Bashe: Kuna kikundi ndani ya Idara ya Usalama (TISS) kinahusika na utekaji. Wabunge 11 wapo kwenye orodha ya kutekwa

Mbunge wa Nzega Mjini Hussein Bashe, ameomba mwongozo kuahirishwa kwa Bunge ili kutoa nafasi ya Wabunge wote kujadili matukio ya utekaji watu yanayoendelea.
Akiomba Mwongozo kwa Naibu Spika, Hussein Bashe amedai kuwa amefahamishwa na baadhi ya Mawaziri kuwa ndani ya Idara ya Usalama wa Taifa kuna kikundi ambacho kinahusika na utekaji wa watu. Amedai kuwa kuna Wabunge 11 wapo kwenye orodha ya kutekwa na kuondolewa uhai. Mimi ni kati ya watu 11 tuliopo hatarini kufanyiwa vitu vibaya popote pale nijiangalie

"Kuna watu wamenitumia ujumbe kwamba mimi ni kati ya watu 11 tuliopo hatarini kufanyiwa vitu vibaya popote pale nijiangalie. Hatuwezi kulifumbia macho jambo hili, Watanzania wanatekwa na watu wasiojulikana".

Kwa hapa tulipofika, ni wazi kuwa JPM ajitafakari na baadhi ya watu wanaomzunguka.Kuna hali ya tahayari katika Taifa.

Jana nimeongea na Askofu mmoja wa Kikatoliki, nimeona dalili ya uhusiano wa JPM na Kanisa kudorora kwa namna anavyoendesha mambo ya Nchi.

Hatuwezi kulifumbia macho jambo hili, Watanzania wanatekwa na watu wasiojulikana'

Wasalaam
Hao Itakuwa Ni Wapinzani wa Kibiashara wa Bashe - Pia Bashe ajifunze kutumia mdomo wake vizuri. Kiburi na Kujiona Hakutamsaidia
 
Nani kakudanganya kuwa pesa za walipa kodi zipo salama!! Hizi pesa zetu anazojengea uwanja wake wa ndege Chato!!
WE MPUUZI KWELI......hao wachato si WATANZANIA??????????????????????????????????
 
Hakuna mtu mbaya kama mnafiki, unajiona uko naye kumbe anaagenda ovu na wewe.

Kwel kikulacho kinguoni mwako. Hawa ss ndo watu wanaotakiwa kung'olewa kucha/meno bila ganzi sio wakina ROMA na NAY, wale wanatafuta kiki tu za mjini na vihela kiduchu
 
Bashe anafahamika kwa unafiki wake toka kundi lowassa. Yaani watu maarufu wasitekwe utekwe wewe kidampa je una nn. Acha kudhalilisha idara ya usalama wa Taifa wakati inafanya kazi vizuri. Mijitu mingine ni viongozi wa kitaifa lakini haijitambui kabisa.
 
WALIO IWEZA WALITUFIKISHA WAPI???????
Usiongee upuuzi huu wakati wa jk vijana wetu waliajiriwa, uchumi ulikuwa kwa kasi sana, barabara zilijengwa,hakukuwa na njaa, wanafunzi walioewa mikopo, wafanyakazi waliboreshewa maslahi, mipaka ya nchi ulikuwa salama, biashara zilistawi. Tangu amengia huyu babu kipara hali imekua ngumu hakuna linalofanyika ni kukimbizana na media na wapinzani. Poor Juma Punda Maharage
 
Shida ni kwamba anazungukwa na wanafiki wengi wanaolinda vibarua vyao hivyo hawako tayari kumuambia ukweli eti atawafukuza kaza a.k.a kutumbuliwa. Matokeo yake anaongoza nchi kwa kutumia hisia zake.
Screenshot_20170410-112932.png
 
Wakuu moja ya idara ambayo inajiendesha kizamani ni Usalama wa Taifa. Idara hii haitaki kubadilika enzi na enzi.

