HajaambiwaAkiambiwa athibitishe atakuwa tayari? Kick zingine ni za hatari sana
Usalama wa Taifa wapo kwa maslahi taifa.Watu wanatekwa hata kabla babako hajazaliwa
Ila si kwa aina ya sasa ya utekaji maana hii ya sasa inavuka mipaka kama unateka hadi waimba hip hop mnaacha kuteka majambazi huko ,huu ni ujinga wa kiwango cha lamiWatu wanatekwa hata kabla babako hajazaliwa
Taifa lipiUsalama wa Taifa wapo kwa maslahi taifa.
Majambazi hayatekwi yanatobolewa na risasiIla si kwa aina ya sasa ya utekaji maana hii ya sasa inavuka mipaka kama unateka hadi waimba hip hop mnaacha kuteka majambazi huko ,huu ni ujinga wa kiwango cha lami
Ila si kwa aina ya sasa ya utekaji maana hii ya sasa inavuka mipaka kama unateka hadi waimba hip hop mnaacha kuteka majambazi huko ,huu ni ujinga wa kiwango cha lami
TISS ni malaika kumbe !? Acha kujipendekeza kwa wanaume wenzio waache wajisemwe wenyewe , ninacho shukuru sikuhizi mambo yamegeuka wakosoaji wa serikali ni wenye serikali wenyeweBashe anakuwa tishio kwa usalama wa taifa kwa kuwahusha tiss na mambo ya hovyo,
wacha mawazo ya kijingaTISS ni malaika kumbe !? Acha kujipendekeza kwa wanaume wenzio waache wajisemwe wenyewe , ninacho shukuru sikuhizi mambo yamegeuka wakosoaji wa serikali ni wenye serikali wenyewe
Presentation yako yaonyesha we ni mmoja wa watekaji au unafahamu kabisaa kinachoendelea. Hofu kwa watu IPO hilo halina ubishi. Tafuta tu angle nyingine yeyote kondoa kashfa hiiHuyu Bashe anajistukia tu, kwanini asijilipue kabsa kwa kutaja wahusika maana anajijua kabsa hayupo CCM tokea kipindi kile lowassa amekatwa hivyo nafsi yake haina amani kabsa kuendelea kuwepo CCM ila tu anajilazimisha, kujilazimisha huko kuna mkuta anazungumza mambo ya ajabu kabsa ya kumchafua Rais. Chunguzeni kwanini wale team Lowassa wote kama bashe,msukuma,malima ndio wapiga kelele kila siku? Kwanini Wao tu?
Hivi usalama gani wa taifa ukawa na kikundi cha utekaji na tena utekaji wa kipuuzi kabsa kama tunaouona sasa? System ikitaka kukuua inakuondoa tu haisubiri kukuteka.
Hizi ni chuki tu za baadhi wa wabaya wa Magufuli maana kama kuyabana majizi ni kweli kayabana kwa hiyo tusitegemee mteremko kwa Magufuli hata siku moja.Watu wenye pesa chafu watahonga sana hawa whistleblower kumchafua Magufuli.
Watamsingizia mengi mno huyu mzee na ndio kwanza picha inaanza.
Tayari taifa na dunia imejua kuwa CCM mmeanza kuteka na kuua wale wote wanaomkosoa mwenyekiti wenu wa CCM.Ha ha ha haaaaaa
Ameambiwa eeeeh
Na hakwenda polisi kuripoti!!!
Asa bungeni ndio pa kutafuta kuichafua serikali, hawa wabunge wengin njaa inawauma kweli kweli.
Watanyooka tu
Wachafuzi wa serikali hii
Inabidi huyo akamatwe aojiwe zaidi, mchochezi tu
kuna kuku nyingi za kufuga=kuna kuku wengi wa kufuga.Kwani lazima uwe mkuu wa mkoa wa Dar es salaam kuna kuku nyingi za kufuga pamoja na nguruwe njoo huku ufurahie maisha mambo ya kusemwa na unafanya madudu kisha mwanaume mwenzio anakukingia kifua ndio unakuja kuzua maswali ya chumbani sasa.
Ametaarifiwa na agets watiifu.Bashe anajuaje mambo ya TISS
Bashe kapata taarifa kuwa yu miongoni ya wanaotakiwa kutekwa. Swali ni hili je kachukua hatua gani ametoa taarifa kituo chochote cha polisi? au ndio kubwabwaja bungeni na kutafuta kiki?Mna mipango michafu sana nyie wafuasi wa mkulu ila kila nafsi itaonja mauti hakuna wa kuishi milele