ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 83,659
- 90,151
My Take
Nilitoa ombi Kwa mamlaka la kumteua Makonda Wizara ya Kilimo lakini halijafanikiwa.
Narudia tena kuwaombea wahusika watubadilishie Uongozi wpale Wizara ya Kilimo Kwa sababu walioko wameshindwa kuwalinda Wakulima na hatusikii tena ajenda za kuwalinda Wakulima Wadogo hususani kwenye soko.
Ikiwezekana basi wamrudishe Bashe kwenye Wizara ya kilimo Ili aendeleze ajenda 10/30 maana alikuwa mtaalamu wa sera na alikuwa anajua anachofanya ikizingatiwa na yeye ni mkulima (mfugaji).
Hongera bwana Bashe ,sio tuu kwamba sisi wakulima wadogo tunatambua mchango wako Bali Dunia na Africa imeona.
View: https://www.instagram.com/p/Dc3Q6wQANB2/?igsi=NHA4aWRvOW5hbWQ4