Suala la Kukamatwa kwa Spies karibu 8 kama siyo 19 ni moja kati ya Mambo yanayoibua sintofahamu huku wengine wakiwanyooshea Bastola watu halafu Polisi wanakana kuwa hakua Polisi lakini pia hawakumkata nina Uhakika Kama angekua raia wa kawaida na akaonesha Toy tuu angekua kashakamtwa kwa sababu Viongozi wa Polisi walikuepo pale.

Usushushu Tanzania imekua kazi ya Kishkaji na Kurithishana bila kuangalia vigezo kwa wahusika wamekua wanashindwa hata kujua ni Viongozi wepi wa kuwatii Usalama wa Taifa unakuta anatumika na Viongozi ambao hawana hata mamlaka ya Kuwatuma.

Mwisho Niombe tuu Mkurugenzi wa Taasisi hii nyeti tafadhari punguzeni Ushikaji wakati wa Recruitment wekeni watu wenye Uwezo na wenye Taaluma Mbalimbali.

Tuige mifano ya CIA, Mi6, jinsi wanavyo operate kwa Weledi wa Hali ya Juu CIA kule ni taasis ambayo inafanya kazi bila kupokea maagizo ya mtu yeyote ndani ya Marekani.
Aliyekuwa mkuu wa tume ya uchaguzi ndie mkuu wa usalama wa taifa unatarajia nini?
Mbunge wa Nzega Mjini Hussein Bashe, ameomba mwongozo kuahirishwa kwa Bunge ili kutoa nafasi ya Wabunge wote kujadili matukio ya utekaji watu yanayoendelea.
Akiomba Mwongozo kwa Naibu Spika, Hussein Bashe amedai kuwa amefahamishwa na baadhi ya Mawaziri kuwa ndani ya Idara ya Usalama wa Taifa kuna kikundi ambacho kinahusika na utekaji wa watu. Amedai kuwa kuna Wabunge 11 wapo kwenye orodha ya kutekwa na kuondolewa uhai. Mimi ni kati ya watu 11 tuliopo hatarini kufanyiwa vitu vibaya popote pale nijiangalie

"Kuna watu wamenitumia ujumbe kwamba mimi ni kati ya watu 11 tuliopo hatarini kufanyiwa vitu vibaya popote pale nijiangalie. Hatuwezi kulifumbia macho jambo hili, Watanzania wanatekwa na watu wasiojulikana".

​

Kwa hapa tulipofika, ni wazi kuwa JPM ajitafakari na baadhi ya watu wanaomzunguka.Kuna hali ya tahayari katika Taifa.

Jana nimeongea na Askofu mmoja wa Kikatoliki, nimeona dalili ya uhusiano wa JPM na Kanisa kudorora kwa namna anavyoendesha mambo ya Nchi.

Hatuwezi kulifumbia macho jambo hili, Watanzania wanatekwa na watu wasiojulikana'

Wasalaam

Kanisa katoliki limeridhika watanzania kutekwa huku likiazimisha skk ya pasaka?
 
Bashe ni Mbunge Peke ambae alionya Serikali kwa uhusiano wake na ISRAEL!! Jamani hao Israeli ni Watu Hatari Sana na kuna kitu nimeona huyu JPM anajihusisha sana nao!! Minara za Mawasiliano wanajenga Wao, Vifaa Vya Kisasa Vya Kijeshi wanatuuzia Wao, Nahisi Ile Dili ya NIDA au ID CARD pia walikuwa Wao, sasa nasikia wanaingia kwenye Sekta la kilimo!

Kagame ilivyoonyesha tu dalili za Udikteta na ma ISRAELI walishafika kwake kumsupport, hivyo hivyi JPM kaonyesha dalili za kuwanyanyasa raia na ma ISRAELI wameshafika kumsupport! Na hizo Sera za Kukandamizana na Kuteka teka nyara pia ni Ishara za ISRAEL!
 
