Bashe: Kuna kikundi ndani ya Idara ya Usalama (TISS) kinahusika na utekaji. Wabunge 11 wapo kwenye orodha ya kutekwa

Akiomba Mwongozo kwa Naibu Spika, Hussein Bashe amedai kuwa amefahamishwa na baadhi ya Mawaziri kuwa ndani ya Idara ya Usalama wa Taifa kuna kikundi ambacho kinahusika na utekaji wa watu. Amedai kuwa kuna Wabunge 11 wapo kwenye orodha ya kutekwa na kuondolewa uhai. Mimi ni kati ya watu 11 tuliopo hatarini kufanyiwa vitu vibaya popote pale nijiangalie

Kwa hapa tulipofika, ni wazi kuwa JPM ajitafakari na baadhi ya watu wanaomzunguka.Kuna hali ya tahayari katika Taifa.

Jana nimeongea na Askofu mmoja wa Kikatoliki, nimeona dalili ya uhusiano wa JPM na Kanisa kudorora kwa namna anavyoendesha mambo ya Nchi.

Hatuwezi kulifumbia macho jambo hili, Watanzania wanatekwa na watu wasiojulikana'

Wasalaam
Haya sasa serikali vs serikali vs serikali huyu ni bashite na babake period
 
Hivi usalama gani wa TAIFA ukawa na kikundi cha UTEKAJI,,na tena utekaji wa kipuuzi kabsa kama tunaouona sasa??? SYSTEM ikitaka kukuua inakuondoa TU haisubiri kukuteka........
HIZI NI CHUKI TU ZA BAADHI WA WABAYA WA MAGUFULI watamsingizia mengi mno huyu MZEE...na ndio kwanza picha inaanza.....
Hapo ndipo sasa ujiulize nchi hii tunakwenda wapi kama tuna usalama wa taifa uliopuuzika kama huu
 
Huyu BASHE anajistukia TU...kwanini asijilipue KABSA KWA KUTAJA WAHUSIKA MAANA anajijua kabsa HAYUPO CCM tokea kipindi kile LOWASSA amekatwa hivyo nafsi yake haina amani kabsa kuendelea kuwepo CCM ila tu anajilazimisha, kujilazimisha huko kuna mkuta ANAZUNGUMZA mambo ya ajabu kabsa ya kumchafua RAIS....chunguzeni KWANINI wale TEAM LOWASSA wote kama BASHE,MSUKUMA,MALIMA ndio wapiga kelele kila siku??????kwanini wao tu???
Hivi usalama gani wa TAIFA ukawa na kikundi cha UTEKAJI,,na tena utekaji wa kipuuzi kabsa kama tunaouona sasa??? SYSTEM ikitaka kukuua inakuondoa TU haisubiri kukuteka........
HIZI NI CHUKI TU ZA BAADHI WA WABAYA WA MAGUFULI watamsingizia mengi mno huyu MZEE...na ndio kwanza picha inaanza.....

Hivi wakati unaandika haya ulikuwa unarejea matukio ya utekaji yaliyotokea nchini na hatua zilizochukuliwa na serikali? Wakati mwingine kuwa na kumbukumbu kiongozi
 
Maelezo yote hayo ni ya BASHE au kuna na mleta mada? Maelezo ya BASHE yameishia wapi? Hao Mawaziri waliomwambia hawakumtajia majina ya hao wana usalama? Bunge lisitumike kututia hofu sisi wananchi wa kawaida
 
Huyu BASHE anajistukia TU...kwanini asijilipue KABSA KWA KUTAJA WAHUSIKA MAANA anajijua kabsa HAYUPO CCM tokea kipindi kile LOWASSA amekatwa hivyo nafsi yake haina amani kabsa kuendelea kuwepo CCM ila tu anajilazimisha, kujilazimisha huko kuna mkuta ANAZUNGUMZA mambo ya ajabu kabsa ya kumchafua RAIS....chunguzeni KWANINI wale TEAM LOWASSA wote kama BASHE,MSUKUMA,MALIMA ndio wapiga kelele kila siku??????kwanini wao tu???
Hivi usalama gani wa TAIFA ukawa na kikundi cha UTEKAJI,,na tena utekaji wa kipuuzi kabsa kama tunaouona sasa??? SYSTEM ikitaka kukuua inakuondoa TU haisubiri kukuteka........
HIZI NI CHUKI TU ZA BAADHI WA WABAYA WA MAGUFULI watamsingizia mengi mno huyu MZEE...na ndio kwanza picha inaanza.....
Ndumilakuwili...
 
Maelezo yote hayo ni ya BASHE au kuna na mleta mada? Maelezo ya BASHE yameishia wapi? Hao Mawaziri waliomwambia hawakumtajia majina ya hao wana usalama? Bunge lisitumike kututia hofu sisi wananchi wa kawaida
Usiogope hapo Rombo
 
Hiyo ni sayansi ya siasa !!

JPM, wabane washindwe kulala!

Si wanasema hamna hela za vikao sasa, bungeni wanafata nini na kuweka porojo kama hizi??
Hahahahahaaaaaa! Mbavu zangu mieeeee!
 
Back
Top Bottom