Sbir Zamu yako ikifika utajua anachokisema bashe now ongea unavoweza kwani hta Nape alijitoa mhanga adi kwenye goli la mkono lakini leo anaonekana kama karai tuu baada ya ujenzi wa ghorofa kuisha so ushabiki kwa mambo ambayo yako wazi hauna faida kwa Taifa ili kma huna cha kuongea ni bora ukanyamaza kuliko kumkingia kifua mtu ambae habebekiHuyu BASHE anajistukia TU...kwanini asijilipue KABSA KWA KUTAJA WAHUSIKA MAANA anajijua kabsa HAYUPO CCM tokea kipindi kile LOWASSA amekatwa hivyo nafsi yake haina amani kabsa kuendelea kuwepo CCM ila tu anajilazimisha, kujilazimisha huko kuna mkuta ANAZUNGUMZA mambo ya ajabu kabsa ya kumchafua RAIS....chunguzeni KWANINI wale TEAM LOWASSA wote kama BASHE,MSUKUMA,MALIMA ndio wapiga kelele kila siku?Kwanini wao tu?
Hivi usalama gani wa TAIFA ukawa na kikundi cha UTEKAJI,,na tena utekaji wa kipuuzi kabsa kama tunaouona sasa??? SYSTEM ikitaka kukuua inakuondoa TU haisubiri kukuteka.
HIZI NI CHUKI TU ZA BAADHI WA WABAYA WA MAGUFULI maana kama kuyabana MAJIZI ni kweli kayabana kwa hiyo tusitegemee mteremko kwa MAGUFULI hata siku moja.....watu wenye pesa chafu watahonga sana hawa whistleblower kumchafua MAGUFULI.
watamsingizia mengi mno huyu MZEE...na ndio kwanza picha inaanza.
Isijifanye umeshindwa kuelewa mkuu maana nayo ni dalili ya upumbavu hasa kwa jambao ambalo lipo bayana kama hilo la utekajiiHapa anasema watekaji ni baadhi ya TISS.
Halafu hapa anasema watekaji hawajulikani.
Hahahahahaaaaaa. Kwa hiyo ndo maana Gwajima anajinafasi kwa sasa? Umenifurahisha sana aiseeeeHawa TISS si boss wao ni baba mchungaji kifilimba,
au uchungaji uliisha baada ya kupewa madaraka,
yaani siamini kabisa baba mchungaji kaanza kuteka na kutesa watu...!!
It is impossible,nadhani hawatekwi,wanachukuliwa tu kwenda kufanyiwa marekebisho kidogo,
angekuwa boss wa Tiss ni mswahili labda,
maana hawa waswahili haya ndo mambo yao ya kuteka teka,
mtakuwa mnasimsingizia tu huyu baba mchungaji kifilimba
WALIO IWEZA WALITUFIKISHA WAPI???????Tuache unafiki kiukweli mkuu nchi imemshinda
Hivi kumbe hao nao wapo chini ya TISS nlikiwa sijui mie, maana mtoa hoja kwataja TISS halafu kibwengo wewe unatuletea picha za walinzi wa chadema .kwani hawa ni tiss? mie sijawahi waona.
![]()
hakuna mkukufu apa ebu ondoa ilo neno lakoChanzo cha hii habari ni wapi?
Kama ni Bashe mwenyewe haya,yetu macho ila tafadhali asihusishwe mtukufu JPM.
Endelea kushangilia siku ukitekwa ndo utajuaHa ha ha haaaaaa
Ameambiwa eeeeh
Na hakwenda polisi kuripoti!!!
Asa bungeni ndio pa kutafuta kuichafua serikali, hawa wabunge wengin njaa inawauma kweli kweli.
Watanyooka tu
Wachafuzi wa serikali hii
Inabidi huyo akamatwe aojiwe zaidi, mchochezi tu
Ajitafakari na baadhi ya watu wanaomzunguka wakati yeye ndiye anaye direct mchezo wote?Akiomba Mwongozo kwa Naibu Spika, Hussein Bashe amedai kuwa amefahamishwa na baadhi ya Mawaziri kuwa ndani ya Idara ya Usalama wa Taifa kuna kikundi ambacho kinahusika na utekaji wa watu. Amedai kuwa kuna Wabunge 11 wapo kwenye orodha ya kutekwa na kuondolewa uhai. Mimi ni kati ya watu 11 tuliopo hatarini kufanyiwa vitu vibaya popote pale nijiangalie
Kwa hapa tulipofika, ni wazi kuwa JPM ajitafakari na baadhi ya watu wanaomzunguka.Kuna hali ya tahayari katika Taifa.
Jana nimeongea na Askofu mmoja wa Kikatoliki, nimeona dalili ya uhusiano wa JPM na Kanisa kudorora kwa namna anavyoendesha mambo ya Nchi.
Hatuwezi kulifumbia macho jambo hili, Watanzania wanatekwa na watu wasiojulikana'
Wasalaam
Bashe aache porojo, atoe ushahidi mbele ya spika,siyo kuropoka ropoka tu kweye jambo nyeti kama hili.Akiomba Mwongozo kwa Naibu Spika, Hussein Bashe amedai kuwa amefahamishwa na baadhi ya Mawaziri kuwa ndani ya Idara ya Usalama wa Taifa kuna kikundi ambacho kinahusika na utekaji wa watu. Amedai kuwa kuna Wabunge 11 wapo kwenye orodha ya kutekwa na kuondolewa uhai. Mimi ni kati ya watu 11 tuliopo hatarini kufanyiwa vitu vibaya popote pale nijiangalie
Kwa hapa tulipofika, ni wazi kuwa JPM ajitafakari na baadhi ya watu wanaomzunguka.Kuna hali ya tahayari katika Taifa.
Jana nimeongea na Askofu mmoja wa Kikatoliki, nimeona dalili ya uhusiano wa JPM na Kanisa kudorora kwa namna anavyoendesha mambo ya Nchi.
Hatuwezi kulifumbia macho jambo hili, Watanzania wanatekwa na watu wasiojulikana'
Wasalaam
Watu hawa tekwi? maana naona kuna wajinga humu mnakaza kweli miku*** kupingana na ukweli uliopoBashe naona umeota Mapembe
Hiyo chuki yako yakijinga haita penya
tunasema hauta penya
ntajuaje labda ndio wanaoteka watu labda Roma atuambie wakina nani waliomteka, wakati wanamteka hakupiga selfie nao?Hivi kumbe hao nao wapo chini ya TISS nlikiwa sijui mie, maana mtoa hoja kwataja TISS halafu kibwengo wewe unatuletea picha za walinzi wa chadema .
Bashe anakuwa tishio kwa usalama wa taifa kwa kuwahusha tiss na mambo ya hovyo,Bashe aache porojo, atoe ushahidi mbele ya spika,siyo kuropoka ropoka tu kweye jambo nyeti kama hili.