Huyu Bashe anajistukia tu, kwanini asijilipue kabsa kwa kutaja wahusika maana anajijua kabsa hayupo CCM tokea kipindi kile lowassa amekatwa hivyo nafsi yake haina amani kabsa kuendelea kuwepo CCM ila tu anajilazimisha, kujilazimisha huko kuna mkuta anazungumza mambo ya ajabu kabsa ya kumchafua Rais. Chunguzeni kwanini wale team Lowassa wote kama bashe,msukuma,malima ndio wapiga kelele kila siku? Kwanini Wao tu?

Hivi usalama gani wa taifa ukawa na kikundi cha utekaji na tena utekaji wa kipuuzi kabsa kama tunaouona sasa? System ikitaka kukuua inakuondoa tu haisubiri kukuteka.

Hizi ni chuki tu za baadhi wa wabaya wa Magufuli maana kama kuyabana majizi ni kweli kayabana kwa hiyo tusitegemee mteremko kwa Magufuli hata siku moja.Watu wenye pesa chafu watahonga sana hawa whistleblower kumchafua Magufuli.

Watamsingizia mengi mno huyu mzee na ndio kwanza picha inaanza.
kuna MAJITU MENGINE HUMU wao chuki zao ni mbele tu HATA KWENYE UWONGO YANAKUBALI TU.....utasikia mtu anasema ETI MAGUFULI nchi imemshinda....SASA hao ambao nchi haikuwashinda walitufikisha wapi???mbna still mlikuwa mna piga kelele???
Afadhali ya huyu amabaye nchi imemshinda lakini pesa za walipa kodi zipo salama si kwenye mikono ya wachache.......
ACHA TU atunyooshe HII MIAKA 10 AKILI ZIKAE vizuri kichwani......
Unaakili sana we we...
 
Nilikuwa nakusoma nikijaribu kujiaminisha kuwa hauna taahira ya akili, lakini sentensi ya mwisho ikanikosoa. Miaka 10 hiyo unamaanisha hakuna uchaguzi 2020?
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Mbunge wa Nzega Mjini Hussein Bashe, ameomba mwongozo kuahirishwa kwa Bunge ili kutoa nafasi ya Wabunge wote kujadili matukio ya utekaji watu yanayoendelea.
Akiomba Mwongozo kwa Naibu Spika, Hussein Bashe amedai kuwa amefahamishwa na baadhi ya Mawaziri kuwa ndani ya Idara ya Usalama wa Taifa kuna kikundi ambacho kinahusika na utekaji wa watu. Amedai kuwa kuna Wabunge 11 wapo kwenye orodha ya kutekwa na kuondolewa uhai. Mimi ni kati ya watu 11 tuliopo hatarini kufanyiwa vitu vibaya popote pale nijiangalie

"Kuna watu wamenitumia ujumbe kwamba mimi ni kati ya watu 11 tuliopo hatarini kufanyiwa vitu vibaya popote pale nijiangalie. Hatuwezi kulifumbia macho jambo hili, Watanzania wanatekwa na watu wasiojulikana".

Kwa hapa tulipofika, ni wazi kuwa JPM ajitafakari na baadhi ya watu wanaomzunguka.Kuna hali ya tahayari katika Taifa.

Jana nimeongea na Askofu mmoja wa Kikatoliki, nimeona dalili ya uhusiano wa JPM na Kanisa kudorora kwa namna anavyoendesha mambo ya Nchi.

