Bashe kilimo sio makaratasi, acha kuitumia BBT kuwapotezea muda vijana, ajenda yako hasa ni ipi?

Kama vipi siwajiungr Na waken ya na wamalawi wakalime kimkataba huko Israel kuliko kuwapotezea muda?.. Maana wao kuwa peleka jkt wakati walishapita kabla ha kwenda chuo si uhuni huo wa kuwapotezea muda? Bashe bwanaa... Embu uwe serious na maisha ya vijana
 
Kuna vijana fulani nawajua wamevuta mpunga wao kutwa wako polos wanapiga vitu ,wanalimia hapo

Ova
 
Bashe ndio Waziri wa kilimo aliye IBA pesa nyingi za mikopo zilipowe serikali Kwa ajili ya kilimo kuliko Waziri yoyote kuwai kutokea kwenye wizara hiyo
Mwisho ushafika ,haujasikia BBT ,wameiamishia wizara ya uvuvi
 
Amewapeleka kule ili kuwafanya watoto wa wetu kuwa waoga, cunajua kule ni kutii Amri TU
 
Mwisho ushafika ,haujasikia BBT ,wameiamishia wizara ya uvuvi
Alafu MTU anakuja kukuambia eti kuna deepstate,
Nchi inaibiwa kila Kona ,mpaka na wakimbizi wapo kwenye Baraza la mawaziri ,
Wazee wenye sauti ya mwisho wako wanaangalia TU 🚮
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…