; hapa sio mashindano bali ni kujenga taifa moja na basic needs zinahitajika kwa kila mmoja ziweze kupatikana (Chakula, Malazi na Mavazi)
Hivyo vipo ? Na unajua mkulima wa Tanzania 90% ni peasants ambao hata hawana uwezo wa kutoa gunia 10-20 hence wanategemea walanguzi na madalali wachukue hizo debe zao kadhaa ambapo mwisho wa siku wanajikuta wanauza mpaka mbegu..... Si majuzi tu hapa nimesikia wakulima wa Korosho wanashangaa ? Vipi na Mkonge wetu wa Kutosha Kahawa Chai n.k. how do we par with other global producers ?Bashe yupo kwa ajiliya wakulima, mkulima ninachotaka ni bei nzuri na soko la uhakika.
Kutegemea mbolea ya nje na mafuta kutoka sijui wapi kwenye nchi kubwa kama hii ambayo ingeweza kutumia mabwawa na irrigation as well as being an energy powerhouse (Sio lazima pump za maji zitumie umeme after all we are in the tropics) ndio hayo nayosema myopic thinking...., yeye na wenzake kama waziri inabidi aje na njia mbadala sio majibu rahisi...., sijawahi kusema mtu yoyote apangiwe bei au sehemu ya kuuza ila mtu mwenye akili zako huwezi kujisifia kwamba nimefaulu sababu sijapangia watu bei; mfumuko wa bei sio sababu tunauza tu nje inaonyesha hakuna planning ya kutosha ya ku-forsee upcoming demand hence having surplusMbolea na mafuta imepanda bei dunia nzima the same to Tz.Hamna ruzuku kwa mkulima, njia pekee ya kufanya mkulima aendele kulima ni ipi?
Still unaangalia tatizo matokeo na sio mzizi wa tatizo hapa issue sio watu kuuza nje bali ni kwanini wakati mzigo ni mwingi hakuna storage ya kusaidia mambo yakiwa magumu..., hizi njaa ukame tunajua kabisa ni cycle ya miaka kama kumi wala haishangazi sasa planning ilikuwa wapi....Ni bei nzuri na soko.
Bei na soko lipo kwa nchi jirani.
Sasa hio Serikali yako kwanini haikuchukua hayo mahindi ya kwako na kuyaweka stock kwa kipindi kama hiki...., unadhani mkulima wa Tanzania peasant hata hizo gunia / stock anazo au ndio alikuuzia wewe debe zake kadhaa ili upate gunia.....Mwaka 2014 kwa kuhofia uchaguzi wa 2015 serikali ilizuia chakula kwenda nje, mim nilikuwa na gunia kadhaa za mahindi dodoma, hata wa kumpa kwa gunia 15,000 nilikosa.
2016 wengi hatukulima , kwa mara ya Kwanza bei ya unga wa mahindi ilifika 2,200 ikiwa juu ya mchele kwa kilo.
Kilimo hakiitaji siasa, fungua mipaka watu walime, funga mipaka tengeneza umaskin vijijini
WoteHivi ukienda kwenye familia ukakuta Kuna upuuzi mwingi unafanyika, wakulaumu ni watoto au wazazi?
Kunywa maji,RelaxHivyo vipo ? Na unajua mkulima wa Tanzania 90% ni peasants ambao hata hawana uwezo wa kutoa gunia 10-20 hence wanategemea walanguzi na madalali wachukue hizo debe zao kadhaa ambapo mwisho wa siku wanajikuta wanauza mpaka mbegu..... Si majuzi tu hapa nimesikia wakulima wa Korosho wanashangaa ? Vipi na Mkonge wetu wa Kutosha Kahawa Chai n.k. how do we par with other global producers ?