Hatuwezi kulifumbia macho jambo hili, Watanzania wanatekwa na watu wasiojulikana'

Wasalaam

Akili ya Bashe sio nzuri kabisa,aache kujihami kama anafanya mabaya aache. Usimseme mzee Magu pasipo kuwa na ulazima angalia watekaji wanaweza kuwa wengi hata kama unatembea na mke wa mtu ukitekwa utasema serikali?, waache utoto kuisingizia kila kitu serikali wafuatilie route course analysis ndo waje huku, japo JF ni jukwaa huru asituimanishe ujinga sisi bado tunaipenda serikali yetu. Amani kwanza-taifa lenye amani hili bhana
 
Huyu Bashe anajistukia tu, kwanini asijilipue kabsa kwa kutaja wahusika maana anajijua kabsa hayupo CCM tokea kipindi kile lowassa amekatwa hivyo nafsi yake haina amani kabsa kuendelea kuwepo CCM ila tu anajilazimisha, kujilazimisha huko kuna mkuta anazungumza mambo ya ajabu kabsa ya kumchafua Rais. Chunguzeni kwanini wale team Lowassa wote kama bashe,msukuma,malima ndio wapiga kelele kila siku? Kwanini Wao tu?

Hivi usalama gani wa taifa ukawa na kikundi cha utekaji na tena utekaji wa kipuuzi kabsa kama tunaouona sasa? System ikitaka kukuua inakuondoa tu haisubiri kukuteka.

Hizi ni chuki tu za baadhi wa wabaya wa Magufuli maana kama kuyabana majizi ni kweli kayabana kwa hiyo tusitegemee mteremko kwa Magufuli hata siku moja.Watu wenye pesa chafu watahonga sana hawa whistleblower kumchafua Magufuli.

Watamsingizia mengi mno huyu mzee na ndio kwanza picha inaanza.
kuna MAJITU MENGINE HUMU wao chuki zao ni mbele tu HATA KWENYE UWONGO YANAKUBALI TU.....utasikia mtu anasema ETI MAGUFULI nchi imemshinda....SASA hao ambao nchi haikuwashinda walitufikisha wapi???mbna still mlikuwa mna piga kelele???
Afadhali ya huyu amabaye nchi imemshinda lakini pesa za walipa kodi zipo salama si kwenye mikono ya wachache.......
ACHA TU atunyooshe HII MIAKA 10 AKILI ZIKAE vizuri kichwani......
ila we jamaa ushabiki umezidi yaani mtu kukosoa vitendo vya utekaji mfano wa kuvamia clouds na pia roma kutekwa unasema kisa MAFISADI WAMEBANWA?????? ssa unafkiri bashw angeongea khusu utekaji kma wasingeona ya roma au ya saanane???? mkuu be serious kwenye mambo ya kitaifa weka ushabiki wa kivyama pembeni wwe unaongea kishabiki unasahau hata nape alikuwa anawatukana wapinzani walipokuwa wanalalmika kunyanyaswa na polisi ila siku ananyooshewa pistol ndio akaamini....... ssa kma wwe unafkiri upo safe kisa uko kwenye system na ofisi yako ina kiyoyozi time will come na wwe utaelewa tu anachosema bashe na utatia akili kma nape na masha!!
 
Kuna wabunge wamefata pesa pamoja na maendeleo ya kimya kimya majimboni kwao,hawa watafanikiwa hata wasiporudi baada ya uchaguzi ujao.hawa wabunge wanaoishi kwa ajili ya kusemea taifa badala ya majimbo yao kina Lissu,Bashe,Lema na Co. Wanafanya kazi kubwa kwa kukemea lakini hawapo salama.zitakuja Bringback fulani huku wanaisha.
 
Akiambiwa athibitishe atakuwa tayari? Kick zingine ni za hatari sana
Shida yako ndugu yetu UNAFIKI. Kama hii ni kick ya hatari, vipi yule aliyesema kuwa Kamanda wa Kanda Maalum ya Maigizo amehongwa 50m ili akaushie watu wapige mrija?
 
USALAMA wa taifa kuteka sawa inaweza kuwa ni kweli lakini swali la kujiuliza watu wa kutekwa ndio wawe kina roma kweli,
Sidhani kama hao waliotekwa wamefikia hatua ya maadui wa nchi yetu
shortly ni kwamba hawana tishio lolote kwa taifa.BASHE aache kujishitukia
 
Back
Top Bottom