Bashe: Kuna kikundi ndani ya Idara ya Usalama (TISS) kinahusika na utekaji. Wabunge 11 wapo kwenye orodha ya kutekwa

Bashe: Kuna kikundi ndani ya Idara ya Usalama (TISS) kinahusika na utekaji. Wabunge 11 wapo kwenye orodha ya kutekwa

Kweli kapilimba ni mtu hatari
Maana toka amepewa ukurugenzi kitengo chake kimekuwa hatari
Magu muangalie vizuri ushauri wake utakupoteza
Una Maana Gani Kusema Rais "atapotezwa"??? Jamani Muwe Mnajiangalia na Kutafakari Kila Neno Mnaloandika Hasa Likimhusu Rais. Nikujulishe Tu Kwamba, Rais Akisha Chaguliwa na Kuapishwa ANAKUA TASWIRA NA ALAMA YA TANZANIA: UMPENDE AU USIMPENDE UNAPASWA KUCHUNGA KAULI ZAKO DHIDI YAKE MAANA KUNA CONSEQUENCES
 
Analinajisi taifa na anainajisi ikulu.[/QUOTE]

Mkuu ukitaka kujua kazi ya kuongoza nchi Ni ngumu anzia kutafakari kazi hiyo nyumbani kwako.Hapo utaona hata Mkeo haridhiki Na anachopata Na au anajua anapata kila lililo la muhimu kwake kuishi lakini tu bado anaweza kufanya ufedhuli.Watoto hali kadhalika.Wengine watataka hata walete "vimchuchu" vyao nyumbani Na au wafanye mambo yao ya ajabu ajabu.Hivi ndivyo inavyokuwa hata kazi ya kuendesha nchi.Hii nchi Kuna mambo usipodhibiti utafika pabaya kama Taifa.Tukikosa busara tutaangamia.Ulimi wa mwenye busara una mambo mawili: utulivu and unyenyekevu.Utulivu hutatua matatizo Na Unyenyekevu huepusha matatizo.Tuishi kama Sisimizi.Ukichanganya chumvi na sukari Sisimizi atafyonza Sukari tu Na kuacha chumvi.Ukiamua kupigana mieleka Na Nguruwe wote mutajawa matope Lakini ujue kwa Nguruwe itakuwa Ni burudani sana Maana Ni matope Ni sehemu ya maisha yake.
 
Ndo maana kaomba tume iundwe ichunguze kuna watu wanatekwa tekwa tu,nani huyu anaewateka,
hivi watu wakiamua nao kuanza kuteka si tutbaki na kazi ya kutekana tu hapa,
hapa kila mtu ana family yake,usitegemee kuteka watoto wa wenzio ukifikiri wako watabaki salama,
hii ni recipe for disaster,
tuache unafiki na uchumia tumbo tuli address hili suala kwa macho makavu bila kupata kigugumizi,
leo kwao kesho kwako.

Kuna mtu alitegemea Nape of all peoples awe mtu wa kunyoshewa bastora na kitindiga fulani tena mbele ya RPC,
Wewe utamzidi nape kwa lipi wakati ndo alikuwa mtu wa juu kabisa ndani ya system,halafu leo diwani tu,au sijui Veo unataka kutetea mambo haya ukidhani uko salama,yakikukuta hutakuwa na wa kukutetea kamwe
 
Namhurumia sana Bashe. Anatafuta ligi na watu wasioongea.
Kwa hiyo amekosea kutaka bunge lijadili usalama wa raia wa Tanzania wanaopotea na wale wanaotaka kupotezwa? Ya Roma Mkatoliki ni uzushi, vipi kuhusu Ben Saanane, Mawazo je? Sasa unafikiri alipaswa akae kimya huku watanzania wakiendelea kuuawa na kikundi cha majambazi?
 
Kuna watu wanacoment mara tatu tatu stil bado wanacoment ushuzi TISS wajiangalie Upya ni wapi wanakosea
 
Ulianza na Membe,Rajabu,Nape leo Bashe .. mnakulana wenyewe sio na bado huu mnara wenu wa babeli mnaojenga umefikia patamu
Habari za Mnara wa Babeli kuanguka nimeanza kuzisikia tangu enzi za Mkapa na Mrema. Utaanguka lini? Mnapoteza muda. CCM ianguke sababu ya Nape na Bashe?
 
Ha ha ha haaaaaa

Ameambiwa eeeeh

Na hakwenda polisi kuripoti!!!

Asa bungeni ndio pa kutafuta kuichafua serikali, hawa wabunge wengin njaa inawauma kweli kweli.

Watanyooka tu

Wachafuzi wa serikali hii

Inabidi huyo akamatwe aojiwe zaidi, mchochezi tu
kwani kapinda au kisa kukosolewa, kumbuka hajateuliwa yule kachaguliwa na wananchi wake, na hata hivyo hana njaa kama wewe
 
Hivi wakati unaandika haya ulikuwa unarejea matukio ya utekaji yaliyotokea nchini na hatua zilizochukuliwa na serikali? Wakati mwingine kuwa na kumbukumbu kiongozi
Hivi watu binafsi wenye maugomvi ya kibiashara huwa hawatekani au kuuwana??? ni utekaji gani ambao unaweza kuihusisha serikali - una ushahidi???? ni afadhali kukaa kimya kama huna ushahidi la sivyo unajitaftia balaa tu
 
Babaangu hauhusiki hapa na wala hakuna haja ya kumuhusisha hapa na mwenye akili timamu yeyoye yule hawezi kuingiza wazazi kwenye upuuzi wa mitandaoni hujafunzwa nadhani,maana si kwamba sina ya kuwaongelea wazazi wako na kuwavunjia heshima laa hasha lakin nawaheshimu kwa sababu hawahusiki na hawapo kwenye mjadala hapa na naamini wana stahili heshima lakin ukitaka tuanze kuwa vunjia heshima ni swala dogo sana kwangu ila nikuombe nitukane uwezavyo lakin usimuhusishe mzazi wangu hapa
Kweli inakera kuingiza parents ktk ushuzi wa jf. let him behave.
 
Hivi watu binafsi wenye maugomvi ya kibiashara huwa hawatekani au kuuwana??? ni utekaji gani ambao unaweza kuihusisha serikali - una ushahidi???? ni afadhali kukaa kimya kama huna ushahidi la sivyo unajitaftia balaa tu
haya! kama ana ushahidi akuletee wewe? na kama ametumiwa msg akae kimya!!!
 
Maelezo yote hayo ni ya BASHE au kuna na mleta mada? Maelezo ya BASHE yameishia wapi? Hao Mawaziri waliomwambia hawakumtajia majina ya hao wana usalama? Bunge lisitumike kututia hofu sisi wananchi wa kawaida
Wewe siyo mwananchi wa kawaida.usidanganye watu hapa. Tunawajua nyinyi wote kwa taarifa yenu.
 
Back
Top Bottom