Kutegemea mbolea ya nje na mafuta kutoka sijui wapi kwenye nchi kubwa kama hii ambayo ingeweza kutumia mabwawa na irrigation as well as being an energy powerhouse (Sio lazima pump za maji zitumie umeme after all we are in the tropics) ndio hayo nayosema myopic thinking...., yeye na wenzake kama waziri inabidi aje na njia mbadala sio majibu rahisi...., sijawahi kusema mtu yoyote apangiwe bei au sehemu ya kuuza ila mtu mwenye akili zako huwezi kujisifia kwamba nimefaulu sababu sijapangia watu bei; mfumuko wa bei sio sababu tunauza tu nje inaonyesha hakuna planning ya kutosha ya ku-forsee upcoming demand hence having surplus
Still unaangalia tatizo matokeo na sio mzizi wa tatizo hapa issue sio watu kuuza nje bali ni kwanini wakati mzigo ni mwingi hakuna storage ya kusaidia mambo yakiwa magumu..., hizi njaa ukame tunajua kabisa ni cycle ya miaka kama kumi wala haishangazi sasa planning ilikuwa wapi....
Sasa hio Serikali yako kwanini haikuchukua hayo mahindi ya kwako na kuyaweka stock kwa kipindi kama hiki...., unadhani mkulima wa Tanzania peasant hata hizo gunia / stock anazo au ndio alikuuzia wewe debe zake kadhaa ili upate gunia.....
Kumbuka sisemi mipaka ifungwe hio sio kazi yao ila kuhakikisha masoko ya uhakika mwaka mzima na hakuna mfumuko wa bei ndani ya nchi ndio kazi yao...., kama watu hawana uwezo wa ku-sustain maisha yao ya kila siku ni nini kazi ya serikali na sisi kulipa Tozo
NakataaWote
usishangae tmeruhusu wenyewe mazao kwenda nje.tunaifungua nchi kaeni kimywa.kilimo ni biashara kama ilivyo biashara nyingine.Maharage 4000. Nimeshangaa sana
Waziri sio Mungu, upungufu wa mvua ulikuwepo na ni lazima upungufu ungejitokeza tu na hili alisema tangu mwanzo na kuwaambia wananchi wahifadhi chakulaNadhani haujachambua ulichoandika kabla haujakiandika....
Kwahio Waziri na Wizara ipo pale kama pambo ? Nini faida ya kuwa na Wizara au Waziri kama hawezi kupanga mikakati na ku-plan ahead..., Walishindwa kuwa na stock ya kutosha kukusanya demand ikiwa low ili sasa hivi ni kubwa waachie mzigo ili bei isifumuke.....
Unadhani mkulima peasant ananufaika sasa hivi au ni mlanguzi ambaye alikuwa na thinking and planning ahead ya ku-stock for a rainy day.... Na nchi ardhi kubwa kama hii wanashindwa kweli kufanya marketing ya mazao ya mkakati ili kuwasaidia hawa peasants na sio kutegemea njaa ya majirani ili waweze kujikimu ? au Njaa wa jamii nzima ili wao wanufaike ?
Fikiria upya ulichoandika; hapa sio mashindano bali ni kujenga taifa moja na basic needs zinahitajika kwa kila mmoja ziweze kupatikana (Chakula, Malazi na Mavazi)
Ntakujibu, ngojea nasikia hodi na mngurumo wa kirukuu njee labda ntauza sado kadhaa za chorokoHivyo vipo ? Na unajua mkulima wa Tanzania 90% ni peasants ambao hata hawana uwezo wa kutoa gunia 10-20 hence wanategemea walanguzi na madalali wachukue hizo debe zao kadhaa ambapo mwisho wa siku wanajikuta wanauza mpaka mbegu..... Si majuzi tu hapa nimesikia wakulima wa Korosho wanashangaa ? Vipi na Mkonge wetu wa Kutosha Kahawa Chai n.k. how do we par with other global producers ?
