Blender
JF-Expert Member
- Mar 5, 2022
- 4,870
- 8,035
Mwisho ushafika ,haujasikia BBT ,wameiamishia wizara ya uvuviTusubiri tuone mwisho wake.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwisho ushafika ,haujasikia BBT ,wameiamishia wizara ya uvuviTusubiri tuone mwisho wake.
Kama vipi siwajiungr Na waken ya na wamalawi wakalime kimkataba huko Israel kuliko kuwapotezea muda?.. Maana wao kuwa peleka jkt wakati walishapita kabla ha kwenda chuo si uhuni huo wa kuwapotezea muda? Bashe bwanaa... Embu uwe serious na maisha ya vijanaMradi huu ni maono ya waziri Hussein Bashe, unaongozwa kwa mahesabu makali sana, tulijua kundi la kwanza litakaa field miezi miwili au mitatu kisha wagawiwe mashamba yao kama walivyokuwa wameahidiwa ili waende wakayasimamie wenyewe lakini mpaka sasa wamewashikilia na kuwaweka pamoja huu ni mwaka sasa unakaribia kuisha hakuna vijana wengine waliochukuliwa zaidi ya walewale.
Mambo yamekuwa mengi sasa wamekuja na mpya kwamba hawa vijana lazima wapitie JKT, du Bashe bwana, huko shambani kuna vita? Nilijua watawezeshwa kwa kupewa mikopo ya matrekta ili kila aende akafanye uzalishaji kwenye maeneo yao na kwenda kufundisha wengine.
Nilijua watakopeshwa mitaji ya kuwawezesha kununua vitendea kazi vitavyowafanya kulima kwa ubora zaidi naona sasa wapo JKT, mara mashamba darasa, nk. Ni lini watapewa mikopo waende wanaendesha kilimo mlichowafunza kila mtu kwa kujisimamia mwenyewe? Mtawaatamia mpaka lini?
Mtawagawia lini mashamba yao na kuwaacha huru walime kwa manufaa yao? Kila darasa lina mwisho vipi hii basheagriculture haina uhitimu ili waanze wengine? Haya sawa
Mwisho ushafika ,haujasikia BBT ,wameiamishia wizara ya uvuvi
Amewapeleka kule ili kuwafanya watoto wa wetu kuwa waoga, cunajua kule ni kutii Amri TUKama vipi siwajiungr Na waken ya na wamalawi wakalime kimkataba huko Israel kuliko kuwapotezea muda?.. Maana wao kuwa peleka jkt wakati walishapita kabla ha kwenda chuo si uhuni huo wa kuwapotezea muda? Bashe bwanaa... Embu uwe serious na maisha ya vijana
Alafu MTU anakuja kukuambia eti kuna deepstate,Mwisho ushafika ,haujasikia BBT ,wameiamishia wizara ya uvuvi
SanaAseee. Hii nchi ngumu sana