Kutegemea mbolea ya nje na mafuta kutoka sijui wapi kwenye nchi kubwa kama hii ambayo ingeweza kutumia mabwawa na irrigation as well as being an energy powerhouse (Sio lazima pump za maji zitumie umeme after all we are in the tropics) ndio hayo nayosema myopic thinking...., yeye na wenzake kama waziri inabidi aje na njia mbadala sio majibu rahisi...., sijawahi kusema mtu yoyote apangiwe bei au sehemu ya kuuza ila mtu mwenye akili zako huwezi kujisifia kwamba nimefaulu sababu sijapangia watu bei; mfumuko wa bei sio sababu tunauza tu nje inaonyesha hakuna planning ya kutosha ya ku-forsee upcoming demand hence having surplus
Still unaangalia tatizo matokeo na sio mzizi wa tatizo hapa issue sio watu kuuza nje bali ni kwanini wakati mzigo ni mwingi hakuna storage ya kusaidia mambo yakiwa magumu..., hizi njaa ukame tunajua kabisa ni cycle ya miaka kama kumi wala haishangazi sasa planning ilikuwa wapi....
Sasa hio Serikali yako kwanini haikuchukua hayo mahindi ya kwako na kuyaweka stock kwa kipindi kama hiki...., unadhani mkulima wa Tanzania peasant hata hizo gunia / stock anazo au ndio alikuuzia wewe debe zake kadhaa ili upate gunia.....
Kumbuka sisemi mipaka ifungwe hio sio kazi yao ila kuhakikisha masoko ya uhakika mwaka mzima na hakuna mfumuko wa bei ndani ya nchi ndio kazi yao...., kama watu hawana uwezo wa ku-sustain maisha yao ya kila siku ni nini kazi ya serikali na sisi kulipa Tozo
Upungufu wa mvua ni jambo la kushangaza au its a well known phenomena na wanajitayarisha vipi na hii well known factor au ni mwendo wa kufanya betting hadi kwenye Sera za NchiWaziri sio Mungu, upungufu wa mvua ulikuwepo na ni lazima upungufu ungejitokeza tu na hili alisema tangu mwanzo na kuwaambia wananchi wahifadhi chakula
Kupunguza makali vitu vimepanda almost 100 % na wakati huo huo kuna tozo za kufa mtu.., huyu raia unategemea afanye nini ili aweze kujipatia moja ya basic need yake muhimuWanachoweza kufanya serikali ni kupunguza tu makali ya upungufu na sio kuzuia upungufu huo,
walinunua mahindi wapi wakati miaka kadhaa iliyopita watu mahindi yaliozea shambani ?na wananunua mahindi wakati wa mavuno na kuyatoa wakati wa upungufu maeneo yenye hali mbaya zaidi,
Nchi inajengwa na wananchi, hazijengwi na waziri
Upungufu hautokei kila mwaka, mfano mwaka huu mvua zinaendelea kunyesha tu vizuriUpungufu wa mvua ni jambo la kushangaza au its a well known phenomena na wanajitayarisha vipi na hii well known factor au ni mwendo wa kufanya betting hadi kwenye Sera za Nchi
Kupunguza makali vitu vimepanda almost 100 % na wakati huo huo kuna tozo za kufa mtu.., huyu raia unategemea afanye nini ili aweze kujipatia moja ya basic need yake muhimu
walinunua mahindi wapi wakati miaka kadhaa iliyopita watu mahindi yaliozea shambani ?
Vipi kuhusu mkulima naye,ameuza gunia la mpunga kwa shillingi ngapi?Hapa nilipo ni 210,000 haijawahi kufikiwa.Gunia tano una 1m,tutaoa sana mwaka huu.Mkulima amefaidika sana na watu watapenda kulima sasaWaziri wa Kilimo, Hussein Bashe wakati anakabidhiwa Wizara ya Kilimo aliwakuta watanzania wananunua mchele Kilo 1,300 hadi 2,000 kulingana na ubora.
Sasa hivi 2023 tunanunua kilo 3,500 ya Mchele alafu bado tunaamini Bashe ni Waziri mzuri wa Kilimo na anamsaidia vizuri Mh Rais Samia.
View attachment 2487254